Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #21
Hayo mambo yalimkuta mdada mmoja ase alimleta bwana wake shule ๐๐๐kuna mwingine aliambiwa amlete mzazi akamleta dereva taksi..hahaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayo mambo yalimkuta mdada mmoja ase alimleta bwana wake shule ๐๐๐kuna mwingine aliambiwa amlete mzazi akamleta dereva taksi..hahaaa
Kwahiyo kiliumabahati mbaya kumbe mwalimu mkuu nae ni mteja wake...hahaaaaa
Dah ilikuwa inapiga vibaya sana aliletwa mwalimu mmasai af anafundisha english chin ya 70 jiandae ๐๐Mizuka mkuu๐๐
Shule ya Tako ile
๐๐๐๐ kilicho kukuta siri yako? Tuambie kidogoKufanikisha Mgomo...Nikiwa kama Martin Luther King
Ww jamaa shule ilikuwa aikutaki ila wewe ndio shule ulikuwa unaitaka z๐๐๐poleIlikua huzuni lakin sikujal aisee lakin nahis nilikia nina gundu tangu nikiwa vidudu maana niliwai kufukuzwa vidudu kisa nilikua na kiu na kumuita mwanafunz mwemzangu mshkaji nipe maji nikafukuzwa shule daah
Nilipofika darasa la tano nikaiitiwa mzaz na kutishiwa kufukuzwa shule kisa nilimpiga kichwa mwanafunz mwenzangu akavimba nundu kubwa sanaa walim waliogopa sanaa
Nilipofika form four nikasimamishwa shule kwa kosa la kupita panya road mwalim akaniwekea sigara condom na bang na kusema siingi darasan nashinda vichakan navuta bang
Nilipofika form six kuna dada alikua ananipenda kumbe headmaster anamtaka daaah head master akanipa kaz ya kubeba magunia ya mkaa dakika tano kabla ya mtihan nikasita sita bwanaaa wee kumbe ndio najaaa akanitumbua
ulijikuta mkombozi au sio [emoji3][emoji3]Kufanikisha Mgomo...Nikiwa kama Martin Luther King
Mgomo ulifanikiwa vyema kabisa...barua ya kufukuzwa nikaipokea nikiwa kwetu...๐๐๐๐ kilicho kukuta siri yako? Tuambie kidogo
Af wakikudigi shule kila mtu anamtenga ๐๐๐ulijikuta mkombozi au sio [emoji3][emoji3]
Pole sana kwa masahibu hayo ila ulitisha sanaMgomo ulifanikiwa vyema kabisa...barua ya kufukuzwa nikaipokea nikiwa kwetu...
Sikua na shule nyingine ya kwenda hivyo nikaendelea kupiga kazi za nyumbani..(japo nyumbani walikua wakitafuta pa kunipeleka)
Hapo nikaanza kuwasoma watu maarufu ambao walikuwa drop out wa shule nikagundua kumbe niko sahihi kabisa na nitakwenda kuwa mtu mkubwa mno....
Ghafla baada ya kukaa sana nyumbani barua ya kuitwa tena shule ilikuja. Nikaenda kikao tukakaa tukayamaliza...nafkiri waligundua naenda kupiga kijiti hivyo wakaamua kila mtu amfaidi mwenzake.
Mwisho nilipiga kijiti japo walisema ningepata Zero.
