Ila kweli hawa viumbe ukiwasamehe anakuchukulia poa sana...Mwanamke akikufanyia kitu kibaya afu ukasamehe anakuona kama boya hivi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila kweli hawa viumbe ukiwasamehe anakuchukulia poa sana...Mwanamke akikufanyia kitu kibaya afu ukasamehe anakuona kama boya hivi.
Dah ila mwanannawe ulipenda vibaya mpaka ukamnunulia gari😲Kumsamehe NO ni kwa asilimia 1000
Ninamfanyia hivyo coz yeye ndo ananitafuta tena sana sms kibao, kuna kipindi nilimblock akatumia NO nyingine nikaamua kuacha tuu.Sasa umringishie ili iweje, nae akipata kibopa aje akuringishie uanze wew kuomba misamaha, maisha ya kipuuzi kabisa hayo..
YaniDah ila mwanannawe ulipenda vibaya mpaka ukamnunulia gari😲
Acha unafikiSiletagi story za abunuwasi, wanaume nyie ni wajinga mnaviona viashiria ila mnapuuza, ndg zenu wa karibu wanawaonesheni lkn mnafumba macho yakiwakuta ndo mnaanza kujiliza liza, komeni
Kweli aisee wengi wao wanocheat ni tabia yake kabla hajoolewa sema tuu , unakuwa mume hakujua hilo.We oa tu bro ila fanya analysis kumjua ni aina gani.
Shida ya wanaume wengi hasahasa low IQ hawafanyi analysis, mtu anaoa tu hafatilii history ya mhusika.
Mwanamke akiwa malaya huwezi mbadilisha.
😂😂 Sawa mnafiki mwenzanguAcha unafiki
Hilo lishangazi nimelipenda, apewe maua yake kwa kuongea ukweli mtupu. Wanawake nao wanatamanind elibolo tofauti once in a while bwana sii kama sie tuu wanaume tunavyotamani misambwanda tofauti tofauti.Kuwa karibu na mke sio guarantee ya kutopigwa tukio, hawajitambui tu.
Tumeshuhudia Mara kibao tu mume na mke Wana ofisi moja kariakoo wanatoka wote home wanashinda wote kwenye biashara zao na wanarudi wote home wakiwa kwenye range yao.
Siku mwanangu alivyoenda kufunga mzigo kariakoo jimama jeupe lenye mshape wake likamzimia mwana na kubadilishana namba.
Jimama Sasa hv Safari za mkoani haziishi linamzuga mmewake kuwa linakuja mkoa kutafuta wateja wapya wa bidhaa kumbe anaishia guest nzuri na kupakuliwa na mjeshi wangu.
Na kila likija linakuja na mizawadi na mapochopocho ya kila aina badi ni full mserereko.
Unajua nn? Mwana alimuuliza siku moja kwa nn unasaliti kambi jimama likamjibu " kijana kula maisha hizi ndoa zinakinaisha wkt mwingine, kwake anapata kila kitu isipokuwa kuna muda wanatamani kupata changamoto ya mjegeje sehemu nyingine"
Pia muda wote kushinda na husband wake inampotezea mood ya kumiss na kumuona mume wake Ni wakawaida hivyo hujihisi hayupo sawa kwa maelezo yake.
Hv tunapoongea mwana yupo kumalizia kupauwa nyumba yake kwa mshiko anaopewa na jimama Kama payback ya kumsugua vizuri.
Mume yy analinda frem kariakoo akiamini kweli jimama linatafuta wateja wapya huku mkoani.
Aisee dunia ina mambo mengi na hayaishi, usijiapize kabla halijakukuta.
