Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

Kwa coment hizi bado mnajiuliza mchawi wa maendeleo yetu ni nani?
 
Shida yote ya nini?
Walete tu kwako wakikuuliza uliwezaje kujenga waambie nina mashamba ya urithi ekari 600. Na nyumba hii ninazo nyingine 5. Watakuheshimu
Siunajua majungu ya watu makazini waweza kukuitia Hadi Takukuru
 
Tena anabahati huyo bosi, angetakiwa achezee vitasa kwanza. Na ushahidi haupo hahaha
 
Jamaa angu alikuwa dereva kwenye kampuni ya muhindi siku moja mmoja wa wafanyakazi ambae alikuwa rafiki eti akamchukua muhind kisirisiri akampeleka kwenye jengo jamaa analojenga lilikuwa kali sana.

Akamwambia njoo uone unaibiwa.

Muhindi alivyoona ilo jengo akahamaki akasema "subhnallah tobaa jengo lote hili ".

Hapo ndio fitina ilipoanza
 
Khabari watanzania wenzangu, vipi uko nyumbani nasikia kumenoga [emoji3][emoji3]

Jee mqzingara ya kufanya biashara yapoje kwa sasa?
 
Khabari watanzania wenzangu, vipi uko nyumbani nasikia kumenoga [emoji3][emoji3]

Jee mqzingara ya kufanya biashara yapoje kwa sasa?
Biashara gani?..kama umachinga huku tunafanya hadi barabarani kikubwe uwe na kitambulisho tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Biashara gani?..kama umachinga huku tunafanya hadi barabarani kikubwe uwe na kitambulisho tu.

#MaendeleoHayanaChama
Mkuu umachinga Hadi huku watu wanapiga. Unakuta wa Nigeria wengi tu wametandaza mapochi chini wanauza Hadi euro 100 kwa pochi na polisi hawawafukuzi Ila wanawapa ulinzi kabisa. Pia Hadi wachina wengi ni wamachinga na wahindi na watu wa sri Lanka huko. Kwa ufupi umachinga upo Hadi ughaibuni mkuu.
 
Upo nchi gani?
 
Vumilieni tu mtashinda na kupata haki yenu msikate tamaa, ukute mnakatishwa tamaa makusudi ili msande ila mkikomaa mtakuja kuona matunda yake.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
tanesco
 
Mkizinguana kwa pilato kunahusika hakuna Cha adabu Wala nn, bosi mwenyewe adabu hana so hiyo adamu uioneshe kwake ili iwe nn?


Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
[emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…