Nafaka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 12,154
- 31,246
Lakini bado ukijua huyo uliyemuoa anapigwa mechi ya kirafiki na Uvinza FC roho itakuumaMm ntaoa lkn mechi za kirafiki zitakuwa pale pale
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini bado ukijua huyo uliyemuoa anapigwa mechi ya kirafiki na Uvinza FC roho itakuumaMm ntaoa lkn mechi za kirafiki zitakuwa pale pale
Maisha ni mafupi usijali wee kula biaWana wanywe biaa!
Mama mzazi wa jamaa kaniambia nimtafute mchungaji jamaa akaombewe jamaa kagoma, just imagine we kama ni mdogo ake ukimwomba msaada wa fedha anakwambia umpigie demu wake atoe go ahead yeye ndio atume au anamtumia demu wake ndio akutumie wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kmmmk
DaahMama mzazi wa jamaa kaniambia nimtafute mchungaji jamaa akaombewe jamaa kagoma, just imagine we kama ni mdogo ake ukimwomba msaada wa fedha anakwambia umpigie demu wake atoe go ahead yeye ndio atume au anamtumia demu wake ndio akutumie wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kmmmk
Daah
Walevi na ndoa wapi na wapi. Mtu yeyote anayeleweshwa na kuyumbishwa na kimiminika kwenye chupa au mfano wake, mke lazima atamyumbusha tu.Cheki WhatsApp Status yake. Iliniuma sanaa mimi kama kijana wa Klop.
View attachment 1622469
Huyu ni mwana tena mwana hasa.
Mwaka 2018 alikuja na taarifa kuwa anataka kuoa.
Nilimkataza kabisaa na kumwambia umri wako (30 Yrs) sio umri wa kuoa. Tuendelee kula maisha ki single boy "Tutaoa mbelee sanaa huko" ila pia kuoa sio lazima kwahiyo "ikiwezekana HAKUNA KUOA".
Mwana akani crush sanaa na kuanza kunihubiria, mara ana "quote" vifungu vya biblia, Nikamwambia "Paulo pia alitoa muongozo, kama hutaki kuoa basi Kausha tu".
Baada ya wiki nikaletewa kadi ya mchango. Nikajiseemea nisiwe snitch "nikatoa mchango".
Tukaenda kupiga bia harusini.
Baada ya harusi mwamba akatutenga kabisa "Sijui alipigwa biti na mkewe" Ikawa bar hatokei, kwenye kitimoto hatimbi. Kifupi alitutenga wana ikawa yeye yupo na mkewe tu.
Sasa yamemkuta na ndoa imevunjika. Kwasasa walewale masela aliotutenga ndio tumekua kimbilio lake.
FB na Whatsapp anachafua sanaaa zile "wall za Mark, Z".
Kila siku wana tukawa tunasoma status na post zake huko social media akilalamika.
Baada ya kuona anaweza kujiua wana tuliamua kum "reseque". Kwasasa karudi kwenye chama la masela tunaendelea kunywa bia nae kwa furaha kabisa.
Sisi hatuna hiyana "tunampa kampani maana hatujui nini kimetokea na Wala HATUJAWAHI KUULIZA" (hatupendi single side judgement, na isitoshe sisi furaha yetu ni kumuona mwamba yupo vizuri basi).
Kwenye chama chetu cha kupiga bia huyu ni wa pili.
--------------------------------------------------------
Wa Kwanza alioa May/2019 na aliachana na ndoa July/2020 baada ya kutoka safari na kurudi home ghafla (by surprise) akakutana na aliyekua X wa mkewe ambae kila siku alikua akimkanya juu ya mawasiliano nae wapo juu ya kitanda chake alichonunua TShs. 700,000/= wanagegedana.
"Yaani mwana JF ununue kitanda laki 7 + gharama za usafirishaji halafu kwenye ile laki 7 yako unamkuta boya tuuu yaani boyaa kambinjua mkeo dog style..!!!""
Hii ilikua jumapili, juma3 mwana akashindwa kwenda kazini.
Aliko akawa hajulikani.
Ikabidi wana tumtafute sanaa baada ya kupewa taarifa kazini kwake na familia yake ""We Mr. Liverpool mbona **** kazini haonekani, kwake hakuna mtu na simu hazipatikani line zote?""
Kumbe yupo..!! alikimbilia gheto la mwana wake wa chuo ambae inaonekana alirudisha urafiki baada ya kuoa na kututenga sisi wanywa bia.
Tulimrudisha home, tukakuta mke hayupo na nguo zake hazipo (inaonyesha alikimbia kimya kimya).
Huyu mwana ilibidi auze kila kitu mpaka baadhi ya nguo zake.
Akaenda kupanga na kuanza kununua vitu upya (alisema vile alivyouza vina laana) na vina element za yule aliyekua mke wake..!!!
Kwasasa karudi chamani.
Chama chetu, tukisikia tu "mwamba fulani aliyekua chamani akakimbia chama, ana matatizo hua tunamtafuta wenyewe tumuokoe"
----------------------------------------------------------
Kuna scenario nyingi sanaa huku mtaani, hizi ni general rules tu kadhaa.