Hii kauli baba yangu alimuambia kaka yangu piaRejea hapa: Msamehe kama kakiri kosa lake na anaonesha kujutia, Maandiko yanatuasa kusameheana, Msamehe na usahau yote aliyotenda ila narudia tena ILA NAMAANISHA KWAMBA USIJE KAMWE UKARUDIA KUISHI NAE PAMOJA. Baba yangu aliwahi kuniambia kwamba iwapo tu we kufanya hivyo 'UTAKUFA'
Mwanamke yoyote bro ambaye unamkuta break pumbuz huyo hawezi kutocheat. Take my word.Kweli aisee wengi wao wanocheat ni tabia yake kabla hajoolewa sema tuu , unakuwa mume hakujua hilo.
Ni wachache sana alitulia baadae ndo aanze kucheat
Kweli ukiona mwanamke mnakutana kimwili hata kabla ya ndoa , tena yeye ndo anataka ni red flag mkuu.Ndo maana nikatoa mfano wa Reinhard Bonnke, kamfatilie, hakua na time na mke wake but still hakumsaliti mpaka anaondoka duniani akiwa na 79 years of age.
Umalaya ni tabia ya ndani, Kuna wanawake wanaweza waacha hata 2 years hawafanyi ujinga kwasababu ni tabia.
Ukiona mwanamke anakutaka muda wote , that's a red flag
Pole sana kaka, fresh umeinuka tena bila yeye kuwepo, huyo aliezaa nae si amuoe sasaHabari wana jf. Leo na leta kisa changu hiki kilichonitokea nina miaka 38 sasa. Ni Baba wa watoto 2 nilizaa na wanawake wawili. Wa kwanza mke wangu wa pili niseme kama mchumba tuu.
Miaka kama 12 hivi iliyopita nilikutana na mdada mmoja kanisani, nilimpenda kwa muonekano wake hasa mavazi yake ya heshima. Na maneno yake na sauti yake ilikuwa nyembamba kiasi.
Nilijitahidi na nikafanikiwa kuingia nae kwenye mahusiano tulikaa kwa miaka miwili hatimaye nikafanikiwa kuingia kwenye ndoa Takamine.
Tulikaa kwa muda kwenye ndoa mpaka kuweza kupata mtoto mmoja wa kike. Mimi na mke wangu ni black niseme na hata kwao mke wangu ni black na kwetu mimi pia ni hivyo. So dogo alikuwa ni black kama sisi.
Tuliendelea kwenye ndoa nakumbuka siku mmoja mke wangu aliniambia kuwa yeye hapendi mwanaume msaliti kwenye mapenzi na kama akisaliti basi asijue kabisa.
Mimi ni mfanyabiashara nina biashara zangu tuu. Mke wangu yeye ni mfanya kazi wa benk moja hivi dsm hapa.
Nakumbuka mke wamgu baada ya kujifungua nilimnunulia gari pale mwenge Toyota harrier alikuwa ni kujimwaga tuu town.
Sasa baada ya miaka 2 na nusu hivi siku moja mke wangu alichelewa kurudi home alirudi kama saa 3 jioni hivi. Aaa mimi nikajiuliza hii sio kawaida yake sikumuuliza kitu chochote, maana hata alivyorudi alirudi kama anaangika na kama anahofu flani. Sikumuuliza chochote ila nikawa nawasiswasi kuwa kashaanza kuliwa na kidume kingine. Sikutana kuomba game usiku nikakausha.
Sasa mimi uhaga ninasafili sana, ila uwo mchezo uliendelea kama 3 weeks japo alikuwa anajigahidi kuwahi kurudi anarudi kama saa 12 jioni hasa. Wakati yeye mara nyingi ni saa 10 mpaka 11 anakuwa tayari kasharudi. Nilimuuliza akajibu tuu shughuli. Tukaendela na ndoa baada ya miezi kama 2 hivi nakumbuka mke wangu sikukutanane kama siku tano hivi. Nikakunanae siku moja kabla ya kusafili.
Kesho yake nilisafili kwenda nje kwenye shughuli zangu. Baada ya kukaa kule kama 2 weeks wife akaniambia kuwa anaujauzito wa 2 weeks mimi aaa kwa vile siku ile kabla ya kusafili nilikutatane na nilicum kwenye pu*sy magori 3 , nikoa poa tuu. Japo kwa kubadilika kule nikaona hii inaweza ikawa sio ila nilikausha tuu.
