Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Shida inaanzia hapo sasa. Kwanini hawakupewa barua? Kwanini walisubiri mpaka siku ya Uchaguzi then wakaibukia pale bila barua? Yaani sehemu nyingi Upinzani ulijiandaa/uliandaliwa kupigwa mapema.Kituo nilichopigia kura mawakala wa upinzani hawakuwepo walifukuzwa kabisa kisa hawakupewa barua ya utambulisho na mkurugenzi..
Biblia hiyohiyo inasema, HAKI HUINUA TAIFA.Hata hivyo Biblia inahimiza kutii mamlaka pia.
Mkuu mawakala wameanza kufatilia barua mda mrefu mkurugenzi akawapa barua ccm, wao wakabaki hawana akasema hatoi mpaka asubuhi na asubuhi wanafatilia barua haziji wakafukuzwa, so nchi nzima mawakala wa upinzani walinyimwa huku ccm wakipewa kwa niliyo shuhudia kuwalaumu upinzani sio fair, tena mawakala wengine walipigwa wako ICU Sasa hviShida inaanzia hapo sasa. Kwanini hawakupewa barua? Kwanini walisubiri mpaka siku ya Uchaguzi then wakaibukia pale bila barua? Yaani sehemu nyingi Upinzani ulijiandaa/uliandaliwa kupigwa mapema.
Mambo ni mengi sana ya kujifunza na kuchukua hatua. 2025 sio mbali sana.
Naamini hata hayo makundi atayathibiti vizuri tu.Anaonekana kajipanga barabara.Hakuna fyoko fyoko.Yetu macho.Amewanyima tu hao wapinzani ajira ya ubunge, udiwani na hata huo Urais! Ila upinzani hauwezi kufa kamwe. Hata ndani ya hicho chama chake, upinzani na makundi yatendelea tu kushamiri.
Yaani tumerudishwa enzi za Mwalimu! Hovyo kabisa.
Huyo hayupo nchini hivyo hajui kilichokuwa kinaendelea.Vyama vya upinzani mawakala wote walifukuzwa.
Waliogoma kutoka walikamatwa na polisi ndani ya vituoInawezekana kweli wengine walifukuzwa. Ila ukishakula pesa ya mtu, unaweza kutunga uongo wowote.
Wakala anayejielewa, aliyekula semina na akafundwa na Chama chake anafukuzwaje? Huu utaratibu wa kuokota mtu yeyote barabarani ‘akajitolee’ kusimamia nadhani iwe mwisho mwaka huu
DadadekiWaliogoma kutoka walikamatwa na polisi ndani ya vituo
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Shetani usiitumie biblia katika uovu.Hata hivyo Biblia inahimiza kutii mamlaka pia.
Green guards walivalishwa mavazi ya polisi.Dadadeki
Inawezekana kweli wengine walifukuzwa. Ila ukishakula pesa ya mtu, unaweza kutunga uongo wowote.
Wakala anayejielewa, aliyekula semina na akafundwa na Chama chake anafukuzwaje? Huu utaratibu wa kuokota mtu yeyote barabarani ‘akajitolee’ kusimamia nadhani iwe mwisho mwaka huu
Kutii mamlaka za juu kwenye uovu.. hell noHata hivyo Biblia inahimiza kutii mamlaka pia.
Hilo hata Mimi nilishajikatalia katakata.Kama kuna kazi za kutii kila amri hizo wafanye wengine kwa kweli.Mimi hata kwa kuigiza siwezi.
Hao mawakala ndo watazuia nini kisifanyike?Chadema Ianzishe Chuo Cha Mawakala.
Hongera CCM kwa elimu ya Siasa na Uchaguzi mnayotupatia Mara kwa Mara.
Yani mtu utaje bei yako upewe hela the unasingizi kuwa mlifukuzwa huu ujinga utaisha lini.Vyama vya upinzani mawakala wote walifukuzwa.
Imeshindikana kumwajibisha Kwasababu ya idadi ya wabunge, upande wake wako wengi sana,Katiba iliyopo watu wameshindwa kuitumia.
Magufuli kapiga marufuku mikutqno kinyume na katiba.
Hiyo mpya mkipewa halafu akaivunja hivyo hivyo, mtafanya kipi cha tofauti?
Mimi naona katiba mpya ni muhimu, ila mara nyingi inafanywa kuwa kisingizio tu.
Katiba haileti mabadiliko. Watu ndiyo huleta mabadiliko.
Sasa kama watu hawana muamko, katiba mpya utasaidiaje?
Mlifanyaje?Hatuna cha kueleza sisi tuliosimamia Uchaguzi tutabaki nafsi zikituuma lakini tulitii mamlaka zilizokuwa juu yetu.
Mkakati kuanzia juu mpaka chini kabisaa kwenye ngazi ya mwisho mkakati ulitekelezwa na watendaji wakatimiza.
Narudia tena, ogopa mamlaka iliyoko juu yako. Tulifanya serikali za mitaa na tumemalizia uchaguzi mkuu.
Lazima kibaki chama kimoja kwa mujibu wa kauli za mamlaka, sasa wewe mtu mmoja unaanzaje kupinga?
Ili haya yote yaishe ni Katiba Mpya vingnevyo upinzani usahau kabisaaa uchaguzi huru.
Umefanya toba kwa nani ?Maafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka Nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini. Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.