Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

wasiwasi wangu huenda kukatokea maafa ktk malumbano kuhusu huyo mtoto,,, nilishaongea sana inatosha Ivan, wakiuana tutazikaπŸ™ŒπŸ™Œwanaume mko wajinga sana mlisisitizwa mtumie akili kuishi na mwanamke, huwa hamzingatii hiyo sentensi
Ni kuishi nao kwa maarifa mkuu, siyo akili.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Kwa akili hizi usiishi na mwanamke bro
Unamjua Reinhard Bonnke?
Alikuwa mwinjilisti ALIYEKUWA anahubiri Africa, unamjua mkewe alikuwa anamwacha wapi? Alikuwa anamwacha Ujerumani yeye anafanya kazi ya Mungu, mkewe kamzalia watoto ni copy and paste.
Wanawake acheni kuleta visingizio, too much sex ni umaskini.
Angalia tu hii nchi ni mambo ya kuvua chupi tu na hatuna maendeleo yoyote ya kujivunia, nafahamu ngono ni muhimu ila pia kuna vitu vingine ni muhimu kuliko ngono yenyewe maana ngono haikulishu, haikuvalishi Wala haikupendezeshi.
 
Hayo ya ngono umeyaleta wewe utakuwa unaipenda sana ngono
 
Twende in deep Zaidi, (naomba isiwe hivyo)
Mfano ikatokea huyo huyo mdogo wako akalala, na hakuacha uzao isipo kuwa huyo mwenye contradiction, huo mtoto pamoja na kutengwa na wakina nyie shangazi, akapambana na kufikia kilele cha mafanikio, utazungumza lugha hii wakati huo?
 
No najibu hoja ulizomwambia mshkaji alivosema kuwa muda mwingi anakuwa anafanya kazi, we ukasema asiishi na mwanamke.
Nikaangalia maoni yako mengi umebase huko since from the beginning, nikaamua nikujibu hivyo.
Soma kurasa zote hasa huku mwishoni, kusema utumie muda wako kuwa na mwanamke wako karibu haimaanishi ngono walau itakusaidia kuona mabadiliko nk
 
Soma kurasa zote hasa huku mwishoni, kusema utumie muda wako kuwa na mwanamke wako karibu haimaanishi ngono walau itakusaidia kuona mabadiliko nk
Ndo maana nikatoa mfano wa Reinhard Bonnke, kamfatilie, hakua na time na mke wake but still hakumsaliti mpaka anaondoka duniani akiwa na 79 years of age.
Umalaya ni tabia ya ndani, Kuna wanawake wanaweza waacha hata 2 years hawafanyi ujinga kwasababu ni tabia.
Ukiona mwanamke anakutaka muda wote , that's a red flag
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Una vielement km vya huyu shemejio, sio vizuri lakini kumuacha mtoto wa watu miaka,, hata akifanya dhambi hapo kiukweli hata Mungu atamsamehe
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Una vielement km vya huyu shemejio, sio vizuri lakini kumuacha mtoto wa watu miaka,, hata akifanya dhambi hapo kiukweli hata Mungu atamsamehe
Sina element za huyu maana Mimi nisingemchukua hata huyo mtoto wa kike aliyefanana naye, ningemwambia aende na wanaye na wasitumie jina langu.
Ningewafuta wote kichwani. Wanawake wako wengi na sisi ni masperm donor.
 
Huhendekeza ngono ndio chanzo za ongezeko la single mother, street childreni na umaskini wa kutupwa kwenye familia.

Nchi yenye watu wa namna hii itakuwa maskini hadi Yesu anarudi
 
Soma kurasa zote hasa huku mwishoni, kusema utumie muda wako kuwa na mwanamke wako karibu haimaanishi ngono walau itakusaidia kuona mabadiliko nk
Mwanamke hata umfanyie nini hawi wa njia moja wakati wote!
Nazungumza katika ushahidi wangu binafsi kuna mwanamke nilimpa maisha yangu! Achana na kumpa muda nilimpa maisha yangu! Sina lugha rahisi ninayo weza vile nilimpa maisha yangu.
Lakini aliniacha nikiwa naona na macho yangu haya mawili , tena asubuhi kabisa kabla ya mapambazuko , baada ya jana yake kuliwa na jamaa!
Vile ilivyo niuma kipindi kile nilihitimisha mwanamke hata umpe nini kesho anaweza kuwa tofauti sana na jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…