Mimba hiyo nilirudi nikanyamaza tuu, mimba ilikuwa mpaka mtoto kuzaliwa.
Baada ya kujifungua mimi nikasema fresh japo baada ya kumuona mtoto alikuwa ni white , mimi mmmh hata kwa wife yeye mwenyewe alishituka. Mimi nikaona labda mtoto alitoka tumboni, nikamwambia nenda kwenu ukapate uzazi akagoma, nikamwambia kama unataka kwenda kwetu kwa my mama basi nikupeleke akagoma pia. Mimi mmh nikamuacha. Baada kama 3 weeks still dogo ni mweupe balaa. Mimi bwana uvumilivu ulinishinda nikaamua kumwambia ukweli tuu kuhusu mtoto.
Nilimwambia kuwa mtoto ni mweupe mbona ninawasiwasi sana , siunajua wanawake akaanza inaamna uniamini au vipi, mbona mimi nakuamini.
Katika kujibizana maneno mwishoni akasema kama umtaki mtoto wangu sema tuu.
Mimi nikaamua kupiga simu kwao nikawaambia mke wangu amejifungua mnajua wakasema hawajui ila walikuwa wanajua tuu ni mjamzito. Mimi nikasema anamtoto wa kiume now. Dada yake na mama yake wakasema tutakuja nikasema sawa , si wakaja bwana kwanza wao walishangaa ndogo ni white. Niliona reaction yao walikuwa ni watu sura za uzuni flani na kunitazama mimi. Niliamua kuondoka home. Nilikaa kwenye mgahawa mmoja kule kariakoo mpaka saa 6 night kwa mawazo yale.
Niliamua kurudi home na kuaanza kumuuliza maswali kesho yake mke wangu nilimuuliza maswali mengi sana mwishowe alikataa , nikamwambia mimi nipo tayari kwenda kupima DNA. Yeye akasema kama utaki mwanangu basi. Nikaamua kumfukuza home nikamwambia nenda kwenu sikutaki hapa.
Nakumbuka nilimnyang'anya funguo za gari. Ilikuwa jpili alitaka kuondoka na mtoto wangu wa kike nilimkatalia akaamua kuondoka yeye mwenyewe na kwenda kwa rafiki yake. Hakwenda kwao.
Nilimpigia dada yake na kumueleza, Dada yake akaamua kimtafuta na kumchukua na kwenda kwao. Mimi nilifikisha ujumbe home walishituka sana.
Baada ya kama wiki 3 hivi wakasema basi tukutane pande mbili tujue shida ni nini,
Mimi niliwaambia shida mtoto ninawasiwasi sio wangu.
Wakasema basi twende tukathibitishe kwa DNA , ila mke wangu anagoma kabisa akasema kama haniamini basi.
Walijaribu kutumia mapaka viongozi wa dini lakini still aligoma kabisa kuhusiswa kwenye majaridiano , yeye anadai mimi simuamini kama simtaki mtoto basi.
Ila alipokaa na wazazi wake na kumuuliza vizuri alikiri kuwa alikuwa na mahusiano na mtu mmoja ambayo ni ofisi ya jirani na benk anayofanyia hapa dsm, jamaa ni kweli ni white so dogo ni wake.
Ila baadae wazazi wake walikuwa hawataki ndoa kuvunjika waliniomba niende kwa tuyamalize, walitumia viongozi mpaka wa dini kunishawishi.
Ila mimi niliona ni usaliti mkubwa sana tena wakuacha alama.
mke nae anasingizia Bahati mbaya sijui shetani alimpitia.
Nikaona ni uwongo tuu hakuna kitu hapa.
Niliamua kuvunja ndoa ile na nilifanikiwa , niliumia sana tena sana nilijiuliza maswali mengi inaamaana yote haya niliyomfanyia alikuwa haliziki au ni nini. Daaa nilimfanyia vitu vingi sana huyu dada.
Alijitahidi kuniomba msahama , pamoja na mama yake na dada yake kwa pamoja ila mimi wala.
Mama yake alienda mbali na kusema kama mtoto hutamkubali basi yeye atakaa na mtoto ila mwanae nisiwache, Baba yake akasema kufanya hivyl ni kutetea ujinga na uzizi wa mtu,
Baba yake akasema yeye akai na mtoto wa mtu mbaye wazazi wake wapo na wanamaisha yao.
Kuna kipindi mke wangu alijaribu kumtumia my brother ili kunisamehe ila ilishindikana.
Na alileta kisingizio cha ndoa yetu ni ya kanisani. Mimi nikamwambia kwa hilo ulilofanya sina hamu na wewe tena, nikamwambia kuwa nipo tayari kuzini na malaya ila sio wewe.
Mwishowe nilijikuta naingia kwenye mahusiano na mnyarwanda mmoja mdada nilikutanane zanzibar, katika safari zangu za kupunguza stress.
Mdada ni mrembo si unajua wanyarwanda, nilikaa nae kwenye mahusiano kama mwaka hivi, kwa uzuri ule alinifanya nimsahau mke wangu. Ila kusema ukweli jamani watusti wazuri balaa .
Akitabasamu tukiwa kitandani asalala, na pua zao, kwa kipindi kile nilikuwa na furaha sana. Ila niliachanane baadae.
Mwaka 2020 nilikutana na mdada mmoja hivi nilianzisha mahusiano nae , ila nilimueleza yote yaliyonitokea , mwaka jana mwezi January alibeba mimba yangu ila baada ya kujifungua alifariki na kuacha mtoto wa kike ambaye mimi ndo Baba.
Dogo yupo kwa mama yake. Naendaga kumsalia na kupeleka mahitaji.
Sasa tangu ex wife wangu kujua hio kuwa nina mtoto na mama yake katangulia ,
Sms , simu sana anaomba turudiane ili anisaidie kunilelea mtoto. Simu ni nyingi mpaka naona kero, kuna siku alienda mpaka kwa wazazi wangu anawaomba wajaribu kunishawishi yeye yupo tayari kulea mtoto kama wake.
Ila mimi kwa usaliti ule daaa. Sina hisia nae kabisa.
Ila najua kwa nini anataka kurudiana na mimi.
Mimi kwa sasa maisha yangu yapo fresh sana tena fresh. Yule mdada yule mdada mnyarwanda alinisaidia sana kimawazo hasa ya biashara na connection , niseme ukweli tuu alinisaidia sana maana yeye ni mtu wa kuagiza vitu China na Japan, alinisaidia sana , yeye anafanya kazi kwenye kampuni ya crystal venture ipo rwanda , ndo anafanya nao biashara nao sana na yeye ni mmoja wapo nafikili.
Mke wangu misamaha yote kesho anaendela kuomba, naamini kujutia ila simuitaji tena.
Home wananishauri turudiane coz wote tunawatoto nje ,
Ila mimi kwangu nimesema NO.
NB; AKINA DADA SISI WANAUME MNAVYOTUCHEAT UWA TUNAWAZA VITU VINGI SANA , JUST IMAGE UMEMTOLEA MAHARI MKE KAMA MIMI NILITOA 3.5 MILLION, NDOA UNAGHARAMIA, UNAMLETA NYUMBANI KWAKO, UNAMUHUDUMIA , MPAKA UNAMPA NA GARI MWISHOWE UNAAMBULIA USALITI , SISI WANAUME TUNAUMIA SANA NA KUWAZA MENGE, WHY KAFANYA HIVI????
Nilimsikiliza dr mwaka alisemaga mwanamke hawezi kulizika , kama mwanamke usiangaike kumlizisha mkeo kwa kumfanyia vitu sana.Mwanamke hata umfanyie nini hawi wa njia moja wakati wote!
