TCU wameweka uwe tutorial assistance uwe na 3.5 Ila pale wameweka 3.8 ndio hapo sasa
Kumbe sikujui kuhusu hicho chuo na condition's zake Mimi mwenyewe siwezi vvyuo vikubwa nirudi kutafta kazi bongo hayo yanakuwa matumizi mabaya ya Rasilimali, maana kusoma tu hicho chuo huwezi teseka kabisa kuhusu fursa kwanza ubongo wako unajua mengi na high exposure hata ukirudi bongo nikufsnya tu project zako.
Hahaaa comment yako imenifuraisha Sana umeandika ukweli mtupu kusoma vyuo vya wenzetu unajifunza mengi ingawa ni PhD hyo Ila wenzetu wanakuwa na vitu vya extra kuliko wahitimu wa hapa. Kweli Mkandala PhD yake ili musaidia maana kala mema ya nchi na kichwani alikuwa vizuri.Proffessor mkandala.. alisoma tu phd university of california Barkley, alivyorudi bongo akapewa UVC na akapewa majukumu kibao ya kitunga sera za nchi na za ccm.. kitabu cha mkapa , kitabu cha mengi vyote hivyo kaedit yeye... ile ari mpa nguvu mpya yeye.. mambo kibao kwa heshima ya university aliyo attend..
Udsm hata maproffessor wenyewe kuna majina ya vyuo wakiyasikia wanatemeka na kupeana heshima.. halafu jamaa analeta uongo wake hapa eti mtu ana degree na phd ya university of michigan amenyimwa kazi.. chenge na havard yake tu anatuibia kila siku na akienda mahakamani anatushinda...
Lakini mwenye 3.5 hawachukui na hawashuki zaidi ya hapoUDSM wameweka 3.8 lakini sio 3.4
Ndio maana nikasema wanachofanya wao ni kuweka viwango visivyikinzana na vya TCU (sio vya chini)
Kwahiyo akaombe kazi wapi? alipata ufadhili kote huko. Mbona kuna watu wamesoma first degree adi PhD huko USA na wamekuja kuajiriwa hapa serikalini na wanalipwa TGS?Hiyo naona chai.. university of michigan ada yake ya undergraduate ni zaidi ya milioni 100 kwa mwaka... na degree za miaka michache michigan ni miaka minne. Sasa mtu alipe ada yote hiyo kisha aje kuomba kazi udsm... hapo sijaweka ada zake za masters na hiyo phd tena ya Michigan university
Kwahiyo akaombe kazi wapi? alipata ufadhili kote huko. Mbona kuna watu wamesoma first degree adi PhD huko USA na wamekuja kuajiriwa hapa serikalini na wanalipwa TGS?
Kwa miaka mingapiUmesema engineering na hapo zimeshuka Mimi Art's pale Ada milion Saba kasoro hivi hata risiti naweza kukupostia awamu hii ada ndo zimeshuka mzee baba.
Kwa miaka mingapi ? Nataka nisome Masters ikiwezekana mwaka huuEngineering na course za CoICT ni 4.5m zingine ni chini ya hapo
Kumbe mtu ukijipanga inawezekana, ni miez mingapi?Tena hapo ili uwe admitted lazima uanze na million mbili cash.
Miezi huwa kuanzia 18 Ila hapo inaweza kuzidi ukifika researchKumbe mtu ukijipanga inawezekana, ni miez mingapi?
2 year's Ila Sasa Ada zimeshuka chezea vyuma wewe wanafunzi wachacheKwa miaka mingapi
Si kweli, japo ukweli siujui.Honors inaanzia upper second pia gpa yako shart iwe inapanda au kubakia the same isishuke tu ata mwaka mmoja.
Mfano first year ukapata 3.4 second year 3.4 third year 3.5 na fourth year 4.0 na overall ukapiga 3.6 hapo utapewa degree with honors hope umeelewa mkuu na mwisho usiwe umewahi kupata sup ata moja toka umeanza
Udsm waliamua kutupa wote honors sabab ya heshima ya kusoma pale maana waliona wanafunz wao tunateseka tukiingia mtaan na watu wa vyuo vya kata ambao wana ma gpa ya kumwaga tuu wakat akil hawana za kupata gpa hzo ..elim ya udsm ni ngum mjomba...yaan ufundishwe na prof ufananishe na mtu wa chuo cha kata anaefundishwa na msela tuu mwenye degree1 tena ya kuunga unga halaf yeye apate first class ya chuo cha kata ufananishe na wa udsm.haiwezekan..ndomana waliamuaga kutoa honors kwa woteSi kweli, japo ukweli siujui.
Hivi hii GPA ndio inaitwa gentleman?
Wailosoma ud ndio Hawa wanaogopa kwenda nje ya nchi kisa kimalkia hakipandi.
Hivi kigezo cha udsm kutoa degree with HONOURS ni kipi ? Maana kuna mtu ana second class lkn ana degree with honours ukizingatia kua degree with honours ni kwa wale wenye first class tu.
Hyo new GPA hyo according to prospectus na hyo ilikuwa kwa waliosoma undergraduate the rest vyuo vingine GPA walichukuliwa kubwa zaidi vile hawajasoma hapo. Udsm Wana guideline yao hyo ya tcu ndo naona hata GPA ili uwe lecturer chuo Kikuu ni 3.5 Ila pale hawakuchui hata Kama una first class vyuo vya kata pale hawakuchukui so there is difference
Vyuo vya uchochoroni huko ndo vyuo vya kata, ulipo sema Sua tu kumbe na wewe kule kule kwenye comparison,What do you mean vyuo vya kata? udsm jina tuu, bora ata ungeniambia sua udsm its just name
for me best university naangalia vitu vifuatavyo
innovation and creativity je unadai umetoka udsm bado unatembeza bahasha this is ridiculous what're the meaning of education you claim to be graduate from udsm ? you've a lot of people claim to be scientist and engineers still tooth peek tunaagiza kutoka china and you still claim to be best students from best university , above all what do you think make you( udsm) to feel sospecial and see other kuwa vyuo vya kata
if you're zero creativity
zero innovation , research za kukopi na kupest dunia ya sasa atuangalii uwezo wa kukariri kwani computa zipo zinauwezo mkubwa tu wa kuifathi information. huuni ulimwengu wa kutatua changamoto kwa kutumia mawazo walio tumua mudawao vizuri apa duniani ili kuweza kutatua changamoto za sasa GPA without creativity and innovation its just like kumpiga tembo na chelewa
Ndio msome Post graduatendio muweze kukukidhi vigezoo.Nimemaliza chuo na GPA ya 2.5 nataka kwenda kusoma Masters je naweza, kama haiwezekani inatakiwa nifanyeje wakuu?
Umemjibu vizr huyu mzungu wa KolomijeeVyuo vya uchochoroni huko ndo vyuo vya kata, ulipo sema Sua tu kumbe na wewe kule kule kwenye comparison,
Bwana wee kwa Tanzania udsm inaongoza , innovation ipo kila sehemu ni matter ya ku capitalize hyo innovation