Tuliombe Jeshi la Polisi kuzuia mkutano huu wa TLS hapa Ubungo Plaza kuhusu watu waliopotea

Hili kongamano linaisidia kutoa majawabu na pengine kuanzishwa kwa sheria mpya kuhusu usalama wa watu.

Nchi za kidemokrasia watu hujadili kupata majawabu na huja na takwimu na wanaopinga hupinga kwa takwimu na sio porojo za kisiasa unazoleta mtoa mada.
 
Maneno mazito na yenye akili sana haya. Haya mambo ya kuchimbua barabara zote tunajenga mwendokasi ili hali mabasi hakuna ni upungufu wa akili. Mwendokasi sio solution ya watu kuwahi wanapokwenda. Inaleta foleni vinjia vya wizi vinajengwa vyembamba ajali ikitokea gari hazipiti
 
Kuna nyuzi ukizisoma zinatia hasira sana basi tu.

Fake ID zinawalinda watu wengi sana, kuna watu wanastahili kutandikwa viboko hadharani.
 
Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .

Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa watu ambao hata huko nje wanatekwa na kuwawa tu .

Litakuwa ni jambo la hatari kama mlizuia maandamano ya chadema halafu mruhusu hili.

Hakuna amani wala utulivu kwenye mazingira ya kudhulumu uhai wa watu bhana.

Kwa hiyo wewe mtoa mada unaunga mkono utekwaji na mauaji ya wazi yanayofanywa na kikundi cha Polisi?

Vielelezo vya kuwaingiza Polisi kwenye kashifa ya kuteka na kuua vipo, ref to: Sativa/Ally Kibao scandals.

Bila kuanza na kuweka vielelezo sawa na kuanza kuwatetea Polisi na Serikali juu ya utekaji na mauaji hayo ya dhahiri, itakuwa tunaongea na chawa mwenye manyoya ama pandikizi linalopima upepo wa raia unavumakuelekea wapi.
 
Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .

Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa watu ambao hata huko nje wanatekwa na kuwawa tu .

Litakuwa ni jambo la hatari kama mlizuia maandamano ya chadema halafu mruhusu hili.

Na mbona huko nje wanaruhusiwa kuandamana, hivyo wananchi hapa nao waruhusiwe kuandamana kama hao wa ulaya.
 
Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .

Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa watu ambao hata huko nje wanatekwa na kuwawa tu .

Litakuwa ni jambo la hatari kama mlizuia maandamano ya chadema halafu mruhusu hili.

Attachments

  • 1727784959565.png
    1727784959565.png
    462.2 KB · Views: 1
Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .

Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa watu ambao hata huko nje wanatekwa na kuwawa tu .

Litakuwa ni jambo la hatari kama mlizuia maandamano ya chadema halafu mruhusu hili.

Kwanini uogope kwani ulihusika kwenye kupoteza hao watu..
Mbona kama kuna nguvu kubwa sana inatumika kuzuia hili swala.
 
Hilo jina la USSR Bora ulifute maana unalidhalilisha.ussr hawakuwa mabwege wa kufurahia ukandamizaji wa uhuru.
 
Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .

Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa watu ambao hata huko nje wanatekwa na kuwawa tu .

Litakuwa ni jambo la hatari kama mlizuia maandamano ya chadema halafu mruhusu hili.

Safi sana conscietization! Spelling sijui ziko sahihi?
 
Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .

Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa watu ambao hata huko nje wanatekwa na kuwawa tu .

Litakuwa ni jambo la hatari kama mlizuia maandamano ya chadema halafu mruhusu hili.

Umeandika ila pale unaposema unaomba Polisi baasi story kwishnee haina utamu wala mshiko wewe ni mpuuzi kama waliotangulia!!!!!!!
 
Umeacha kuanguka kifafa siku hizi?

😅😅😅 Hata sinema za 23rd tumeziona, mlilia familia haya ikaja mtoto akaoandishwa kwenye bonge la mkoko, wengine kalishwa chini kwenye kanyagwa twende wafike wanao pelekwa eeeh

Episodes niliziona.. Mna levozi.. Bora hamkujitokeza mkalala..

Tabu yenu hamjuwi kwenda nje ya BOKSI, nafikiria asikilizwe mpinzani kile anataka.

Wengi mnenidakia kwa sababu unapenda kuandikiwa 1 jumlisha moja ni two.

Haya wenzako watasoma pia hapa majibu yangu.
 
Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .

Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa watu ambao hata huko nje wanatekwa na kuwawa tu .

Litakuwa ni jambo la hatari kama mlizuia maandamano ya chadema halafu mruhusu hili.

Yaani Kwa Nini mzuie huo mkutano kwanini mnapata taabu watanzania kupotea kwenu siyo tatizo
 
Najua polisi makao makuu mpo humu na mnapitia haya hawa wanasheria wamepanga kukutana na vyombo vya habari vya nje na ndani kuwaaminisha watu kuwa Rais Samia ndio anahusika na kuteka watu .

Wanataka kuchafua image ya taifa letu lenye amani na utulivu mkubwa kwa kesi mbili tatu za kupotea kwa watu ambao hata huko nje wanatekwa na kuwawa tu .

Litakuwa ni jambo la hatari kama mlizuia maandamano ya chadema halafu mruhusu hili.

Uwe na Akili hasa watu wanapokuamini.
 
Back
Top Bottom