Nazungumza katika ushahidi wangu binafsi kuna mwanamke nilimpa maisha yangu! Achana na kumpa muda nilimpa maisha yangu! Sina lugha rahisi ninayo weza vile nilimpa maisha yangu.
Lakini aliniacha nikiwa naona na macho yangu haya mawili , tena asubuhi kabisa kabla ya mapambazuko , baada ya jana yake kuliwa na jamaa!
Vile ilivyo niuma kipindi kile nilihitimisha mwanamke hata umpe nini kesho anaweza kuwa tofauti sana na jana.
Achana na hiyo fisi kabisaHabari wana jf. Leo na leta kisa changu hiki kilichonitokea nina miaka 38 sasa. Ni Baba wa watoto 2 nilizaa na wanawake wawili. Wa kwanza mke wangu wa pili niseme kama mchumba tuu.
Miaka kama 12 hivi iliyopita nilikutana na mdada mmoja kanisani, nilimpenda kwa muonekano wake hasa mavazi yake ya heshima. Na maneno yake na sauti yake ilikuwa nyembamba kiasi.
Nilijitahidi na nikafanikiwa kuingia nae kwenye mahusiano tulikaa kwa miaka miwili hatimaye nikafanikiwa kuingia kwenye ndoa Takamine.
Tulikaa kwa muda kwenye ndoa mpaka kuweza kupata mtoto mmoja wa kike. Mimi na mke wangu ni black niseme na hata kwao mke wangu ni black na kwetu mimi pia ni hivyo. So dogo alikuwa ni black kama sisi.
Tuliendelea kwenye ndoa nakumbuka siku mmoja mke wangu aliniambia kuwa yeye hapendi mwanaume msaliti kwenye mapenzi na kama akisaliti basi asijue kabisa.
Mimi ni mfanyabiashara nina biashara zangu tuu. Mke wangu yeye ni mfanya kazi wa benk moja hivi dsm hapa.
Nakumbuka mke wamgu baada ya kujifungua nilimnunulia gari pale mwenge Toyota harrier alikuwa ni kujimwaga tuu town.
Sasa baada ya miaka 2 na nusu hivi siku moja mke wangu alichelewa kurudi home alirudi kama saa 3 jioni hivi. Aaa mimi nikajiuliza hii sio kawaida yake sikumuuliza kitu chochote, maana hata alivyorudi alirudi kama anaangika na kama anahofu flani. Sikumuuliza chochote ila nikawa nawasiswasi kuwa kashaanza kuliwa na kidume kingine. Sikutana kuomba game usiku nikakausha.
Sasa mimi uhaga ninasafili sana, ila uwo mchezo uliendelea kama 3 weeks japo alikuwa anajigahidi kuwahi kurudi anarudi kama saa 12 jioni hasa. Wakati yeye mara nyingi ni saa 10 mpaka 11 anakuwa tayari kasharudi. Nilimuuliza akajibu tuu shughuli. Tukaendela na ndoa baada ya miezi kama 2 hivi nakumbuka mke wangu sikukutanane kama siku tano hivi. Nikakunanae siku moja kabla ya kusafili.
Kesho yake nilisafili kwenda nje kwenye shughuli zangu. Baada ya kukaa kule kama 2 weeks wife akaniambia kuwa anaujauzito wa 2 weeks mimi aaa kwa vile siku ile kabla ya kusafili nilikutatane na nilicum kwenye pu*sy magori 3 , nikoa poa tuu. Japo kwa kubadilika kule nikaona hii inaweza ikawa sio ila nilikausha tuu.
Mimba hiyo nilirudi nikanyamaza tuu, mimba ilikuwa mpaka mtoto kuzaliwa.
