Tuliowahi kuchukua mikopo tukafanya ndivyo sivyo

Nimemaliza chuo mwaka jana imefika wakati n nimeamin mtaji ndo changamoto kwangu lkn nikahisi bank anaweza kuwa mkombozi wangu lkn kwa uzi huu nimekuwa mwoga ghafla mpaka kichwa kinaniuma dah
Sikushauri kuchukua mkopo kwajili ya kuanzisha biashara mfumo wa biashara kwa sasa si mzuri labdaniwe kwajili ya kuendeleza au kukuza
 
Mkuu stori yako unasikitisha, ila umetubania sisi tuweze jifunza.
Ila umenichekesha sana,
 
Nilichukua mkopo 2010, 2ml nmb kwa miaka mitatu. Nikaingiza shambani kule babati Manyara kilimo cha alizeti. Nikalima ekari 20. Nilipovuna nikakamua mafuta nikapata 450000. Tangu siku hiyo kilimo na mimi hapa dunia baibai, labda kama na mbinguni kipo itakuwa kesi nyingine.
 
sikushauri kuchukua mkopo kwajili ya kuanzisha biashara mfumo wa biashara kwa sasa si mzuri labdaniwe kwajili ya kuendeleza au kukuza
Acha kukata tamaa kama nao pambana na serekali upate chako huwezi kuishi good life na kujifunza mambo mengi ukijifungia chumban na serekali haiwez kukpa msamaha wa kodi hata siku moja
Uoga wako ndio umaskini wako
 
Na mwakani nachukua pesa nyingine kama 10 MLS. Hivi nifanye mambo coz nimeshajua wap nilikosea so i jst wanna correct my mistakes so tuzidi kuombeana ntawaletea feedback hapa hapa jukwani waoga endeleeni hivyo hivyo kujifungia chumbani
 
Asante
 
Kwa mwaka kwa huo mkopo utarudisha sio chini ya 6m kwa kila mwezi sasa wew kodi kwa mwak ni 2.5M utalipaje hilo deni kama sio kuja kuuza kabisa hiyo nyumba kwa bei ya hasara na ili kulipia deni lako
 
Ila mishahara wanaolipwa wachezaji hauna siri!hivi kwa nn?
Kumbuka teams ni brands na wanashindana na wengine kupata wachezaji bora hivyo kuitangaza mishahara ya play makers wao ikiwa mikubwa ni kujibrand kwa mashabiki na wawekezaji sasa mie mjasiriamali unataka ujue kipato changu eti nikuwekee wazi how come??!!
 
Hahahahaaa mkuu nimecheka hadi watu wameniangalia kwenye mwendokac. Mie nilkopa 1.5m nikampadogo awe anatoa beg Uganda auze bukoba maana aliniambia inalipa sana. Mimi nikamwambiaje kwa mwez awe anantumia 100000 tu. Dah alintumia mwez mmojatu hadi saiv kuanzia mwaka2014 .
 
kwa mwaka kwa huo mkopo utarudisha sio chini ya 6m kwa kila mwezi sasa wew kodi kwa mwak ni 2.5M utalipaje hilo deni kama sio kuja kuuza kabisa hiyo nyumba kwa bei ya hasara na ili kulipia deni lako

So mwaka Ni Kwa mwezi Kodi m2.5 Ni gorofa Na like maeneo mazuri imefanywa ofisi Na wazungu Nataka kujua Kwa mwezi nalipia ngapi
 
Mkuu,hayo yametokea wengi hasa kipindi hiki vyuma vikiendelea kukaza. Mmoja alinisimulia aifanya mchezo unafanana na huo. Huyu,alikimbia na hela,akatafutwa miezi minne ndo akapatikana. Duh,ilikuwa seleka acha kabisa. Alimtupa ndani,akampeleka kwa court,amefungwa mwaka na nusu,na akitoka alipe pesa zote.
 
Mkuu mbali na hiyo nyumba kama dhamana,watataka uwe na biashara yenye mzunguko was kuonyesha unaweza kulipa hiyo mil 50,wanachoangalia sana sio dhamana,in uwezo wa biashara kuwalipa maana wao hawana nia ya kuuza mali yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…