Tuliopiga sana pesa za udalali kwenye biashara na bado life gumu tukutane hapa

Kaka nenda kulinêre bei za dawa kule chimbo kariakoo halafu compare na unavyonunuaga au nenda kwa fundi weiding akupe gharama za materiaal ya madirisha then nenda buguruni kayanunue ndio utajua how game works.

Serikali tu bei za kupanda ndege inatulangua balaa.
 
Kiufupi tunapigwa sana.
 
Wewe mbona unapiga lakini husemi....tena ww fundi ujenz ndio hufai
Sisi mafundi tunatumia akili kufanya kazi ,ujuzi unalipiwa sheikh ila wewe dalali unaweka cha juu tu bila kuongeza thamani ya bidhaa unayouza yaani wewe unachofanya ni kuongeza bei tu...Boss kakwambia anataka elfu 50 wewe unaweka laki halafu unampa boss 50 kisha boss na yeye anakupa tena 5 ,unaondoka na 55 Dalali halafu mwenye mali anaondoka na 45 ,hauoni ni DHULUMA hapo?
 
Me si nimekaa dukani ana yeye boss amekaa nyumbani anakuna pumbu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…