Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina MkuuPole jamaa,duuuu!!!nimefurahi jinsi ulivyomhudumia mama yako,nakuombea baraka tele
Siunajua majungu ya watu makazini waweza kukuitia Hadi TakukuruShida yote ya nini?
Walete tu kwako wakikuuliza uliwezaje kujenga waambie nina mashamba ya urithi ekari 600. Na nyumba hii ninazo nyingine 5. Watakuheshimu
Tena anabahati huyo bosi, angetakiwa achezee vitasa kwanza. Na ushahidi haupo hahahaKuna msela mmoja alikua anafanya kazi taasisi moja hivi ambayo ilikua inatoa huduma za afya, lakini ilikua ni taasisi ya dini.
Sasa, bosi wake alikua anamsumbua sana, yaani alikua anamnyima raha, hakuna zuri ambalo jamaa anafanya, ni kumfokea na kumsema tu
TISS wa bongo mnapenda sana sifa, kwanini mkuu.??Nilifukuzwa TISS sababu ya ulevi nmelewa nikaanza kuropoka mnanijua Mimi ni nani kumbe hapo kulikuwa na mzee mkuchika[emoji16]
Pole sana chiefKuna mpuuzi alifanya niache kazi......
kwa kuwa mm ni mwenyekiti maisha yasonga
Sababu sifa zipoTISS wa bongo mnapenda sana sifa, kwanini mkuu.??
Mfano zipi? Tena kama ma undercover wa kwetu ndo misifa kibao, ukipiga nae story dakika mbili tu utamjua.Sababu sifa zipo
Biashara gani?..kama umachinga huku tunafanya hadi barabarani kikubwe uwe na kitambulisho tu.Khabari watanzania wenzangu, vipi uko nyumbani nasikia kumenoga [emoji3][emoji3]
Jee mqzingara ya kufanya biashara yapoje kwa sasa?
Mkuu umachinga Hadi huku watu wanapiga. Unakuta wa Nigeria wengi tu wametandaza mapochi chini wanauza Hadi euro 100 kwa pochi na polisi hawawafukuzi Ila wanawapa ulinzi kabisa. Pia Hadi wachina wengi ni wamachinga na wahindi na watu wa sri Lanka huko. Kwa ufupi umachinga upo Hadi ughaibuni mkuu.Biashara gani?..kama umachinga huku tunafanya hadi barabarani kikubwe uwe na kitambulisho tu.
#MaendeleoHayanaChama
Upo nchi gani?Mkuu umachinga Hadi huku watu wanapiga. Unakuta wa Nigeria wengi tu wametandaza mapochi chini wanauza Hadi euro 100 kwa pochi na polisi hawawafukuzi Ila wanawapa ulinzi kabisa. Pia Hadi wachina wengi ni wamachinga na wahindi na watu wa sri Lanka huko. Kwa ufupi umachinga upo Hadi ughaibuni mkuu.
Vumilieni tu mtashinda na kupata haki yenu msikate tamaa, ukute mnakatishwa tamaa makusudi ili msande ila mkikomaa mtakuja kuona matunda yake.Mkuu hao CMA na mahakamani saivi wamejaa Sana rushwa maana Kuna kesi yetu kwenye kampuni yetu ya Kiribo Ltd Sasa imemaliza mwaka na hatujalipwa chochote na tulifungua shauri ndani ya Muda ipo hivi yaani tuliachishwa kazi watu karibia hamsini hatukupewa stahiki zetu zozote na pia malipo yetu ya NSSF kule alikuwa hapeleki na kila tukishinda kesi za kukamatiwa vitu vyake viuzwe na barua anabandikiwa na dalali anaenda anakata rufaa na kurudia sababu zilezile na kesi inapelekwa Tena mbele imemaliza mwaka saivi na bado hakuna majibu yoyote zaidi ya kuzungushwa....!!!
Magisadi ni wawekezaji kutoka nchi gani tena?Imekula kwenu, sasa hivi magisadi wote wanapewa nafuu ya maisha
tanescoDuuhh 2019
2016 nimemaliza chuo nikapata sehemu ya kujishikiza, 2017 nikapewa mkataba wa mwaka mmoja moja.
