Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 7,186
- 14,274
Dhambi ya uzinzi, uasherati + tofauti za kiimani.namwanaume asimuache mke wake isipo kuwa kwa zambi ya kuzini tu,sio mimi ni biblia
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhambi ya uzinzi, uasherati + tofauti za kiimani.namwanaume asimuache mke wake isipo kuwa kwa zambi ya kuzini tu,sio mimi ni biblia
Shida yako apo unaposema nyie wanawake,wewe wakati unaolewa ulimlipia huyo mwanaume mahali ? hiyo tu inakuonyesha tofauti ya mwanaume na mwanamke,unaweza kuwa na hoja kwamba jamaa amsamehee cause anaonyesha kujutia lakin sio kujifananisha na mwanaume,ndio maana mwanamke ukicheat aibu ni yakwako na mpaka baba yako ila mwanaume akicheat inakuwa aibu yake peke yakeIla sisi wanawake ni tunapishana tu na watoto ambao hawajatoka kwenye matumbo yetu.Nyie mkizaa nje ,ndoa haivunjiki.Mke akizaa nje ndoa ivunjike kwa nini?Acheni roho mbaya.
Wewe, kuna nchi wanawake ndo hulipia mahali .Na kuna nchi huwa hakuna mahali yoyote. Hapa utasemaje? Kucheat ni kucheat tu. Kwa mwanamke na kwa mwanaume kote sawa. OMG inasikitisha kuona eti mwanaume akicheat ni sawa ila mwanamke akicheat ni aibu. Aibu ni kote.Na msamaha kwangu ninaona ni level kubwa sana ya upendo. Hakuna asiekosea.Shida yako apo unaposema nyie wanawake,wewe wakati unaolewa ulimlipia huyo mwanaume mahali ? hiyo tu inakuonyesha tofauti ya mwanaume na mwanamke,unaweza kuwa na hoja kwamba jamaa amsamehee cause anaonyesha kujutia lakin sio kujifananisha na mwanaume,ndio maana mwanamke ukicheat aibu ni yakwako na mpaka baba yako ila mwanaume akicheat inakuwa aibu yake peke yake
Block no, akitumia nyingine block tena, akishupaza shingo akakupigia tena simu mpatie hata Ke yeyote aliye jirani yako amkemee ipasavyo kuwa wewe ni Mume wa Ke mwingine na akome kama anavyokoma ziwa la Mama yake la sivyo utachukua maamuzi magumu dhidi yake ambayo yatamfanya ajutie maisha yake yote.Halikuwa hana kitu kwangu, baada ya kufunga ndoa alikuja kwangu na begi la nguo lake tuu.
Kwank mshahara wa watu wa benki ni ngapi?
Mshahara wake ni kama 500,000.
Alikuwa na cheo kidogo sa
Nafanya hivi coz ananisumbua hata kutuma watu anatuma,
Nataka ahache kabisa
Ajabu nini sasa?Sio kuchepuka kazaa nje ya ndoa.
Ila kuna watu mnajikutaga🤣Block no, akitumia nyingine block tena, akishupaza shingo akakupigia tena simu mpatie hata Ke yeyote aliye jirani yako amkemee ipasavyo kuwa wewe ni Mume wa Ke mwingine na akome kama anavyokoma ziwa la Mama yake la sivyo utachukua maamuzi magumu dhidi yake ambayo yatamfanya ajutie maisha yake yote.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Si ndio jamani!Bwana wee wana unrealistic expectations hawa ndugu zangu.
Mke kichepuka kitu normal kabisa wala sio cha kuumiza kichwa.
Ni suala la mtu kubadilisha ladha ya de liboloz tuu na kujua style mpya mpya
Acha wivuHii story ni ya kutunga tu.Hakuna Uhalisia.Mtu atoke Rwanda kuja Tanzania kisa mbooo?.Mfyuuuu.
Kabisa yaani wacha na wake nao waenjoy de libolo tofautiSi ndio jamani!
Sasa kwani haiwezikaniHii story ni ya kutunga tu.Hakuna Uhalisia.Mtu atoke Rwanda kuja Tanzania kisa mbooo?.Mfyuuuu.
Yakutunga tuu ona anavyunitumia video zake.Hii story ni ya kutunga tu.Hakuna Uhalisia.Mtu atoke Rwanda kuja Tanzania kisa mbooo?.Mfyuuuu.
HaaminiSasa kwani haiwezikani
AsanteShida yako apo unaposema nyie wanawake,wewe wakati unaolewa ulimlipia huyo mwanaume mahali ? hiyo tu inakuonyesha tofauti ya mwanaume na mwanamke,unaweza kuwa na hoja kwamba jamaa amsamehee cause anaonyesha kujutia lakin sio kujifananisha na mwanaume,ndio maana mwanamke ukicheat aibu ni yakwako na mpaka baba yako ila mwanaume akicheat inakuwa aibu yake peke yake
Hajaoata kidume mwenye hela ndio maana, labda kazoe kuitwa samaki samaki tuuHaamini
Kuna Ke Muiraki hatasahau nilichomfanyia.Ila kuna watu mnajikutaga[emoji1787]