Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

Tuliowahi kufukuzwa kazi tukutane tupeane experience

Kwa coment hizi bado mnajiuliza mchawi wa maendeleo yetu ni nani?
 
Shida yote ya nini?
Walete tu kwako wakikuuliza uliwezaje kujenga waambie nina mashamba ya urithi ekari 600. Na nyumba hii ninazo nyingine 5. Watakuheshimu
Siunajua majungu ya watu makazini waweza kukuitia Hadi Takukuru
 
Kuna msela mmoja alikua anafanya kazi taasisi moja hivi ambayo ilikua inatoa huduma za afya, lakini ilikua ni taasisi ya dini.
Sasa, bosi wake alikua anamsumbua sana, yaani alikua anamnyima raha, hakuna zuri ambalo jamaa anafanya, ni kumfokea na kumsema tu
Tena anabahati huyo bosi, angetakiwa achezee vitasa kwanza. Na ushahidi haupo hahaha
 
Jamaa angu alikuwa dereva kwenye kampuni ya muhindi siku moja mmoja wa wafanyakazi ambae alikuwa rafiki eti akamchukua muhind kisirisiri akampeleka kwenye jengo jamaa analojenga lilikuwa kali sana.

Akamwambia njoo uone unaibiwa.

Muhindi alivyoona ilo jengo akahamaki akasema "subhnallah tobaa jengo lote hili ".

Hapo ndio fitina ilipoanza
 
Khabari watanzania wenzangu, vipi uko nyumbani nasikia kumenoga [emoji3][emoji3]

Jee mqzingara ya kufanya biashara yapoje kwa sasa?
 
Khabari watanzania wenzangu, vipi uko nyumbani nasikia kumenoga [emoji3][emoji3]

Jee mqzingara ya kufanya biashara yapoje kwa sasa?
Biashara gani?..kama umachinga huku tunafanya hadi barabarani kikubwe uwe na kitambulisho tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Biashara gani?..kama umachinga huku tunafanya hadi barabarani kikubwe uwe na kitambulisho tu.

#MaendeleoHayanaChama
Mkuu umachinga Hadi huku watu wanapiga. Unakuta wa Nigeria wengi tu wametandaza mapochi chini wanauza Hadi euro 100 kwa pochi na polisi hawawafukuzi Ila wanawapa ulinzi kabisa. Pia Hadi wachina wengi ni wamachinga na wahindi na watu wa sri Lanka huko. Kwa ufupi umachinga upo Hadi ughaibuni mkuu.
 
Mkuu umachinga Hadi huku watu wanapiga. Unakuta wa Nigeria wengi tu wametandaza mapochi chini wanauza Hadi euro 100 kwa pochi na polisi hawawafukuzi Ila wanawapa ulinzi kabisa. Pia Hadi wachina wengi ni wamachinga na wahindi na watu wa sri Lanka huko. Kwa ufupi umachinga upo Hadi ughaibuni mkuu.
Upo nchi gani?
 
Mkuu hao CMA na mahakamani saivi wamejaa Sana rushwa maana Kuna kesi yetu kwenye kampuni yetu ya Kiribo Ltd Sasa imemaliza mwaka na hatujalipwa chochote na tulifungua shauri ndani ya Muda ipo hivi yaani tuliachishwa kazi watu karibia hamsini hatukupewa stahiki zetu zozote na pia malipo yetu ya NSSF kule alikuwa hapeleki na kila tukishinda kesi za kukamatiwa vitu vyake viuzwe na barua anabandikiwa na dalali anaenda anakata rufaa na kurudia sababu zilezile na kesi inapelekwa Tena mbele imemaliza mwaka saivi na bado hakuna majibu yoyote zaidi ya kuzungushwa....!!!
Vumilieni tu mtashinda na kupata haki yenu msikate tamaa, ukute mnakatishwa tamaa makusudi ili msande ila mkikomaa mtakuja kuona matunda yake.

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Duuhh 2019

2016 nimemaliza chuo nikapata sehemu ya kujishikiza, 2017 nikapewa mkataba wa mwaka mmoja moja.

