Tuliotoka Chuo na GPA ya 2.0-2.6, tufanyeje ili tusome Masters?

Ukiwa na akili kubwa UDSM pana chances kubwa za kuchomoka kimaisha, kinyume na hapo lazima utapachukia.
Huu utoto mwingine, kutoboa/kuchomoka kimaisha hakutegemeani na akili kubwa wala ujanja ujanja mzee,rekebisha ufahamu wako. Nilitaka nisikujibu.

Pili, ulitakiwa ujue kwanini naichukia UDSM, miongoni mwa vitu vilivyo nifanya niichukie ni mfumo na kile tulichokuwa tunasomeshwa.
 
Honours inapatikana kwa ambao wanapiga GPA kwa ascending order.

Graph yako isome kwa style hii: 3.5 , 3.7, 3.8, 4.0, 4.2,4.3! hapa unakula jiwe kwa heshima.

Sio: 4.5, 4.1, 4.2, 3.4, 3.1, 3.6, 3.5!
Hapa unaonekana mzinguaji! Hupewi honors.

Ahaaa, nashkuru boss hapo nimeelewa.
Je Honour ina advantage gani ?
 
sijajua kwa nini huyo jamaa hawakumchukua, lakini udsm huwa wanawachukua sana watu waliosoma vyuo vya uk na usa kama wahadhiri na pia India vyuo vinavyoeleweka huwa wanachukuliwa sana, kwa hapa Tanzania udsm huwa wana imani na products za SUA tu ambao wengi utawakuta kule conas...vyuo vingine mfano muhitimu wa saut umpeleke kufundisha udsm atajikuta yeye ndiye anafundishwa kutokana na nature ya wanafunzi wenyewe.
 
Umeandika kweli mtupu Kuna mmoja alitoka SAUTi first class akachukuliwa u totorial assistance Mambo yakamshinda na akakamatwa supplementary za kutosha tu, ndo akakosa nafasi
 
Asante kwa kunikosoa. Nitajirekebisha
 
Upo sawa mkuu. UD kuna tatizo naliona na soon Idara nyingi sana kwenye ndaki ya uhandisi zitakosa capacity.
 
Huwa GPA KWA VYUO VYOTE NI KUANZIA 3.0 .HIVYO UTASOMA POST GRADUATE KOSHA MASTERS yako
 
Nahisi kwa sahivi kama kuna urahisi flani. Kuna jamaa kama watatu hivi nawafaham wanasoma Harvard na MIT.
 
Nahisi kwa sahivi kama kuna urahisi flani. Kuna jamaa kama watatu hivi nawafaham wanasoma Harvard na MIT.

Havard sio public university.. ni private university. Havard haijiendeshi kwa kutumia tax payers money kama states public schools kama university of michigan..

Kupata scholarship ivy league university kama havard, yale, princeton etc inawezekana sana kwa international students kiurahisi kuliko kupata scholarship kwenye states public universities..
 
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi.
Shida katika elimu yetu unahisi ipo wapi?
 
Nashukuru mkuu kwa ufafanuzi.
Shida katika elimu yetu unahisi ipo wapi?

Shida ipo kwenye sylabus.. nikiseto hapa hapa nitaedit na kukuwekea masomo ambayo mwanafunzi wa sekondari usa. Anasoma.. kisha utalinganisha utajua wanatuacha wapi
 
Shida ipo kwenye sylabus.. nikiseto hapa hapa nitaedit na kukuwekea masomo ambayo mwanafunzi wa sekondari usa. Anasoma.. kisha utalinganisha utajua wanatuacha wapi
Hivi kwanini Hawa update syllabus kila baada ya like ten year's Kuna mkufumzi chuoni daftari lake akiwa anasoma master's miaka ya 70 mpaka leo anatumia Hilo Hilo kufundishia wakati a lot have changed.
 
Shida ipo kwenye sylabus.. nikiseto hapa hapa nitaedit na kukuwekea masomo ambayo mwanafunzi wa sekondari usa. Anasoma.. kisha utalinganisha utajua wanatuacha wapi
Bila shaka kiongozi.
 
Hivi kwanini Hawa update syllabus kila baada ya like ten year's Kuna mkufumzi chuoni daftari lake akiwa anasoma master's miaka ya 70 mpaka leo anatumia Hilo Hilo kufundishia wakati a lot have changed.
Kama ni History haina shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…