Siwezi kufanya hiko kitu mzee, nimeongea hivyo katika akili ya kawaida huwez kutamani kumla mwanaume mwenzako japo mashoga yanaliwa kinyama mtaani huko. Sidhani kama wanaofanya hivyo Huwa wapo katika akili ya kawaida bila influence ya kitu chochote kichwani
haya supervicer nisome ili iweje, unafurahia kusondomola mme mwenzako au. Jamaa kiuhalisia alikurupuka ka ulivyokurupuka ww. Mfano huyo mgoni angewageuka akawajeruhi na baunsa wake faida kwa nani?Rudi kasoma post kuu halafu rudi kasome utetezi wako baada ya jamaa kukujibu. Utajua ulichokieleza hakina maana
Siwezi kufanya hiko kitu mzee, nimeongea hivyo katika akili ya kawaida huwez kutamani kumla mwanaume mwenzako japo mashoga yanaliwa kinyama mtaani huko. Sidhani kama wanaofanya hivyo Huwa wapo katika akili ya kawaida bila influence ya kitu chochote kichwani
Jela hayo mambo hayapo tena hasa miaka hii ya utandawazi ni kosa kubwa sana kufanya hivyo vitendo. Hata mfungwa shoga hachanganywi na wazima.Jela Huwa wanafanyeje?
Mbagala imekuharibu mkuu.Ngoja ukichapiwa ndiyo utajua uamuzi huu unafaa au haufai
Kuwahi kuishi mbagala si shida, haya mambo unaweza usione si sawa na ukasema huwezi chukua uamuzi kama huo. Ila ukumbuke sisi wanaume huoa mwanamke ambaye upendo upo hasa, huwezi kumuweka ndani mtu ambaye huna malengo naye.Mbagala imekuharibu mkuu.
Unajua ngoma ukiiona kwa nje unapata mengi sana ya kuongea, ila ukiingia ndani hata zile busara ulizotoa unaweza usizikumbuke ukawa zaidi yake. Hasira ni kitu kingine sana.haya supervicer nisome ili iweje, unafurahia kusondomola mme mwenzako au. Jamaa kiuhalisia alikurupuka ka ulivyokurupuka ww. Mfano huyo mgoni angewageuka akawajeruhi na baunsa wake faida kwa nani?
Kuna njia nyingi za kumuua panya na sio ukurupuke kumgonga akiwa juu ya vioo. Jama kakurupuka kufanya tukio ndio lakin huon mwishon lilimgharimu coz aliutoroka mtaa jumla after hata yeye kuaibika.
Sasa wanaume wenye vifungo virefu Miaka kumi na zaidi Huwa wanafanyeje?Jela hayo mambo hayapo tena hasa miaka hii ya utandawazi ni kosa kubwa sana kufanya hivyo vitendo. Hata mfungwa shoga hachanganywi na wazima.
soma coment yangu ya kwanza kabisa kwenye huu uzi uone nilichokifanya mimi. Ukitaka upate suluhu ya swala usikurupuke, kwanza tuuliza akili na ujiulize kuwa kwani bila huyu siwezi kuishi? Baada ya hapo unaweza kufanya jambo ambalo hata wewe halitakugharimu. Kumbuka vita ni mawili ndugu yangu, ushinde na ushindwe. ukaenda revenge mambo yakageuka utafanyaje. Kuna watu inafka hadi wanabadilishana wake zao kisa usaliti bro na kufanya hivyo sio ujinga ni kuepukana na vita isiyo na maana bro. Mim jamaa alomchukua dem wangu hakunizidi nguvu ni mtu ningeamua kumpiga angechapika kama mtoto lakn niliepuka ulimbukeni nkaamua kulipiza kijanja. Mm nilitaka akioa nimchukulie mke ila msamaha ukapitaUnajua ngoma ukiiona kwa nje unapata mengi sana ya kuongea, ila ukiingia ndani hata zile busara ulizotoa unaweza usizikumbuke ukawa zaidi yake. Hasira ni kitu kingine sana.
Sishabikii tukio kwa sana ila siwezi kosoa maana sijui ingenifika mimi ningefanyaje.
Good, very Good!!!Nilichukua bag la mgongoni ni ka mblock for two years straight. Watoto 4, kakaa nao hapo, nawasomesha basi, Hakuna jingine mwanamme aliyekamilika anafanya zaidi ya kuondoka, na kumuacha na wanawe, Kumfukuza ni Mambo ya zamani.
Ushswahi fumania mke?soma coment yangu ya kwanza kabisa kwenye huu uzi uone nilichokifanya mimi. Ukitaka upate suluhu ya swala usikurupuke, kwanza tuuliza akili na ujiulize kuwa kwani bila huyu siwezi kuishi? Baada ya hapo unaweza kufanya jambo ambalo hata wewe halitakugharimu. Kumbuka vita ni mawili ndugu yangu, ushinde na ushindwe. ukaenda revenge mambo yakageuka utafanyaje. Kuna watu inafka hadi wanabadilishana wake zao kisa usaliti bro na kufanya hivyo sio ujinga ni kuepukana na vita isiyo na maana bro. Mim jamaa alomchukua dem wangu hakunizidi nguvu ni mtu ningeamua kumpiga angechapika kama mtoto lakn niliepuka ulimbukeni nkaamua kulipiza kijanja. Mm nilitaka akioa nimchukulie mke ila msamaha ukapita
Halafu hicho kitoto unachapiwa tenaSiku hizi hatumfanyi chochote analipa gharama zote nilizopoteza kwa mke wangu halafu namwachia mke navuta kitoto cha 2000
kuna kisa nimekiandika humu humu kwene coment nilifumania dem ambaye nilitaka kumuoa na jamaa flani mimi nilichojiuliza ni kwamba kwani dem ni mmoja tu na nikaamua kucheza nao bila kupigana na hadi wa leo wanabaki ni kucheka tu.Ushswahi fumania mke?
Sawa mkuu nimekuelewa.Kuwahi kuishi mbagala si shida, haya mambo unaweza usione si sawa na ukasema huwezi chukua uamuzi kama huo. Ila ukumbuke sisi wanaume huoa mwanamke ambaye upendo upo hasa, huwezi kumuweka ndani mtu ambaye huna malengo naye.
Ikitokea sasa mtu kamla zile hasira na maumivu ndiyo huzaa maumivu mabaya sana. Ndugu sali na omba sana isikutokee unaweza sahau haya uliyoandika hapa
Kumbe umefumania demu si mke, hivi humu umeona watu wakieleza kumfanyia unyama mtu kisa demu au mke?kuna kisa nimekiandika humu humu kwene coment nilifumania dem ambaye nilitaka kumuoa na jamaa flani mimi nilichojiuliza ni kwamba kwani dem ni mmoja tu na nikaamua kucheza nao bila kupigana na hadi wa leo wanabaki ni kucheka tu.
Tag meUnamkumbuka yule aliyemnyoosha ba mkwe mpaka akataka jinyonga? Aisee🙆🏽♀️
Noma mzeeKumuinamisha mtu na mapumbu yake hiyo ni another level of vengeance, yaani huo ni umafia sio kila mtu anauweza duh!