Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Jangili kazini😀😀😀😀
 
Mkuu huyo jamaa nimeshaona ana matatizo aisee, mtu mwenye nidhambu hawezi mtukana mzazi wa mtu namna hii.
Kafie mbele. Punguza kujifanya unawajua watu. Ukimshambulia mtu kwa fimbo usitake anapokurudishia atumie fimbo pia. Mie nakukata hapa panga.
 
Mkuu huoni wewe kutokujali hivyo inaweza ikawa mwanzo wa chuki na kupelekea kuuana?
 
Well done my son!
 
Alikuja na kisu cha kazi gani kwenye fumanizi asiloweza kufanya kitu?
 
Hao ******* wakikaa vijiweni hua wanasimulia kabisa, Yule Fala na mgongea.

Ukiamia kumuachia huyo demu sasa, kwamba labda jamaa kamzimikia unashamgaa nae hamtaki tena, so ni total distraction tu.

Hao wanavo kuja ndivo wanavo pokelewa.
Nilishuhudia msgs za mke wa mtu akichat mchepuko yaani hizo msgs, walahi kama nyie mnaweza kusamehe hawa watu sameheni tu. The way wanavyomzungumzia mume wa huyo dada….!

Msimamo wangu ni kwamba hata kama mimi nachepuka as long as nimekukamata wa kwanza nakuacha asubuhi kweupe kabisa!


Nilisoma uzi mmoja hivi wa wake za watu huko ticktock wanaeleza walichosoma kwenye msgs za michepuko na waume zao ni aibu, mmoja anasema mumewe alisema mkewe alishafariki kwa ajali miaka mitatu iliyopita, now anaishi na dada yake anamsaidia kulea watoto 🤣

Wakuu nyie sameheni… mi siwezi huo ujinga .
 
Sasa jamaa etu anajisifu kumgonga mwanaume mwenzie kisha mkewe anaendelea nae, sasa hii akili au matope?

Changamoto ni ujumbe unavyotafsiriwa.

Wakati mtu anatafsiri kutembea na mke wa mtu kama kumgongea yeye anatafsiri kama uporaji wa rasilimali fedha, muda na familia alioutolea jasho kwa miaka mingi.

Ukishaona ubongo wako unakuambia wewe ni mwanaume kuliko mume wake, ujue kuna ujumbe mwingine mume wa mtu anaupata kutoka kwenye ubongo wake.

Swali la, huyu asingetumia changamoto za ndoa yangu kumlaghai mke wangu ndoa yangu ingeharibika? Ni swali baya sana kwa wagongaji, na baada ya tukio wala anaweza asijutie ukatili alioufanya.
 
Duniani hapa sio pa kuelekezana cha kufanya. Ipo mijitu inajifanya inaamini katika dini na kuona nimekosea yajue mimi sio religious. Nina imani zangu ambazo hazihusiani na zao. Wanaodhani najutia wala sijawahi na haitatokea. Kama ambavyo yeye aliona raha kuwa akitembea na mke wangu na mimi ndio nilivyofurqhi kumharibu yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…