Tuliowahi kuchapiwa tukutane hapa.. ulichukua maamuzi gani? Binafsi yule jamaa aliyenichapia hatokaa asahau

Kumuumiza aliyekugongea haiondoi kuwa umelombewa, zaidi tuu unathibitisha n kwa jinsi gani umeoa malaya aliyekubuu

Wakuu, n kweli Hatuwez kupata bikra wa kuoa ila tujitahidi kuoa wanawake ambao hawajatumika sana na sio malaya.
Wapo kweliπŸ€”
 
Yote hayo kisa demu. We unaweza hata kuua
 

Jikaze buddah achana na jamaa manzi keshaliwa. Mpotezee huyo manzi anza upya
 

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ noma sana walahi siku 3 uvunguni buddah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…