Tulioangalia Kombe la Dunia mwaka 1986 nyumbani kwa Sheikh Yahya Magomeni tukutane hapa

Aisee
 
Kichaa wewe
 
Sijui aisee ila stori za kijiweni eti yeye na nyerere pekee ndio walikuwa na hiyo kitu.japo zanzibar walianza kuwa na huduma ya TV kitambo
Zanzibar walikuwa na Tv mwaka 1973 kama sijakosea , nadhani ndio ilikuwa Tv ya kwanza ya rangi kwa afrika .
Sheikh yahya alikuwa anatumia digital receiver , free to air broadcast ambazo ilikuwa ni muhimu uwe na dish kubwa linalozunguka.kutafula free to air satelites.
 
Hongera mkuu!

We wa kitambo Sana aiseh!!
 
Kumbe
 
Hongera mkuu....mimi kombe la Dunia la kwanza kuangalia ni 2002 na nilikuwa darasa la 4..mpira inachezwa saa4 asubuhi mida ya mapumziko.
 
Hongera mkuu....mimi kombe la Dunia la kwanza kuangalia ni 2002 na nilikuwa darasa la 4..mpira inachezwa saa4 asubuhi mida ya mapumziko.
Si haba na weww umekula chumvi
 
Amazing flashback asante sana Mkuu, by then I was na infant baby of just 4 years
 
Alikuwa mpigaji tu ila kwa miaka hiyo alikuwa na pesa chafu sana, mtoto wa mjini mzee yule.
Alisema Rais wa 2005 atakuwa mmama, ilipofika uchaguzi akawa mwingine, watu wakamuuliza mmama uliyemtabiria yuko wapi? Akawajibu huyo mliyempata hamuoni ana sura nzuri ina mvuto, tena hana hata ndevu!!!
 
Mkuuu hongera aiseee umeshuhudia kidogo mengi,mimi nimeanza kuangalia WC 1998 wakati huo nipo drs la tano.Zidane,Viera Mungu azidi kiuwalinda
 
sijaelewa alitabiri nini !
Alisema Rais wa 2005 atakuwa mmama, ilipofika uchaguzi akawa mwingine, watu wakamuuliza mmama uliyemtabiria yuko wapi? Akawajibu huyo mliyempata hamuoni ana sura nzuri ina mvuto, tena hana hata ndevu!!!
 
Siye tulikuwa viunoni sawa......haya mjiandae kufa.......maana najua SASA presha visukari na magonjwa ya kizee yako jiraani yako
 
Wale tulioanza kucheki World Cup mwaka 1994 pale Magomeni Agip tukutane hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…