Mookiesbad98
JF-Expert Member
- Feb 1, 2015
- 2,805
- 3,640
Hakuna amani wala utulivu kwenye mazingira ya kudhulumu uhai wa watu bhana.Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .
Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa watu ambao hata huko nje wanatekwa na kuwawa tu .
Litakuwa ni jambo la hatari kama mlizuia maandamano ya chadema halafu mruhusu hili.
Na mbona huko nje wanaruhusiwa kuandamana, hivyo wananchi hapa nao waruhusiwe kuandamana kama hao wa ulaya.Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .
Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa watu ambao hata huko nje wanatekwa na kuwawa tu .
Litakuwa ni jambo la hatari kama mlizuia maandamano ya chadema halafu mruhusu hili.
Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .
Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa watu ambao hata huko nje wanatekwa na kuwawa tu .
Litakuwa ni jambo la hatari kama mlizuia maandamano ya chadema halafu mruhusu hili.
Kwanini uogope kwani ulihusika kwenye kupoteza hao watu..Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .
Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa watu ambao hata huko nje wanatekwa na kuwawa tu .
Litakuwa ni jambo la hatari kama mlizuia maandamano ya chadema halafu mruhusu hili.
Wanaopewa dhamana ni WapumbavuKweli viongozi wa tz hawafuati sheria coz za ufisadi na ujinga wa kutokujua Sheria,
Safi sana conscietization! Spelling sijui ziko sahihi?Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .
Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa watu ambao hata huko nje wanatekwa na kuwawa tu .
Litakuwa ni jambo la hatari kama mlizuia maandamano ya chadema halafu mruhusu hili.
Umeacha kuanguka kifafa siku hizi?Acheni uwoga
Akili ni kumsikiliza mpinzani wako..
Umeandika ila pale unaposema unaomba Polisi baasi story kwishnee haina utamu wala mshiko wewe ni mpuuzi kama waliotangulia!!!!!!!Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .
Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa watu ambao hata huko nje wanatekwa na kuwawa tu .
Litakuwa ni jambo la hatari kama mlizuia maandamano ya chadema halafu mruhusu hili.
Umeacha kuanguka kifafa siku hizi?
Yaani Kwa Nini mzuie huo mkutano kwanini mnapata taabu watanzania kupotea kwenu siyo tatizoNajua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .
Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa watu ambao hata huko nje wanatekwa na kuwawa tu .
Litakuwa ni jambo la hatari kama mlizuia maandamano ya chadema halafu mruhusu hili.
Uwe na Akili hasa watu wanapokuamini.Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .