Tuliowahi kuchukua mikopo tukafanya ndivyo sivyo

Mkuu umenikumbusha mbali sana.
 
Unakuta imefika siku inafanya marejesho huna kitu ukiangalia marejesho kama 1m ukiwa na 50,000 mgukoni unaenda kuzipiga maji zote kesho ukiamka mtu atakaye kusemesha masuala ya hela unakuwa mkali kama mbogo.

Wakati mwingine unakopa za riba unalipa benki kimbembe mwezi unaofuata benki wamadai mtaani ya riba wanadai.

Unazima simu siku mbili kwanza.
 
Nmecheka hiyo Lucifer atii haha
 
Hahaaaa,mkuu kweli matukio haya kumbe tunafanana[emoji23],na jamaa wanajua kupiga sim wale sijapata kuona!!!mara walete vibarua vyao uweke saini ati umeshindwa kulipa!!!kumbe biti tuu hela wanaitaka zaidi hata ya dhamana uliyoiweka.
 
Hahaaaa,mkuu kweli matukio haya kumbe tunafanana[emoji23],na jamaa wanajua kupiga sim wale sijapata kuona!!!mara walete vibarua vyao uweke saini ati umeshindwa kulipa!!!kumbe biti tuu hela wanaitaka zaidi hata ya dhamana uliyoiweka.
Hizo barua ninazo 2, ila nimesema siku namaliza mkopo nannua mbuzi 2 na cret za bia nazindua nyumba yangu na wadau wachache hasa walionikopesha nikafanya marejesho.
 
Bado una bodaboda moja mkuu
Mbona hamna jema ninyi?

Akikaa kimya mnaongea

Akiongea mnasema anapenda kutokelezea kwenye fent ford

Mwataka afanye nini sasa?

Sasa kma unajua yupo ofisini, mbona unatuuliza yupo wapi..??

 
Mkuu hivi nimesoma vbya ama hivi huo mshahara unaopokea ni 190000 au ni 1900000 ??
 
Mama yangu alifukuzwa kazi miaka fulani alipopewa mafao akafungua duka akashindwa kumanage biashara akachukua mkopo wa twenty million akaweka dhamana nyumba na baadhi ya viwanja Asee sitakuja nisahau uo msoto wa kushindwa kulipa deni
 
Mkuu hivi nimesoma vbya ama hivi huo mshahara unaopokea ni 190000 au ni 1900000 ??
Ukisoma contxt nzima ya alichokiandika bila shaka huo utata usingeupata maana story ipo wazi kuwa alikuwa anapokea mshahara wa Laki Moja na Tisini Elfu...baada ya makato yooote,na mbaya zaidi walipomvamia HESLB,akawa anaambulia tu Laki Moja na Thelathini na Tano Elfu.
 
Mkuu hemu nifungue macho kidg ni watu gani hawa wanaopokea mshahara kima hiki ?
Mm hua nahis kipato changu ni kidg mno ila kwa kipato hiki kinaingai km tano hiv hemu nitoe tongo mkuu
 
Sasa hata nisiponunua mimi itapigwa mnada atachukua mwingine na yeye ana mpango nikiinunua mimi aende kumalizia nyumba yake ambayo haijaisha alikuwa anajenga
 
Mm mwaka 2015,nipo na mishe zangu za kawaida hapa kariakoooo najihusisha na masuala ya kutengeneza simu, sasa nilikuwa na hamu snaa ya kusoma hasa chuo lakini mipango ya fedha ikawa tatizo, ila nilipamban kuweka hela kidogkidog, nakumbuka mwez wa nne dogo wangu kanipigia simu kutoka morogoro kwamba kuna pikpik inauzwa kwa kuwa mwenyeww amehukumiwa kufungwa au kulipa laki500, 000.Sasa dogo kanishawishi sana, mm nikavunja kibubu nikakuta kma kuna laki518, 000 basi nikamtumia dogo, da! Sasa kile tulichokuwa tunakiongea hakikuwa vile, maaana aliniambia anaweza nip kwa siku 10,000,sijakaaa sawa matokea ya chuo yametoka nikawa km na miezi miwili hivi niende chuo na mfukoni nina 17,000.
Mpaka hiii leo sijaona faida ya pikpik nimebaki kutulia tu.
NB:USIMUAMINI NDUGU YAKO KUMPA FEDHA YA BIASHARA, LABDA WEW UWE JIRANI, VINGINEVYO UTABAKI NA FUKUFUKU ROHONI TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…