Baada ya kujifungua mimi nikasema fresh japo baada ya kumuona mtoto alikuwa ni white , mimi mmmh hata kwa wife yeye mwenyewe alishituka. Mimi nikaona labda mtoto alitoka tumboni, nikamwambia nenda kwenu ukapate uzazi akagoma, nikamwambia kama unataka kwenda kwetu kwa my mama basi nikupeleke akagoma pia. Mimi mmh nikamuacha. Baada kama 3 weeks still dogo ni mweupe balaa. Mimi bwana uvumilivu ulinishinda nikaamua kumwambia ukweli tuu kuhusu mtoto.
Nilimwambia kuwa mtoto ni mweupe mbona ninawasiwasi sana , siunajua wanawake akaanza inaamna uniamini au vipi, mbona mimi nakuamini.
Katika kujibizana maneno mwishoni akasema kama umtaki mtoto wangu sema tuu.
Mimi nikaamua kupiga simu kwao nikawaambia mke wangu amejifungua mnajua wakasema hawajui ila walikuwa wanajua tuu ni mjamzito. Mimi nikasema anamtoto wa kiume now. Dada yake na mama yake wakasema tutakuja nikasema sawa , si wakaja bwana kwanza wao walishangaa ndogo ni white. Niliona reaction yao walikuwa ni watu sura za uzuni flani na kunitazama mimi. Niliamua kuondoka home. Nilikaa kwenye mgahawa mmoja kule kariakoo mpaka saa 6 night kwa mawazo yale.
Niliamua kurudi home na kuaanza kumuuliza maswali kesho yake mke wangu nilimuuliza maswali mengi sana mwishowe alikataa , nikamwambia mimi nipo tayari kwenda kupima DNA. Yeye akasema kama utaki mwanangu basi. Nikaamua kumfukuza home nikamwambia nenda kwenu sikutaki hapa.
Nakumbuka nilimnyang'anya funguo za gari. Ilikuwa jpili alitaka kuondoka na mtoto wangu wa kike nilimkatalia akaamua kuondoka yeye mwenyewe na kwenda kwa rafiki yake. Hakwenda kwao.
Nilimpigia dada yake na kumueleza, Dada yake akaamua kimtafuta na kumchukua na kwenda kwao. Mimi nilifikisha ujumbe home walishituka sana.
Baada ya kama wiki 3 hivi wakasema basi tukutane pande mbili tujue shida ni nini,
Mimi niliwaambia shida mtoto ninawasiwasi sio wangu.
Wakasema basi twende tukathibitishe kwa DNA , ila mke wangu anagoma kabisa akasema kama haniamini basi.
Walijaribu kutumia mapaka viongozi wa dini lakini still aligoma kabisa kuhusiswa kwenye majaridiano , yeye anadai mimi simuamini kama simtaki mtoto basi.
Ila alipokaa na wazazi wake na kumuuliza vizuri alikiri kuwa alikuwa na mahusiano na mtu mmoja ambayo ni ofisi ya jirani na benk anayofanyia hapa dsm, jamaa ni kweli ni white so dogo ni wake.
Ila baadae wazazi wake walikuwa hawataki ndoa kuvunjika waliniomba niende kwa tuyamalize, walitumia viongozi mpaka wa dini kunishawishi.
Ila mimi niliona ni usaliti mkubwa sana tena wakuacha alama.
mke nae anasingizia Bahati mbaya sijui shetani alimpitia.
Nikaona ni uwongo tuu hakuna kitu hapa.
Niliamua kuvunja ndoa ile na nilifanikiwa , niliumia sana tena sana nilijiuliza maswali mengi inaamaana yote haya niliyomfanyia alikuwa haliziki au ni nini. Daaa nilimfanyia vitu vingi sana huyu dada.
Alijitahidi kuniomba msahama , pamoja na mama yake na dada yake kwa pamoja ila mimi wala.
