HOJA Tuliovaa Jeans, T-shirt, raba tumezuiwa kufanya usaili katika ajira ya TRC, hii ni sawa?

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Haya mambo yapo kwenye maofisi yetu sisi watu weusi tu ila ukiingia kwenye mataasisi ya kimataifa yaliyopo hapa ndani hakuna vikwazo kama ivyo maybe msimamiz awe mmatumbi mwenzetu
Mkuu acha kupotosha watu taratibu zinajukikana kabisa na hata ukienda kwenye hayo mataasisi ya kimataifa wapo very smart mkuu ususani kwenye mavasi sembuse kwenye ofisi zetu hizi za kibongo, niwashauri tu vijana tuvae smati tukienda kwenye sahili zetu
 
Kutokujua taratibu,kanuni,miongozo,kawaida,utamaduni(sheria)siyo kinga kwa mkosaji.Wanaishije bila kujiongeza katika dunia ya leo ya utandawazi?Kila kitu kiganjani.
Huwenda ni new graduate, au hakuwahi kuhudhuria interview, siku hizi huo utaratibu upo mpaka maofisini wamebandika attire za kuvaa unapoingia maeneo hayo!
 
Jero tu Mtaani taabu..jamaa anaongelea elfu 5...! Unafiki na kiburi Cha Kibarua alichonacho...
Hali ni ngumu.sana kitaa..Mtu anatembea kwa miguu na bahasha kusaka kazi hana hata mia ..
 
Ila kwa akili ya kujiongeza tu unajua wazi kabisa hizi taasisi za serikali zinakuwa na aina ya mavazi ambayo zinaruhusu watu wavae wakati wa usaili na T-shirt na 👖 pamoja na raba ni mavazi ambayo hayaruhusiwi, kwani hukuwahi kufanya hata field kwenye taasisi za serikali ukaona kuwa hayo mavazi hayaruhusiwi? Hapo wewe ndo mwenye makosa, formal clothes ndo zinaruhusiwa na siyo casual clothes,, pole sana
 
tumia teknolojia katika kufahamu japo kwa uchache tu mambo muhimu ya kuzingatia na kuyaepuka kwenye usahili na itakusaidia sana na kwakweli itapendeza zaidi.

achana inferiority complex eti huwezi kuaafford mavazi ya heshima kwenye usahili, hali ya kua unaweza kuaafford mavazi ya ibadani na kwenye sherehe na mitoko mbalimbali 🐒
 
Haya sasa hujafanya usaili, hapo umemkomoa nani?

Acha kutia huruma sehemu isiyokusaidia, kama huna pesa ya kununua hizo nguo sasa unamwambia nani hapa?
 
Haya mambo yapo kwenye maofisi yetu sisi watu weusi tu ila ukiingia kwenye mataasisi ya kimataifa yaliyopo hapa ndani hakuna vikwazo kama ivyo maybe msimamiz awe mmatumbi mwenzetu
Ni sawa na workshop nyingi za kiafrika overall kuvaa ni lazima bila hivyo ni kelele, ila niliona kiwandani kabisa Electromotive Diesel jamaa wamevaa pensi wengine na t-shirt za kampuni sana sana jeans na safety boots na wanajenga vichwa vya treni.
 
Alfu badae unaanza kumlaumu Mungu et hakuoni wakati wewe ndo Mxenge .
 
Siku moja moja unaandika points😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…