Ukitaka nilete exceptions hapa Dah nitajaza saver ya JF.
Tuendelee kunywa bia
Tuendelee kutafuta hela
Tuendelee kula nyama.
KUOA UKIWA BELOW 37 NI UOGA WA MAISHA.
UKIANZA TU KUMUELEWA MWANAMKE UJUE UNAKARIBIA KUFA.
Na kuna kuumizwa hukoo...
Halafu Arnesal Taarifa zenu kutoka kwa AstonVilla TUNAZO.
Take care
#YNWA
Amin sheikh, nami pia nimeoa mapema nambo murua kabisaWalevi na ndoa wapi na wapi. Mtu yeyote anayeleweshwa na kuyumbishwa na kimiminika kwenye chupa au mfani wake, mke lazima atamyumbusha tu.
Miongoni mwa mambo memba mema na kipimo cha utimamu wa akili ni sisi kuoa na wanawake waolewe.
Sisi wengine tumeona chini ya miaka 28 na bado tuna tunadunda na ndoa zetu, na tunazidi kumuomba Mola atudumishe katika ndoa zetu,mpaka tuzikwe na wake zetu au tuwazike wake zetu. (Wneyevakili timamu sote kwa Pmaoja tusemeni "AMIIN").
sema kuoa ni kutafta stressKwa jinsi wake za watu wanavyoslide kwa kasi ya 5G kwene dm zetu wakitaka faraja kwa vile wanavyofanyiwa na waume zao me naogopa sana, as for the moment mwanamke mmoja nlikuwa napiga keshaolewa kanizamia dm anataka nitafute siku nikamkaze mumewe mvivu kukaza na huyu mwanamke nshamkwepa sana toka aolewe daaah, anasema mvua ya mjini imempa mihemko ? Najiuliza maswali mengi ivi na mimi mwanamke wangu anajinyegesha kwa mabaharia hivyo hivyo ? Daaah inauma kwakweli
Hawa vijana wanataka kulazimisha uhayawani wao ndiyo uwe marejeo au ndiyo uhalisia.Amin sheikh, nami pia nimeoa mapema nambo murua kabisa
Subiri siku umkute mkeo anabinjuliwa guest then uje kutupostia hapa.Walevi na ndoa wapi na wapi. Mtu yeyote anayeleweshwa na kuyumbishwa na kimiminika kwenye chupa au mfani wake, mke lazima atamyumbusha tu.
Miongoni mwa mambo memba mema na kipimo cha utimamu wa akili ni sisi kuoa na wanawake waolewe.
Sisi wengine tumeona chini ya miaka 28 na bado tuna tunadunda na ndoa zetu, na tunazidi kumuomba Mola atudumishe katika ndoa zetu,mpaka tuzikwe na wake zetu au tuwazike wake zetu. (Wneyevakili timamu sote kwa Pmaoja tusemeni "AMIIN").
Huenda alikurupuka, ati wanasema miaka 30 si umri wa kuoa.Hawa vijana wanataka kulazimisha uhayawani wao ndiyo uwe marejeo au ndiyo uhalisia.
Kumpa mlevi mke ni sawa sawa na kuchezea shilingi kwenye Shimo la Choo.
Hata uoe na hiyo miaka 40 kama ni wakubinuliwa ni wa kubunuliwa tu mkuu.Subiri siku umkute mkeo anabinjuliwa guest then uje kutupostia hapa.
#YNWA
Maombi sometimes yanadunda kwa sababu mnaemuombea hana direct connection na Mungu,,ni mwendo wa kamati za mambo yetu ya asili tu. Fanyeni juu chini ili mshkaji aokolewe.Mama mzazi wa jamaa kaniambia nimtafute mchungaji jamaa akaombewe jamaa kagoma, just imagine we kama ni mdogo ake ukimwomba msaada wa fedha anakwambia umpigie demu wake atoe go ahead yeye ndio atume au anamtumia demu wake ndio akutumie wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kmmmk
Kula maisha.Diamond hajaowa mpaka sasa hivi ila wanawake wote aliopita nao ni respect.
wanawake wa sasa hivi ni wa kuwavizia tu akikaa vibaya nyanya nyanya tu! shabash
Iko hivi...Hata uoe na hiyo miaka 40 kama ni wakubinuliwa ni wa kubunuliwa tu mkuu.
Walisema "wanaume hufa mapema kwasababu hawaongei, wanajikaza na mateso yao ya duniani hivyo hupelekea kufa mapema"Hivi kwa nini Wanaume ndiyo wanaongoza kwa mipasho ya kuumizwa? Ni nadra kukuta Mwanamke analia lia hapa JF kwamba katendwa, ...
Yote maisha.Pole sana kwa mwamba,mwambie yote maisha tuu muhimu kuufikia uzima wa milele au siyo..
Nafsi iliyoumizwa hutafuta nafasi kulipa kisasi.Mm ntaoa lkn mechi za kirafiki zitakuwa pale pale
#YNWA