Tulikua tunatoroka na wana vicha haswaa Tenki amunyo,STIMA,Compo, popote mlipo muishi sana
Tulikua tunafata Viepe nje ukitaka msosi wa nje unaleta pesa usiku tunachomoka tunafata msosi shule ilikua nje ya mji kwaiyo kufika mjini/Centre ni umbali haswa..kulikua na Mlezi(Patron) Aisee jamaa alikua na machale kama masta mchina sasa siku moja tuko kwenye harakat za kufika town njia kwambaali ni giza ila tukaona moto katikat ya barabara mwenetu mmoja akatukoleza tuendelee na safari tukajaa sasa kadri tulivyokua tunausogelea ule moto unazidi kuwaka alaf kuangalia Vzur tukaona mtu kakaa katikati katupa mgongo bwana bwana Tulikula unyoya kila mtu na njia yake sasa kuna wengne walikimbilia mjini na wengne tukarudi shule kufika shule tukaambiwa Patron anapiga patrol vitanda vya watu waliokua hawapo tukaweka mito pale fastaa ili ionekane kuna watu
Patrol likafika bwenini kwetu patron akaona kila mtu yupo ila aliniwasha bakora mbwa yule miguu ilikua imejaa tope balaa KENGE siku iyo nikajifanya komando kama vile sielewi nimetingwa na Usingizi mzito kumbe maumivu ni makali sana nikawa naskia ananiuliza kwanini umelala na tope umechafua shuka?Alivyoona kimya akaniweka nyingine nikasema uyu fala ataniuwa nikiendelea kujifanya nimelala nikaamka kwa hasira tukaanza kukoromeana pale ni umri wa balehe tu ila ata tungepigana lingenipiga vibaya mno maana kapanda hewani na mtu wa makaratee kama yote akanambia kanawe na kesho tuonane ofisini..kesi ikaisha
Msala ukabaki kwa bweni linalofata la form 3 sisi form 4 wote tulikuwepo(masela wengne hawakuwepo tulijaza mito na mashuka) Sasa lile bweni linalofata madogo wawili vitanda vikawa empty patron tukasikia anasema anapiga patrol na rollcall(Kuhesabu namba) tukasema hawa mbwa watatuchoma hawa sasa patron kabla ya kuhesabu namba akachukua pikipiki lake akaenda nje kuwasaka..Tukavizia viongozi na masnich walale tukachomoka fasta ili nasisi tukawatafte masela tuliopoteana uko nje...
Basi tukachomoka pita chocho bahati nzur tukakutana njiani na masela tukawaaambia kimenuka uko sasa kinachofata ni kushindana mbio na Boxer patron Amepitia lami sisi barabara za chocho,Vumbi,Miba kama yote bwana ile siku Tulikimbia kama vichaa yaani ndala unaishika mkononi alafu unatoka lesi kama mshale tukabahatika kuwahi kabla ya patron kufika
Sasa balaa tukakuta shule wanahesabu namba saa9 iyo kuna Headboy alikua snich sana watu wote wameamshwa namba zimehesabiwa mara 3 sisi hatupo tukasema hapa tumeisha dawa ni kukimbilia jikoni ili watukute uko kuliko kutukuta njee tukakimbilia jikoni ruka dirisha apo patron kashafika tukasema sasa hapa dawa ni kusugua masufuria ya ukoko ili wasikie alaf tukiona wanakuja tutulie kimya ili watukamatie huku jikoni..Basi tukasukuma masufuria tukaona tochi ya mlinzi inapiga tukajikusanya kwenye kona tukaskia kundi la watu wanakuja jikoni moyo unadunda balaa...walivyofika Wakatumulika aisee apo Yupo Headmaster,Patron,Walinzi na viongozi kadhaa tukatembezewa kichapo Headmaster anagonga stiki yule mbwa Daah Patron ndo anachochea "Wewe Kenge si nimetoka kukuadhibu kumbe hayo matope unatolea huku" Tukakosa chakujitetea Headmaster akatupa dakika mbili za kujitetea..
Tukaanza kumwambia Msosi wa jioni ulikua mdogo hatukushiba tukaona kuliko kufa na njaa bora tuje jikoni kutafta ata ukoko..Daah Roho ya huruma ikamuingia japo alionesha ukauzu wake pale akaendelea na stiki mbili tatu akasema "Ntakuja kuwaua mbwa nyie poteeni kesho tuonane( parade) mtaeleza vizuri" tukachomoka vibaya mno mpaka bwenini usingz hakuna saa 10 alfajiri iyo tukakaa pale kuchekana Alielia tunamcheka sana ila kiukweli pale tulikua tushakomaa kwa viboko yaani unalia ila amna chozi linalotoka basi ndomaana Headmaster alikua anaona tunavunga tu..Tukachekana sana sana usiku ule
Kazi ikawa imebaki moja tu kutengeneza vigozi(Kujaradia) maana stiki Za parade tena mbele ya walimu wote tulijua ni kifo usiku ule unachukua boksa unashonea jinzi au kitambaa kigumu alaf unavaa kusubiria pakuche tukawahi kabsa usafi na kuwahi parade Headmaster akafika akalianzisha tena "Wale kenge wapite mbele" tukawa tunaenda kwa uoga kwa kuchelewa kuna mwamba alikua wakwanza kufika aisee alikula kofi zito "Nawaita mnakuja kwa maringo?mimi babu yenu" Heasmaster kakunja ndita mpaka misuli inaonekana alikua mtata mpaka walimu wanamnyali..
