ANKO JEI
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 1,302
- 2,462
Bwana nyigo ulichukua mkopo??Nimemaliza chuo mwaka jana imefika wakati n nimeamin mtaji ndo changamoto kwangu lkn nikahisi bank anaweza kuwa mkombozi wangu lkn kwa uzi huu nimekuwa mwoga ghafla mpaka kichwa kinaniuma dah