MAKANGEMBUZI
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 2,670
- 7,655
- Thread starter
- #161
Kaka nenda kulinêre bei za dawa kule chimbo kariakoo halafu compare na unavyonunuaga au nenda kwa fundi weiding akupe gharama za materiaal ya madirisha then nenda buguruni kayanunue ndio utajua how game works.Ukifata maandiko unalaza familia njaa kabisa lazima ule kwa haki, lakini ukiona unaminywa sana lazima upigane ugawane kidogo na mwenzako.....japo wanasema faida iwe robo tatu ya mtaji.
Mfano uza product 10,000 na ulinunua 7,500.....2,500 ni faida yako ✅✅✅✅
Ukija kwenye udalali basi ale 1,000 mpaka 2,000 means product isiuzwe zaidi ya 12,000 isizidi hapo.
Sio kuuza 18,000 sijui 25000 product ya 10,000 hii ni dhambi wandugu,
sikatai mimi nimewahi fanya udalali lakini nilizingatia hizi standards.....
Serikali tu bei za kupanda ndege inatulangua balaa.