Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Acha kuidhalilisha bangi.
 
NIKUTIE MOYO, ENDELEA KUSEMA NOOO!!.

MKEO ni mjinga , anakuja kwako baada ya wewe kuzaa, akidhan kwamba Sasa Nawewe utaona, Umezaa mtoto mwingine, na yeye ana mwingine Kwa hiyo ngoma droo.

Ni mjinga ila mjanja kama shetan ni mwerevu sana sanaaaa.


Ila wewe shikilia hapohapo, ,Sisi wanaume kuzaa hata nje ,sio inshu, KAMWE UKIGINDUA MKEO KAZAA NJE, FUKUZA MARA MOJA.
 
Mwingine utagonga na ataridhika lakini bado atakusaliti, ni km nyie tu,,kusaliti itoke ndani ya mtu mwenyewe sio nje
 
Kama unataka umringishie inaonekana bado hujawa na maamuzi magumu "Uanaume"

Piga chini mazima hata usichati naye wala kuwasiliana naye kwa zaidi ya mwaka ingawa utakuwa unaumia ila baadaye utakaa sawa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Huko rwanda unajua kuwa analiwa na meddy??[emoji1787][emoji1787]we sasahv tomber tu achana na ndoa utakuja kujiua mzee wangu.
 
KATAA NDOA.

NDOA NI UJUHA.

NDOA NI WIZI.

NDOA NI UTAPELI.

NDOA NI KUJIUA MAPEMA.
Ndoa ni utumwa...
Free world..ukichelewa utaulizwa uko wapi mpaka sasa?
Unaongea na nani?nipe password za simu yako...

Mwanamke hata akitoka kazini lazima akupikie,akuandalie maji ya kuoga,kabla ya kwenda kazini awaandae watoto,atandike kitanda,akuandalie chai n.k

Free world,be free...
 
Aisee
 
Si wanasema mnakuwa mwili mmoja??yaani mimi niwe mwili mmoja na mwanamke??khaaa
 
Ninawaza tu,ni ndoa ngapi zingevunjika kisa mwanaume kuzaa nje.Mrudie mkeo.Ina maana wewe hakuwahi kuzini?Ingetokea wewe ndo ungezaa nje,ndoa ingevunjika ?Kishakuambia ni bahati mbaya,amekuomba msamaha. Msamehe mrudiane.
Mwanaume ukitaka kufa mapema kaa na mwanamke anaye cheat

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…