Wakati naingia mambo yalienda vema sn, ila mkuu wa kitengo alikua anapenda sifa KUPITA KIASI (Kila mtu kwake ni Hopeless) hili lilinifanya nipishane nae
2019 January yeye ndio akawa mkuu wa ofisi, aisee hapo niliipata,
1. Alisema nisipewe kazi yoyote
2. Alisema mimi sijui kazi kabisa( hii ilitokana kuna mradi tulipata, nikapewa mimi niufanyie kazi, sasa wakati umefika kwenye utekelezaji yeye ndio boss ko akaninyangaya akasema nimefanya kimakosa akauchukua yeye)
3.Akawa anasema mimi ni Hopeless
4. Anakuita mbele ya watu anakutukana sanaa daahh aisee nimedhalilika sana
Nikaanza kutafuta kazi kimya kimya, Nikapata tena kwenye taasisi ya watu tuliokua tunawahudumia "ilikuaje"
Walimuuliza mkuu wangu wa kitengo wa kipindi hiki ss "mbona xxx siku hizi hatumuoni" akajibu "dah sijui wana bifu gani na mkuu, maana hataki hata kumuona"
Jamaa wakanitafuta wakanipa mkataba wa kazi nikatulia, sasa nikaandika barua ya kusitisha mkataba huku namsubiri mkuu ajichanganye..
Akaingia kwenye 18, siku hiyo akaja reception kabisa kwa watu wanaokuja kumuona akaanza sifa zake
Akamuita HR na wenzie akasema kuna watu mkataba ukiisha wasionhezewe akaniita akaanza kunisema akasema sikuongezei mkataba, nikamwambia sihitaji
Nikaingia ofisini nikachukua barua, Nikamwambia wewe ni mbwa kama wengine unastahili kutupiwa chakula, NIKAMTUPIA BARUA YA KUSITISHA MKATABA NIKAMWAMBIA OKOTO UPELEKE MASIJALA. HAKUAMINI.
Hii ni Taasisi ya Serikali, mtu anaifanya yake
Mkizinguana kwa pilato kunahusika hakuna Cha adabu Wala nn, bosi mwenyewe adabu hana so hiyo adamu uioneshe kwake ili iwe nn?Mkuu
Sio kirahisi namna hiyo kama unavyodhani..
Wara wara naenda kwenye bodi and blah blah blah
Ishu hapa ni wewe kua mchapakazi na mwadilifu na mwenye adabu,mengine ya CMA and bullshit are just nonsense maana huna hela ya kuweza kupambana na conglomerate
Wakipewa hela watu wawili watatu hapo CMA wewe mavi kunuka una hela ya kuhonga yeyote?Huna hata kibaru
Huyo lawyer uliemchukua akusaidie,naye anatiwa hela of which wewe huna hata mia ya kumlipa anakupeleka machakani zaidi
Ukienda mahakamani huko ndio kwenyewe,hakimu anapoozwa wewe na kunuka mavi yako una hata mia ya kumpooza nani?
Its very funny vijitu havina adabu tangu utotoni huko vinapata kazi vinadhani upumbavu na maviburi yake huko anaweza letea maofisi ya watu...
Wafanyakazi bora hua hawana mambo haya,shida ni mawafanyakazi ya hovyo ndio hua yana matatizo kama haya....
Kua mpole,fanya kazi,kua na adabu,pata hela yako,acha kazi amicably,fungua biashara tena kampuni uliyokuwepo ndio itakua your first customer....
Haya mengine ya mafujo,angalia trend yake,ni mawafanyakazi ya hovyo matupu
typical corporate asshole.Hizi ndio snitching I really hate...
You motherfvckers are snakes
[emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787]Kuna hoteli niliwahi fanya kazi ya utunza bustani wakati nasubiri majibu ya form four. Nilivyomaliza chuo nikaambiwa wananitafuta wanataka mtu wa store, nikaenda, tukakubaliana mshahara, ilikua ni 180K kwa mwezi, basi ikawa mziki mshahara ila nikakaza.
Basi bwana baada ya almost mwaka nikaitwa na meneja wa waswahili akaniambia bwana ni hivi mimi naona wewe kukulipa hatuwezi. Kichwani najiongelesha "Hawa jamaa wananilipa 180K lakini wanaona ni kubwa walitarget wanilipe sh ngapi?"
Kauli ya mwisho nikasikia "Kwahiyo tumeona tukuache" basi mambo yakawa hivyo.