Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Ila sisi wanawake ni tunapishana tu na watoto ambao hawajatoka kwenye matumbo yetu.Nyie mkizaa nje ,ndoa haivunjiki.Mke akizaa nje ndoa ivunjike kwa nini?Acheni roho mbaya.
Shida yako apo unaposema nyie wanawake,wewe wakati unaolewa ulimlipia huyo mwanaume mahali ? hiyo tu inakuonyesha tofauti ya mwanaume na mwanamke,unaweza kuwa na hoja kwamba jamaa amsamehee cause anaonyesha kujutia lakin sio kujifananisha na mwanaume,ndio maana mwanamke ukicheat aibu ni yakwako na mpaka baba yako ila mwanaume akicheat inakuwa aibu yake peke yake
 
Wewe, kuna nchi wanawake ndo hulipia mahali .Na kuna nchi huwa hakuna mahali yoyote. Hapa utasemaje? Kucheat ni kucheat tu. Kwa mwanamke na kwa mwanaume kote sawa. OMG inasikitisha kuona eti mwanaume akicheat ni sawa ila mwanamke akicheat ni aibu. Aibu ni kote.Na msamaha kwangu ninaona ni level kubwa sana ya upendo. Hakuna asiekosea.
 
Block no, akitumia nyingine block tena, akishupaza shingo akakupigia tena simu mpatie hata Ke yeyote aliye jirani yako amkemee ipasavyo kuwa wewe ni Mume wa Ke mwingine na akome kama anavyokoma ziwa la Mama yake la sivyo utachukua maamuzi magumu dhidi yake ambayo yatamfanya ajutie maisha yake yote.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Ila kuna watu mnajikutaga🤣
 
Bwana wee wana unrealistic expectations hawa ndugu zangu.
Mke kichepuka kitu normal kabisa wala sio cha kuumiza kichwa.
Ni suala la mtu kubadilisha ladha ya de liboloz tuu na kujua style mpya mpya
Si ndio jamani!
 
Asante
 
Ila kuna watu mnajikutaga[emoji1787]
Kuna Ke Muiraki hatasahau nilichomfanyia.

Sisi Me huwa hatunaga uvumilivu wa kurudiana na Ke msaliti, huonagi hata mkiki wa demu kusaliti kwa Boyfriend wake linavyokuwa?

Mi natafuta mwaka wa 6 sasa bila ya kuchepuka afu Victoire we ndiwe Mke wangu unisaliti unategemea nitakusamehe?

Think outside the box and reply it to yourself how much does it pain inside your deepest soul climax?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…