Tuliowahi kuchukua mikopo tukafanya ndivyo sivyo

Tuliowahi kuchukua mikopo tukafanya ndivyo sivyo

Kuna mshikaji ni mtu wangu wa karbu mwez uliopita kavuta mkopo benk flan hv,,,sasa now hana kila kitu,,juzi kati tupo nae mzgon night,,kaamshwa toka usingizin kakurupuka anataja jina la ile benki,,dah mkopo bila malengo ni shida tupu
hahaa, hii hatari sasa itakua anauwazia huo mkopo,mpaka anaota
 
800k kwa mwaka unakuwa umelipa 9,600,000 na ulichukua 5mil!!!! Halafu umesema hakuna riba?? Au umetuuza??
Juzi kati tu hapo nimevuta milioni 5 na mpaka sasa ishaisha na sioni cha maana nilichofanyia.Nakatwa 800K kwa mwezi kwa mwaka mzima ila nashukuru ni mkopo wa ofisini hauna riba.

Nilikopa kabla ya kufanya tathmini nzuri ya biashara nikajikuta naipeleka kwenye mambo ambayo hayakuwa priority so nimejifunza kitu.
 
Mim ninpiga biashara ya duka..mwanzon lilikuw la ndugu...wakalifirisi...nkajichanga laki 5 nkafungua....nlianza na vitu vchache hatari....lkn kiukweli vocha ndo zilikuuza mtaji...nilikuw peke yangu mwenye vocha za kurusha...!!

Hali ikaendelea vizuri....ndipo nkaona hii kampuni iitwayo branch...nkakopa kmasihara wakantumia elfu 20....!!nkaiingza kwenye vocha....nkawalipa wakaniongeza....mpk sasa nmefika laki na 50

Nikaona haitosh nimeongeza na hawa Tala pia....nmelipana nao mpk sasa wamenipa 170k

Mpaka sasa biashara inaenda fresh na hela nnaiona mbele yngu..future inaonkana

Mkopo ni mzuri kama ukiwa na mikakati ya kimaendeleo...!!kamwe uckope kwa ajili ya kuanzsha biashara au kwa matumiz bnafsi kama kuhonga au kupanga au kununua kitu

Kipindi nnataka kupanga chumba nltak ktumia hela ya mkopo lkn moyo ulikataa kabisaaaa....

Nikaamua kucheza mchezo wa kuchangiana...huko ndo nilipata kodi na helaa za vitu vingne....!!

Tujitahidi kuishi kwa malengo...!!mkopo ni mzuri kwa mtu mwenye biashara tuu...ila co kwa anayetaka kuanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu anijalie...safari hii nifike mbali
Screenshot_20181227-001044.jpeg
Screenshot_20181225-143952.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom