Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Hua yanatamba sana hayo mangese, Utasikia Yule jamaa hakuna kitu, Mke wake namkazia mm daily.

Akasimulie sasa na yeye jinsi alivo acha kimba.
bro wanaojitapa humu jf hawana lolote ni makeypad warriors. Mtu huwezi fanya hivyo uje kujitapa ni kama umekula nyama ya kuku mtaani. Dunia nzima ulishaskia hata redion mtu anajtapa kwa hilo tena kwa miaka hii ya sasa? Wanaofanya hawajitapi nakwambia
 
Anza kutembea na futa la nazi muda wote, Jamaa mwenye mke asijekukutoa damu.
 
Ukitaka kulipiza tukio usikurupuke hadi unajishangaa. Mleta uzi ulikurupuka vibaya coz kitendo cha kumlawiti mshikaji na mbunye zimejaa hapo ulifeli pakubwa sana. Ilikuwa uandae tukio lisilo umiza yaani kitendo cha kusema ulikuwa umeamua kama mbaya mbaya yaan kupoteza wote hapo hilo wazo ulibugi. Ilikuwa jamaa usuke umshke ugoni then umwambie nimekuachia mke ndio huyo urudi uhame ulikokuwa demu aaibike aende kwao afu uende useme ukwel wote then uondoke uwaache wakimhoji aamue kujinyonga ni sawa tu. Lakn angekufa mda ule wewe ndio chanzo cha yote na hungelienda mbali nakwambia ndugu yangu coz ungepgwa na stress ukonde hadi pua. Ukipatwa na tukio tuliza kwanza akili then ujue la kufanya lakin kwa mda huo huo unakuta akili sio yako.
 
Kwahiyo jamaa mavinyalimtoka?
 
Wewe acha kujifanya mjuaji. Kwamba nimekurupuka ulitaka niamie kwa utashi wako? Kila mtu atumie utashi wake.
 
Wewe acha kujifanya mjuaji. Kwamba nimekurupuka ulitaka niamie kwa utashi wako? Kila mtu atumie utashi wake.
si ujuaji ilikuwa ufanye tukio ambalo ungeacha alama wachague wafurai au wanune. Lakn la kusondomola mme mwenzako na unajisifia kuwa ulifanya tukio la maana hiyo ni no. Je kama mke wako alimwambia jamaa hajaolewa au hujamlipia mahari ndio wakaamua kufanya yao? Ndio ulilipiza moyo wako ukafurahi ni sawa lakin huoni ulikuwa na plan b ya kuwa akileta ubish unaua but ukafaulu? Je ungewamaliza mda huo sasa hivi ungekuwa wapi kiongozi kama sio jela au na wewe labda ungejiua? Mda mwingne ndio tunalipiza kuponza mioyo yetu bt kwa mda ule unakuta kweli unachokitaka ni ushndi tu na si kingne lakin nakwambia kwa mda huo unakuta ubongo wa kulia umerudi nyuma yaan umechanganyikana. Lakn ukitulia mda ukatafakari unapga tukio ambalo hata ukipelekwa polis ushahidi hakuna unarud mtaa kubounce kama abednego. Ok mimi ningelikuwa wewe ningemuoa mdogo mtu.
 
Usaliti ni roho chafu. Ikizoeleka inaonekana kawaida Kwa anayefanya. Ndio maana wengine wanaua au kujeruhi vibaya
 
Maisha sii kutafutana ila kujitafuta,unaposikia tafuta hela,jua maana yake muda wa kumlinda mwenzio tafuta hela akizingua,unatafuta mkali zaidi yake na aone na kukubali kuwa ulichotafuta ni zaidi yake,hapo heshima sii tena debe wala gunia ila heshima,heshima heshima mwanzo mwisho,mwanzo mwisho na majuto debe na kumwagika!Ila ni kwa wenye akili ila kujitoa ufahamu,wengine ni kama kile chama chakavu kinacho subiria R.IP
 
Beshtie, wired differently or not……. Matokeo ya usaliti ni yale yale, what do you learn from this?
Uliandika kwamba mwenza anapokusaliti ni kama amekuona mjinga. That's not the case. To understand why it's not the case you need to know why people cheat to begin with. Kuhusu matokeo ya cheating sote tunajua kwamba cheating inaumiza.
 
Hapa wakoment walio

WALIOWAHI KULA WAKE ZA WATU

WALIOWAHI KULIWA WAKE ZAO.
Tofauti na hapo wengi watamshangaa mtoa maada.

Kula mke wa mtu huku ukijua kua ni MKE WA MTU hiyo ni dharau kubwa sana kwa MMEWE.
 
Uliandika kwamba mwenza anapokusaliti ni kama amekuona mjinga. That's not the case. To understand why it's not the case you need to know why people cheat to begin with. Kuhusu matokeo ya cheating sote tunajua kwamba cheating inaumiza.
Una mis concept ya mimi kusema mtu anayekucheat anakuona mjinga.

Ndio anakuona mjinga sababu ana hope hautakuja kugundua.

Pamoja na sababu zingine za kwanini wanacheat hii nayo naiweka kama mojawapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…