Mama yake alienda mbali na kusema kama mtoto hutamkubali basi yeye atakaa na mtoto ila mwanae nisiwache, Baba yake akasema kufanya hivyl ni kutetea ujinga na uzizi wa mtu,
Baba yake akasema yeye akai na mtoto wa mtu mbaye wazazi wake wapo na wanamaisha yao.
Kuna kipindi mke wangu alijaribu kumtumia my brother ili kunisamehe ila ilishindikana.
Na alileta kisingizio cha ndoa yetu ni ya kanisani. Mimi nikamwambia kwa hilo ulilofanya sina hamu na wewe tena, nikamwambia kuwa nipo tayari kuzini na malaya ila sio wewe.
Mwishowe nilijikuta naingia kwenye mahusiano na mnyarwanda mmoja mdada nilikutanane zanzibar, katika safari zangu za kupunguza stress.
Mdada ni mrembo si unajua wanyarwanda, nilikaa nae kwenye mahusiano kama mwaka hivi, kwa uzuri ule alinifanya nimsahau mke wangu. Ila kusema ukweli jamani watusti wazuri balaa .
Akitabasamu tukiwa kitandani asalala, na pua zao, kwa kipindi kile nilikuwa na furaha sana. Ila niliachanane baadae.
Mwaka 2020 nilikutana na mdada mmoja hivi nilianzisha mahusiano nae , ila nilimueleza yote yaliyonitokea , mwaka jana mwezi January alibeba mimba yangu ila baada ya kujifungua alifariki na kuacha mtoto wa kike ambaye mimi ndo Baba.
Dogo yupo kwa mama yake. Naendaga kumsalia na kupeleka mahitaji.
Sasa tangu ex wife wangu kujua hio kuwa nina mtoto na mama yake katangulia ,
Sms , simu sana anaomba turudiane ili anisaidie kunilelea mtoto. Simu ni nyingi mpaka naona kero, kuna siku alienda mpaka kwa wazazi wangu anawaomba wajaribu kunishawishi yeye yupo tayari kulea mtoto kama wake.
Ila mimi kwa usaliti ule daaa. Sina hisia nae kabisa.
Ila najua kwa nini anataka kurudiana na mimi.
Mimi kwa sasa maisha yangu yapo fresh sana tena fresh. Yule mdada yule mdada mnyarwanda alinisaidia sana kimawazo hasa ya biashara na connection , niseme ukweli tuu alinisaidia sana maana yeye ni mtu wa kuagiza vitu China na Japan, alinisaidia sana , yeye anafanya kazi kwenye kampuni ya crystal venture ipo rwanda , ndo anafanya nao biashara nao sana na yeye ni mmoja wapo nafikili.
Mke wangu misamaha yote kesho anaendela kuomba, naamini kujutia ila simuitaji tena.
Home wananishauri turudiane coz wote tunawatoto nje ,
Ila mimi kwangu nimesema NO.
NB; AKINA DADA SISI WANAUME MNAVYOTUCHEAT UWA TUNAWAZA VITU VINGI SANA , JUST IMAGE UMEMTOLEA MAHARI MKE KAMA MIMI NILITOA 3.5 MILLION, NDOA UNAGHARAMIA, UNAMLETA NYUMBANI KWAKO, UNAMUHUDUMIA , MPAKA UNAMPA NA GARI MWISHOWE UNAAMBULIA USALITI , SISI WANAUME TUNAUMIA SANA NA KUWAZA MENGE, WHY KAFANYA HIVI????
Sure tupe uzoefu mkuuHii kauli baba yangu alimuambia kaka yangu pia
Sijaelewa hapa mkuuunamkuta break pumbuz
Sijui nafikili alikuwa ni mume wa mtu sijui,Pole sana kaka, fresh umeinuka tena bila yeye kuwepo, huyo aliezaa nae si amuoe sasa
Pole sanaYani
Namaanisha mwanamke yoyote yule ambaye unamkuta sio bikra huyo wee weka 50/50 kucheatiwa kutakuwepo maana tayari hana uvumilivuSijaelewa hapa mkuu