Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Hapa nakupinga; tuliwahi kulima tumbaku tukapata 20M ilikuwa kama 2013. Mwaka 2015 nililima mahindi na alizeti heka 25 zikanitoa pia . Baada ya kuona hivyo mwaka ukiifuata nikalima heka 50 hapo sikurudisha hata senti kosa lilikuwa ni usimamizi. Kwani nilienda shambani MaraSijamuona hata mmoja aliyetoboa, wengi wanaolima mahindi/tikiti/tumbaku/korosho/pamba kila siku nawaona wanalia lia tu,labda wanapata hela ya kula tu lkn sio kua matajiri.
Hongera sana mkuu,kazi nzuri sana hio.Hapa nakupinga; tuliwahi kulima tumbaku tukapata 20M ilikuwa kama 2013. Mwaka 2015 nililima mahindi na alizeti heka 25 zikanitoa pia . Baada ya kuona hivyo mwaka ukiifuata nikalima heka 50 hapo sikurudisha hata senti kosa lilikuwa ni usimamizi. Kwani nilienda shambani Mara
Moja tu. Na hata nilipo ambiwa jua limepiga sana; sikuweza kwenda kuangalia. Kama ni kweli.
Hizo picha ni matokeo ya 2015View attachment 1242556View attachment 1242557View attachment 1242558
Kuna dawa ipo Kenya inaitwa Barafu,ukipulizia ktk shamba,nyanya zinabaki hivyo hivyo ,ndani ya mwezi mmoja.Nyanya nasikia inasoko mwezi december na january kipindi cha mvua sema huko shambani ndio changamoto manake kila mtu anakua amekimbia inabidi uwe kama komandoo huko porini ndio utoboe
Kilimo kina changamoto nyingi sana ambazo huwa hazisemwi nà wala huwezi kuziona lkn hujitokeza tu ghafla.Mimi nililima mpunga heka kumi ukakubali kweli kweli shamba lilikua langu bwana bwana kukaa hivi napigiwa simu wasukuma wameingiza ng'ombe usiku wamekula shamba lote aisee nilidata. Alafu washenzi wale wamehonga polisi ukienda kushtaki unapigwa danadana tu nilitamani nikapige risasi ng'ombe wote. Morogoro iyo
Huyu jamaa hajafikiria vizuri. Mfanyabiashara anayechukulia shambani ana gharama za usafirishaji, halafu mchomaji wa mahindi ana gharama za mkaa, chumvi, pilipili, limao n.k. Muhindi kuuzwa sh.500 sokoni ni mchanganyiko wa vitu vingi. Kifupi mnyororo wa thamani ni mgawanyo wa faida baina ya wadau wote wanaohusika.Mzee muhindi mmoja kuuza 120 mbona ilikuwa bei fair kabisa? Ulitaka uuze sh ngapi sasa 300? Ingekuwa hasara kwake
Na pia hiyo 120 ungepata faida nzuri tu kuliko kusubiri yakomae, yakauke, upukuchue uuze kwa kilo,
Huo muhindi wa 120 ukikauka ukipukuchua utauza kwa bei ndogo zaidi
Sikulijua hilo!!wapogoro walishindwa kusema signal wakaamua kuita zinginali kama ilivyo cow way ya KAWE
kwa hyo kupanda tu milima ukaachia fursa aaah ulikwama madam....afu provided that soko n uhakka....npe location nikalime chap (ila huko miliman kuwe na intanet mana siwez lima bila JAMII FORUM[emoji23])
Daah huu utaratibu wa mahindi ya kuchoma kuliwa na chumvi,pilipili na limao niliuona kwa wanaume wa huku dar aisee.Huyu jamaa hajafikiria vizuri. Mfanyabiashara anayechukulia shambani ana gharama za usafirishaji, halafu mchomaji wa mahindi ana gharama za mkaa, chumvi, pilipili, limao n.k. Muhindi kuuzwa sh.500 sokoni ni mchanganyiko wa vitu vingi. Kifupi mnyororo wa thamani ni mgawanyo wa faida baina ya wadau wote wanaohusika.
Mkuu bora angeuza kwa muuindi 1 kwa sh 120, maana hana hakika ya kuuza mahindi yaliyopukusuliwa toka kwenye gunzi moja kwa sh.120
Wazee wa kamatia fursaa 😂😂😂😂hii inaitwa iga ufe.Naona ujanielewa ,sokoni bila ubunifu utaishia Julia hivyo hivyo,wakati umefika mjini unahangaika na masoko,hayo matikiti ungetafuta sehemu kama tatu zilizochangamka,unauza moja moja,ata kama mtu anataka kipandebl anapewa,ndani ya wiki mzigo ungekua umekwisha ,ungekua na ela nzuri Sana,ndo maana madalali walikupiga kote kote,inaonekana market strategy Hun kabisa,zero
Hilo shamba linalimwa vitunguu kila mwaka na wanavuna sana. Nahisi wenyeji walidukua vitunguu changu. Hata mambo ya udukuzi yapo pia ktk kilimo
Exactly, halafu pia kuyaacha hadi yakomae na kukauka bado utatumia muda mwingi zaidi, muda ni rasilimali ya muhimu sana, so umeongeza gharama, halafu licha ya hapo kuna risk ya wezi, kuharibiwa na wadudu, kupukuchua, kuyakausha, na kuyahifadhi na hata kusafirisha tena na bado ukauza bei ya chini zaidiHuyu jamaa hajafikiria vizuri. Mfanyabiashara anayechukulia shambani ana gharama za usafirishaji, halafu mchomaji wa mahindi ana gharama za mkaa, chumvi, pilipili, limao n.k. Muhindi kuuzwa sh.500 sokoni ni mchanganyiko wa vitu vingi. Kifupi mnyororo wa thamani ni mgawanyo wa faida baina ya wadau wote wanaohusika.
Mkuu bora angeuza kwa muuindi 1 kwa sh 120, maana hana hakika ya kuuza mahindi yaliyopukusuliwa toka kwenye gunzi moja kwa sh.120
Kuna jamaa yangu aliishawai kuzikimbia fuso mbili za tikiti sokoni akawaachia msala wenye fuso manake hata hela ya kufikishia pale sokoni isingetosha alafu yakaanza kupasuka
penye changamoto ndo pesa ilipo,,we npe raman[emoji16][emoji16]Hahhaa..umefeli...umefeli kbs!changamoto ni nyingi sn...
Juzi nilikuwa nawasikia wakulima wa Nazi wakilalamika kuwa Nazi hivi sasa wanauza kwa 100 tofauti na nyuma na Nazi hazinunuliwi
unalima kibishoo