Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Sasa umringishie ili iweje, nae akipata kibopa aje akuringishie uanze wew kuomba misamaha, maisha ya kipuuzi kabisa hayo..
Ninamfanyia hivyo coz yeye ndo ananitafuta tena sana sms kibao, kuna kipindi nilimblock akatumia NO nyingine nikaamua kuacha tuu.
Yeye ndl ananisumbua ila sio mimi.

Kuhusu yeye kumove on apate kidume mwingine sio wivu nae wala nini.
Maisha ninayoishi now ni mazuri mno. Unijui tuuu mwana.
 
We oa tu bro ila fanya analysis kumjua ni aina gani.
Shida ya wanaume wengi hasahasa low IQ hawafanyi analysis, mtu anaoa tu hafatilii history ya mhusika.
Mwanamke akiwa malaya huwezi mbadilisha.
Kweli aisee wengi wao wanocheat ni tabia yake kabla hajoolewa sema tuu , unakuwa mume hakujua hilo.
Ni wachache sana alitulia baadae ndo aanze kucheat
 
Hilo lishangazi nimelipenda, apewe maua yake kwa kuongea ukweli mtupu. Wanawake nao wanatamanind elibolo tofauti once in a while bwana sii kama sie tuu wanaume tunavyotamani misambwanda tofauti tofauti.
Ah kwanza unakuwaje na mwanamke ambaye wanaume wengine hawamtamani kumtomber?
 
Hii kauli baba yangu alimuambia kaka yangu pia
 
Kweli ukiona mwanamke mnakutana kimwili hata kabla ya ndoa , tena yeye ndo anataka ni red flag mkuu.
 
Pole sana kaka, fresh umeinuka tena bila yeye kuwepo, huyo aliezaa nae si amuoe sasa
 
Nilimsikiliza dr mwaka alisemaga mwanamke hawezi kulizika , kama mwanamke usiangaike kumlizisha mkeo kwa kumfanyia vitu sana.
 
Achana na hiyo fisi kabisa
 
Pole sana kaka, fresh umeinuka tena bila yeye kuwepo, huyo aliezaa nae si amuoe sasa
Sijui nafikili alikuwa ni mume wa mtu sijui,
Hata kama unaweza kuoa mke watu. Unawezaje kwenda kwao kujitambulisha angali wewe ndo ulivunja ndoa yake. Uwoni kama ni ngumu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…