Tuliolima mpunga sasa gunia ni Tsh. 130,000/= halafu kijana unashadadia maandamano

ww ni maskini na mawazo ya kimaskini iv unajua unatakiwa uuze gunia ngap ili ununue IST
 
ww ni maskini na mawazo ya kimaskini iv unajua unatakiwa uuze gunia ngap ili ununue IST
 
Wewe huelewi kuwa bila wananchi kudai haki zao za kisiasa hiyo bei inaweza kupanguliwa muda wowote na ukalazimishwa kuuza kwa bei wanayotaka wao, kwa watu wanaowataka wao?

Kwa nini unaweka false dichotomy kwamba ni lazima upande wa maandamano uwe sawa au upande wa kulima uwe sawa, kwani mtu hawezi kugawa muda wake au kugawa watu na kufanikisha yote mawili?

Pia, unaelewa kuwa kwenye soko la kimataifa gunia hilo linaanzia shilingi 400,000 mpaka 500,000 ?
 
QLMY, Kwani magunia yako na maandamano vinahusiana vipi? Qmmmmk
 
Mleta mada kama sio Abdul basi atakuwa katambi maana sasa hivi wanatumia mil 100 ili kusammbaza propaganda kama hizi 😁😁
 
Kweli kabisa ndugu yangu gen z mwenye akili timamu hawezi kusubiri embe chini ya mnazi lazma atafute mwembe ulipo tufoc foc tu nduguyangu acha watafute jela na kifo wakati anaewadangankakaazake nyumbani na familia yake wapumbavu waandamane wavunjwe miguu afu sisi tutafufute waje navikombe kuombaomba
 
Ww ni kilaza Namba moja, umekariri kilimo ni mpunga tu, ulizia kama mbolea ipo ndio uje hapa kujisifia ujinga ujinga tu.
Toka Kwa shemeji yako kwanza ukajitegemee ndiyo uje Sasa ujadiliane na wanaume
 
Aliyekwambia watu wanazungumzia maandamano au kuongelea uchafuzi unaoendelea kwasababu ya kukosa pesa ni nani?

Unaweza kuwa na kazi, kipato na mali ila bado kinachoendelea sasa inchini kikakunyima furaha na amani kama raia.

Usipende kuchukulia shida za wengine kuwa wewe hazikuhusu. Huo ni unafiki na ipo siku unafiki huo utakugharimu.
 
Una
Ukiulizwa ni asilimia ngapi ya wakulima nchini wanalima kilimo cha kisasa na cha uhakika, huku wakipata msaada wa mbolea ya ruzuku kutoka serikalini, na pia serikali hiyo hiyo kuwatafutia masoko ya uhakika; sidhani kama utakuwa na majibu sahihi.
unauliza soko la nini wakati mazao yako ni comment kama hizi.Lima kwanza Sisi tunaolima tunajua soko lilipo.Ndiyo maana unaona watu wanaandika mpunga ni 90k na mahali pengine ni zaidi.Wewe hata gunia huna unataka soko.Kaandamane uvune mkuu
 
ww ni maskini na mawazo ya kimaskini iv unajua unatakiwa uuze gunia ngap ili ununue IST
Usikariri maisha ni zaidi ya IST.Wewe ndiye maskini zaidi wa fikra.Nani amekwambia kipaumbele changu ni hicho? Unawaza starehe bila kufanya kazi.Kizazi Cha laana hiki
 
mhh mbona ni vyema sana me nina wangu gunia kadhaa wapi upo nikutumie moja ni 90k mpaka ukufikie namba ni +255750916668
 
Una

unauliza soko la nini wakati mazao yako ni comment kama hizi.Lima kwanza Sisi tunaolima tunajua soko lilipo.Ndiyo maana unaona watu wanaandika mpunga ni 90k na mahali pengine ni zaidi.Wewe hata gunia huna unataka soko.Kaandamane uvune mkuu
Unanifundisha kuhusu kilimo cha mpunga! Pole sana. Kama hufahamu, nimefanya hicho kilimo hata kabla hujazaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…