Uchaguzi 2020 Tuliosimamia Uchaguzi tukiri kuwa tumewatendea dhambi Watanzania kwa sababu ya kutii Mamlaka

Mkuu ikifa utawezaje kumzuia mkeo asipoige kura? Unajua hawa wanawake zetu ukifa ndio anafungulia uhuru aliokuwa amefungwa na pete
 
Maafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka Nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini. Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.
Makamanda huwa hamuishiwi na porojo..."watu wanajaa mikutano yao kwa aijli ya show za Diamond na Zuchu, leo unajifanya ulikuwa msimamizi! Kabadiri matokeo mbele ya mawakala wa vyama, na sanduku la kura mkachoma, na ulikuwa unasimamia matokeo ya jimbo zima maana idadi ya wapiga kura wa kituo kimoja haiwezi kuleta athali kama tunayoiona kwenye majumuisho, mfano Mh. Mbowe waliiiba kura zaidi ya 60,000 kama manweza kuibiwa kirahisi hivi jitafakari kama mnaweza kulinda raslimali za nchi mkipewa uongozi!
 
Maafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka Nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini. Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.
Wewe ni mpuuzi tu. hata ufanye toba ya namna gani hiyo laana haitakuacha mbwa wewe. na ndani ya hii miaka mitano mikosi na balaa itakuandama wewe na familia yako.
 
Upo sahihi jimbo hili lipo mkoa wa songwe kwasababu za privacy sitaweza kulitaja,majority vituo vingi ccm ilishinda lakini pia baadhi ya vituo vilivyopo mjini CHADEMA ilishinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maafisa vipenyo walinikalia kooni nikakumbuka nina watoto wadogo bado wanamuhitaji baba yao ikabidi nibadilishe tarakaimu ya chini iende juu ya juu iende chini. Moyo unauma Ila hamna namna na nimefanya toba kwa Hilo.
Uongo
 
Laana, mikosi na kifo itakuandama hizi miaka mitano yote.
 
Kuna watu wapuuzi Sana. Kwa vile Watanzania wamewakataa ndio wametenda dhambi? Mmekataliwa Mmekataliwa tu, hata mtoe mapovu na kina Amsterdam wenu hakibadiliki kitu.
 
Hivi kwa nini muda ule bunge linapovunjwa na Raisi naye madaraka yake yawe yanasitishwa mpaka uchaguzi ufanyike? Jeshi lishike nchi kwa utaratibu maalumu mpaka apatikane rais baada ya uchaguzi.
 
Swali fikirishi, je unaweza lazimishawa kuolewa ama kumuoa usiye mpenda? na je kuna madhara?
 
Ulisimamia wapi na jina lako ni nan???
Maana ata mimi naweza kwambia ni mtoto wa bilget kwa maneno
 
mambo ni ya moto kwa ground
 
Kwakweli mnalalamika mpaka roho inaniuma poleni sana wajameni ndio siasa hiyo jipangeni kwa uchaguzi ujao..

Congratulations in advance President Magufuli
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Na wewe tunafatilia kura yako ulimpigia nani! Ili tujuwe u-pamoja nasi au niaje!
 
Umeisoma katiba mpya? Kuna mambo mke yanampunguzia madaraka Raisi hivyo ni Raisi kumu impeach Raisi, hata wakitenganisha kofia itasaidia maana hakuna sehemu rais anakutana na wabunge kama boss wao, judiciary lazima iwe parallel na mihimili mingine tutafute utaratibu wa kumfuata judge mkuu na ma judge na vyombo vya kumuimpeach viwe ndani ya judiciary
 
Wakishinda wapinzani haki imetendeka, ila wakishindwa hakuna haki, tulia sindano iwaingie
Msichojua ni kwamba hiyo sindano huishia kuwachoma wote.... Unamkumbuka yule gwiji wa nyimbo za mbogamboga marehemu kapteni Komba? Ndiye aliyetunga ule wimbo maarufu wa wapinzani wataisoma namba. Muda mfupi baadaye yeye ndiyo akaanza kuisoma namba kwa kudaiwa kodi lukuki na mikopo ya benki kila kona, mwishowe shule yake ikadakwa na moja ya benki... Na ugonjwa ukachanganya, Mungu naye akamuita.... [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…