Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Ngonja nikuambie kitu,kwanza hawa watusi huwa wanatoka na watusi wenzao.Mtusi apande ndege kutoka Rwanda kuja bongo kufuata mboo?Ninakataa,au labda huyu Johnson12345 anamfanyia kunyanza si ya dunia hii.
Wanawake wa kitutsi wanatomb**ka vizuri tuu na wanyamahanga wengine tena wanaikubali show ya wanyamahanga sema kwenye kumzalisha hapo ndipo huwa wapo makini sana atatafuta mtutsi mwenzake.......
Ni ka research kadogo nimekafanya maeneo waliopo huku Tz japo sio wote wapo ivo
 
I know, hata huyu anatabia ya dharau flani hivi.

Ni mweupe anasura ndefu na pua ndefu , na macho makubwa hivi.
Akicheka pua yake kana inajikusanya hivi. Ukiwa nae kitandani asalale. We acha
[emoji28][emoji28][emoji28] umedata mkuu!!
 
Ninawaza tu,ni ndoa ngapi zingevunjika kisa mwanaume kuzaa nje.Mrudie mkeo.Ina maana wewe hakuwahi kuzini?Ingetokea wewe ndo ungezaa nje,ndoa ingevunjika ?Kishakuambia ni bahati mbaya,amekuomba msamaha. Msamehe mrudiane.
Nadhani hii ulioandika ni joke sio serious
 
Nimetumia code mkuu maana haya mambo ya watoto wa vigogo naweza jikuta central namaanisha huyo msanii ana rafiki yake mtoto wa kigogo sasa ay na huyo rafiki yake wote wamekimbiwa na wake zao kisa kuendekeza house party zile kama sex party na huyo mtoto wa kigogo alimuambukiza mkewe hivi.
Unamsema Thuwen Makamba na mkewe Victoria. Sasa unaogopa nini wakati unatumia fake ID?
 
,
.
Ukiona unafanya jambo ili ''umkomoe'' ex wao ujie bado una feelings nae mkuu wether you wouldlike to admit it or not.
.
Kama umeamua kuachana nae, piga block kila mahali, futa kumbukumbu zote ulikuwa nazo then move on.
Kabisa,ukiona upo kwenye mahusiano mapya Ila uko busy kufanya comparison na ex wako jua Kuna sehemu huyu mpya anapwaya na bado anakupa sababu za kukumbuka nyuma.Ukiwa kwenye mahusiano yenye kukupa furaha yule wa zamani huwezi hata kumkumbuka Wala kumuonea wivu hata awe na Nani,Wala hutotaka ajue mambo yako.
 
Back
Top Bottom