A
Anonymous
Guest
Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa Ajira Serikali kupitia Mfumo wa Ajira Portal ya Serikali, kutotambua Course ambazo tumezisome katika Mfumo huo.
Ambazo course hizo ni katika upande wa Elimu katika ngazi ya Cheti/Certificate, Astashahada na Stashahada upande wa Travel and Tourism operation na Tour Guiding Operations.
Ikumbukwe chuo hicho ni cha Serikali ambacho kinatoa wahitimu kila mwaka na haijulikani wanakoelekea.
Na Mimi sasa ni mwaka wa Tano tokea nimehitimu katika chuo hicho (Ordinary Diploma in Travel and Tourism) na kila nikijaribu mara kwa mara kuomba Ajira katika Mfumo wa Serikali wa Ajira Portal inashidwa kutambua kitu ambacho nimesomea.
Sisi kama wahitimu tunaomba Serikali itusaidie kwa ilo,, Inatufanya tuwaze kuwa labda uwepo wa chuo iki ni biashara ya watu wachache waliopo serikalini kwa manufaa Yao wenyewe kupitia Ada ya wanachuo.
Naomba kuwasilisha!!🤝