Akaanza kuuliza shule nzima "Jamani hapa shule mnakula au hamlii?? Raia zinajibu TUNAKULAAA akawauliza mnashibaa au hamshibii? "TUNASHIBAAAA" sasa waulizeni wenzenu hawa kenge walikua wapi jana..Jikoni tulikua tunapaita "Chimbo" sasa headmaster alivyowaambia wanafunz watuulize tulikua wapi kwa sauti mwenetu mmoja akajisahau badala asema Kitchen au jikoni mwana akaitikia kwa nguvu "TULIKUA CHIMBO HEADTEACHER" Aisee raia wote waliangua kicheko zoezi likaanza Upyaaa kila mwalimu kashika mzigo wa fimbo alafu wamejipanga.. bwanabwana Tulikula kichapo unalia mpaka sauti inakauka badae kukaa huwezi ni maumivu
Zoezi likaisha alaf ilikua imekaribia NECTA tukaambiwa tujichagulie adhabu..tukaomba msamaha sana wakagoma wakasema mtachimba Vifusi wiki mbili nje ya darasa mwenrtu mmoja Muhaya akachagua adhabu ya kufukuzwa sisi wengine tukakubali ila ni balaa kuamisha jalajala,Kuchimba vifusu,kukata miti,kupariria uzuri wenzetu walikua wakitoka darasani wanatusaidiasaidia kesi ikaisha tukaanza laifu jipya
Ila siku ya graduu Headmaster alishusha speech kali sana maneno makali Jambo moja la ajabu alituinua nasisi waalifu akatuhusia palee alafu akatuomba msamaha binafsi Nilimsamehe kwa moyo mkunjufu kabsaa sijui wengine kama walisamehe ila sifa ya mwanaume ni kutokukaa na vinyongo..
Nawasilisha
KENGE

Zoezi likaisha alaf ilikua imekaribia NECTA tukaambiwa tujichagulie adhabu..tukaomba msamaha sana wakagoma wakasema mtachimba Vifusi wiki mbili nje ya darasa mwenetu mmoja Muhaya akachagua adhabu ya kufukuzwa sisi wengine tukakubali ila ni balaa kuamisha jalajala,Kuchimba vifusi,kukata miti,kupariria uzuri wenzetu walikua wakitoka darasani wanatusaidiasaidia kesi ikaisha tukaanza life jipya..
Ila siku ya graduu Headmaster alishusha speech kali sana maneno makali Jambo moja la ajabu alituinua nasisi waalifu akatuhusia palee alafu akatuomba msamaha binafsi Nilimsamehe kwa moyo mkunjufu kabsaa sijui wengine kama walisamehe ila sifa ya mwanaume ni kutokukaa na vinyongo..
Nawasilisha
KENGE
St Joseph secondary school
Hapa tuliuza ngurue wa shule but kuna mwamba alitusaliti tukafukuzwa wote na yeye akiwemo
Mwilamvya secondary
Hapa nilipigana na headmaster cheusi Emmanuel saguda kingi
St bakanja secondary
Hapa walisimamisha kisa nilikula mbususu ya Eva mpole....(huyu demu alikuwa na bonge wa tako) sema nakumbuka dingi alinichapa saana
Jihad secondary
Hapa nilionewa nilipewa kesi ya wizi
Bidii secondary
Nilichoma pikipiki ya sir kulanya
Taqwa secondary
Nilizichapa na baga (huyu alikuwa ni mwalimu wa advance ila akataka kujifanya discipline wa O-levo
Nyasaka Islamic
Hapa niliruka fensi kwenda kuona game fainali UEFA champions league
Famgi boys secondary
Kuchochea mgomo kuliniondoa shule (nilionewa pia nadhani sababu ya kuwa na sauti kubwa so nilionekana mm ndio mchochezi)
Ikizu secondary
Hapa kudoji siku ya sabato kulifanya nipoteze sifa ya kuwa mwanafunzi wa pale
Rodan secondary
Hapa kupigana kulifanya nifurushwe (hapa nilionewa sababu walimu wengi wa ikizu waliamia hii shule so walivyonikuta wakasambaza sifa ya kuwa mm ni mgomvi)
Nakumbuka teacher Owiti na shosha walisikitika saana siku niliyofurushwa
Kanyigo secondary
hapa nilidumu kwa siku 6 tu kabla ya kupoteza sifa ya kuwa mwanafunzi wa pale baada ya kutwangana na Kasunga mwasote
ST Antony secondary
Penzi la Aisha mpochi lilifanya nipoteze sifa ya kuwa mwanafunzi wa pale
St Mathew secondary school
Hapa nilijumlishwa kwenye kesi ya wizi baada ya mwanafunzi muoga Jeremiah Kway kunitaja kwenye wizi uliofanywa na Hemed chambusso
Mount Chanza secondary
Mdwanzi Paul sumun alifanya nikose sifa za kuendelea kuwa mwanafunzi wa pale
All in All now mm ni mtu mwema japo nimesoma shule 22 secondary ila chuo nilisoma kimoja tu baada ya life kunifundisha nidhamu
Walimu wanashida sana watoto wako kwenye umri wa balehe kila kitu wanahisi wanakijua mwalimu ukimchapa mtoto kidogo unaandamwa na Mashirika ya haki,wazazi na jamii ndomaana maadili yanazidi kupungua aisee watoto inabidi wachapwee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hao Ndio walimu sasa hivi Bado wapo walimu wakali namna hiyo?
