Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau


Kama alikua Manzi ako tu, Hujaoa wala kujitambulisha.

Achana na Mshikaji, hana Kosa.
 

Hao ******* wakikaa vijiweni hua wanasimulia kabisa, Yule Fala na mgongea.

Ukiamia kumuachia huyo demu sasa, kwamba labda jamaa kamzimikia unashamgaa nae hamtaki tena, so ni total distraction tu.

Hao wanavo kuja ndivo wanavo pokelewa.
 
NAKAZIA, mwanaume huwezi dindisha mbele ya mwanaume mwenzako, otherwise na wewe umewahi pigwa nyuma. Haiingii akili mwanaume udinde kwa mwanaume mwenzako, zile hisia za kuingiza nk haimake sense, ni ugonjwa wa akili au ushoga huo wote wamekutana.
 
Njoo na babaako muiname ndio utapata majibu. Unaumia kama ulishawahi kuingiliwa. Una kila dalili za kutembea na wake za watu ndio maana unaweka utetezi. Nyie ndio wa kupakuliwa mafi
We jamaa adabu hauna, unaongea jamaa ila unamtaja baba yake, sasa yake anaingiliaje hapo? We jamaa una changamoto ya ufahamu aseee.
 
Msijipe presha kisa mtu uliyekutana naye ukubwani.Lindeni amani zenu na msifanye chochote kwa hasira...Mke au mume ana mamlaka na mwili wake.Kama ana hekima na kukupenda atatulia, kama ni mp-umb-vu, mambo mengi yatatokea.Yakitokea - tulia- endelea na maisha
 
Hii chai umejaza iliki sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…