Tulioshuhudia vituko kwenye mabasi ya mikoani tukutane hapa!

Me sijawahi panda basi kwenda mkoa napewa lifti na gari binafsi [emoji13] [emoji1]
 
the same story imewahi kutokea waalii 12 walienda kisiwani kutalii, walivyorudi mmoja wao alinunua mtoto wa mamba kwa ajili ya kufuga, akamvesha kwenye kamfuko, airport hawaruhusu kupita na live animal, mtalii kahonga security wa airport kapita. Kamamba kakaanza kuhangaika kujaribu kutoka kwenye kamfuko.... Kakafanikiwa, jamaa kapiga usingizi abiria kuangalia miguuni mamba mamba weee, kuhangaika kule na huku, ndege ika loose centre of gravity, abiria wote 12 pamoja na rubani kwisha.
 
Una tabia kama yanguu
Mimi nilichokuwa nafanya siku moja kabla ya safari ilikuwa naingia zangu shoprite pale kamata najaza apples, zabibu na matunda mengine kadri navyoweza, nanunua na kisu kabisaaaa kosha vizuri. Kwenye basi ni mwendo wa matunda tu mpaka kufika, wengi niliowahi kukaa nao siti moja waliipenda sana hio style
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mnautani na nyimbo za MUNGU.
 
Hahaha kitambulisho chako kilipona kutolewa mkuu?maana kuna wengine wanatoa kitambilisho huku wanakiziba ziba na kurudisha fasta kumbe cha vidudu
 
Kudadadeki ilinitokea mm nilikua natoka mwz naenda bukombe tumefika shy town nimeshuka kudig medicine narudi nakuta
Bus limeondoka na limepaki bus lingine la kampuni moja na yanafanana kweli mm bila kujua naingia ndani kilichokuja kunistua sura nilizozikuta zote zilikua mpya sio zile nilizoziacha na kelele za wanaolipigia debe wakilitambulisha linaenda tabora nilipagawa maana mizigo yangu yote ilikua mle na wale kampuni hawana ofisi pale shy stand but nilijalibu kutafuta kustep ofisi ya mabus.ya allys nkamkuta jamaa mmoja nkamumuelezea mungu mkubwa yule jamaa akawa na no za kondakta ambaye.alikua.on duty.dat.day hivyo nkawa nmepiga nikawapa.instruction mzigo.wangu wakaushusha kahama ofisi za mohamed trans
Bahati.nzuri.pesa nilikua nazo kwa trouser.nikatake a.new.ride
 
Ndomana kabla sijasafiri lazima nimeze flagyly a subuhi silikitu ikifka mida ni mwendo wa bites bites tuu clips au biskut na juic had nafika [emoji4] [emoji4] [emoji4] sjawah haribu safarini
Kabsa kuna wengine wanajitakiaga kila kituo anataka ale unakuta msukuma anatoka mwz.kuja dsm kituo cha tabora anataka ale mahindi mabichi na kalanga.mbichi singida ale chips na nyama ya punda dodoma zabibu anabugia.morogoro matunda.hiyo.mixture plus shake bfor use ya.gari.mixture inakuja kureact
 
Mimi niliwaacha wafanye nilichafua vyoo vyote viwili
 
kuna mother nilikaa naye seat moja kwenye bus lenye seat 2*2 alikuwa na watoto watatu mabonge yeye kampakata mmoja mimi mmoja alafu mmoja kakaa katikati yetu .... songea to dar. alinikera ila basi tu ubinadamu nifanyeje.
 
Hahaha kitambulisho chako kilipona mkuu?maana kuna wengine wanatoa kitambilisho huku wanakiziba ziba na kurudisha fasta kumbe cha vidudu
Hahahaha vyangu bahati nzuri vilikua sehemu salama mkuu.
 
Eeeh jamani nikipiga picha nacheka mpaka mwisho
 
Kuna siku nimepanda hilo bus from Dar to Mbeya ile tumefika Iringa kukawa na mvua kubwa duh Dereva anaambiana na wale makonda wipers za kioo pale mbele zimaharibika ,kwahyo ilibidi tuwe tunatembea kidogo ukungu ukimzidia Dereva tunapark gari anashuka Konda na kitambaa anafuta kioo kwa nje safari inaendelea aisee thanks God tulifika salama niliogopa sana hyo safari
 
Hao ndio wale wanaotumia mtandao pendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…