St Joseph secondary school
Hapa tuliuza ngurue wa shule but kuna mwamba alitusaliti tukafukuzwa wote na yeye akiwemo
Mwilamvya secondary
Hapa nilipigana na headmaster cheusi Emmanuel saguda kingi
St bakanja secondary
Hapa walisimamisha kisa nilikula mbususu ya Eva mpole....(huyu demu alikuwa na bonge wa tako) sema nakumbuka dingi alinichapa saana
Jihad secondary
Hapa nilionewa nilipewa kesi ya wizi
Bidii secondary
Nilichoma pikipiki ya sir kulanya
Taqwa secondary
Nilizichapa na baga (huyu alikuwa ni mwalimu wa advance ila akataka kujifanya discipline wa O-levo
Nyasaka Islamic
Hapa niliruka fensi kwenda kuona game fainali UEFA champions league
Famgi boys secondary
Kuchochea mgomo kuliniondoa shule (nilionewa pia nadhani sababu ya kuwa na sauti kubwa so nilionekana mm ndio mchochezi)
Ikizu secondary
Hapa kudoji siku ya sabato kulifanya nipoteze sifa ya kuwa mwanafunzi wa pale
Rodan secondary
Hapa kupigana kulifanya nifurushwe (hapa nilionewa sababu walimu wengi wa ikizu waliamia hii shule so walivyonikuta wakasambaza sifa ya kuwa mm ni mgomvi)
Nakumbuka teacher Owiti na shosha walisikitika saana siku niliyofurushwa
Kanyigo secondary
hapa nilidumu kwa siku 6 tu kabla ya kupoteza sifa ya kuwa mwanafunzi wa pale baada ya kutwangana na Kasunga mwasote
ST Antony secondary
Penzi la Aisha mpochi lilifanya nipoteze sifa ya kuwa mwanafunzi wa pale
St Mathew secondary school
Hapa nilijumlishwa kwenye kesi ya wizi baada ya mwanafunzi muoga Jeremiah Kway kunitaja kwenye wizi uliofanywa na Hemed chambusso
Mount Chanza secondary
Mdwanzi Paul sumun alifanya nikose sifa za kuendelea kuwa mwanafunzi wa pale
All in All now mm ni mtu mwema japo nimesoma shule 22 secondary ila chuo nilisoma kimoja tu baada ya life kunifundisha nidhamu
Umesumbua sana wazee dahSt Joseph secondary school

Kweli mlikuwa watunduWalimu wanashida sana watoto wako kwenye umri wa balehe kila kitu wanahisi wanakijua mwalimu ukimchapa mtoto kidogo unaandamwa na Mashirika ya haki,wazazi na jamii ndomaana maadili yanazidi kupungua aisee watoto inabidi wachapwee
Kinginw ckuiz magonjwa mengi unaweza kumchapa mtoto wa mtu ukashangaa kakata moto unaishia Jela aisee mara mia uwe Lecturer Walimu kazi wanayo
Ni utoto na ujinga ndio ulikuwa unanisumbua ila kubwa zaidi nilikuwa Nina hasira za karibuAiseee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Analyse njoo uone legend huku
Wazazi wako uliwapa tabu aisee halaf vitoto vikirith unajifanya kusahau haraka
Ww muhuuaji aseNi utoto na ujinga ndio ulikuwa unanisumbua ila kubwa zaidi nilikuwa Nina hasira za karibu
Nakumbuka niliwai kufurushwa pia Kasumo secondary baada ya kumchoma na bikali ndugu Wiliam John sababu alinitingisha wakati nachora atomic configuration number ya sodium