Wakati naingia mambo yalienda vema sn, ila mkuu wa kitengo alikua anapenda sifa KUPITA KIASI (Kila mtu kwake ni Hopeless) hili lilinifanya nipishane nae

2019 January yeye ndio akawa mkuu wa ofisi, aisee hapo niliipata,

1. Alisema nisipewe kazi yoyote
2. Alisema mimi sijui kazi kabisa( hii ilitokana kuna mradi tulipata, nikapewa mimi niufanyie kazi, sasa wakati umefika kwenye utekelezaji yeye ndio boss ko akaninyangaya akasema nimefanya kimakosa akauchukua yeye)
3.Akawa anasema mimi ni Hopeless
4. Anakuita mbele ya watu anakutukana sanaa daahh aisee nimedhalilika sana

Nikaanza kutafuta kazi kimya kimya, Nikapata tena kwenye taasisi ya watu tuliokua tunawahudumia "ilikuaje"

Walimuuliza mkuu wangu wa kitengo wa kipindi hiki ss "mbona xxx siku hizi hatumuoni" akajibu "dah sijui wana bifu gani na mkuu, maana hataki hata kumuona"

Jamaa wakanitafuta wakanipa mkataba wa kazi nikatulia, sasa nikaandika barua ya kusitisha mkataba huku namsubiri mkuu ajichanganye..

Akaingia kwenye 18, siku hiyo akaja reception kabisa kwa watu wanaokuja kumuona akaanza sifa zake

Akamuita HR na wenzie akasema kuna watu mkataba ukiisha wasionhezewe akaniita akaanza kunisema akasema sikuongezei mkataba, nikamwambia sihitaji

Nikaingia ofisini nikachukua barua, Nikamwambia wewe ni mbwa kama wengine unastahili kutupiwa chakula, NIKAMTUPIA BARUA YA KUSITISHA MKATABA NIKAMWAMBIA OKOTO UPELEKE MASIJALA. HAKUAMINI.

Hii ni Taasisi ya Serikali, mtu anaifanya yake
tanesco
 
Mkuu

Sio kirahisi namna hiyo kama unavyodhani..

Wara wara naenda kwenye bodi and blah blah blah

Ishu hapa ni wewe kua mchapakazi na mwadilifu na mwenye adabu,mengine ya CMA and bullshit are just nonsense maana huna hela ya kuweza kupambana na conglomerate

Wakipewa hela watu wawili watatu hapo CMA wewe mavi kunuka una hela ya kuhonga yeyote?Huna hata kibaru

Huyo lawyer uliemchukua akusaidie,naye anatiwa hela of which wewe huna hata mia ya kumlipa anakupeleka machakani zaidi

Ukienda mahakamani huko ndio kwenyewe,hakimu anapoozwa wewe na kunuka mavi yako una hata mia ya kumpooza nani?

Its very funny vijitu havina adabu tangu utotoni huko vinapata kazi vinadhani upumbavu na maviburi yake huko anaweza letea maofisi ya watu...

Wafanyakazi bora hua hawana mambo haya,shida ni mawafanyakazi ya hovyo ndio hua yana matatizo kama haya....

Kua mpole,fanya kazi,kua na adabu,pata hela yako,acha kazi amicably,fungua biashara tena kampuni uliyokuwepo ndio itakua your first customer....

Haya mengine ya mafujo,angalia trend yake,ni mawafanyakazi ya hovyo matupu
Mkizinguana kwa pilato kunahusika hakuna Cha adabu Wala nn, bosi mwenyewe adabu hana so hiyo adamu uioneshe kwake ili iwe nn?


Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Kuna hoteli niliwahi fanya kazi ya utunza bustani wakati nasubiri majibu ya form four. Nilivyomaliza chuo nikaambiwa wananitafuta wanataka mtu wa store, nikaenda, tukakubaliana mshahara, ilikua ni 180K kwa mwezi, basi ikawa mziki mshahara ila nikakaza.

Basi bwana baada ya almost mwaka nikaitwa na meneja wa waswahili akaniambia bwana ni hivi mimi naona wewe kukulipa hatuwezi. Kichwani najiongelesha "Hawa jamaa wananilipa 180K lakini wanaona ni kubwa walitarget wanilipe sh ngapi?"

Kauli ya mwisho nikasikia "Kwahiyo tumeona tukuache" basi mambo yakawa hivyo.
[emoji28][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom