mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
hakika mkuu.Mungu akipanga jambo hakuna wa kupanguaSafi Mungu anamipango yake, binadamu hawezi kuipangua, uliandikiwa kusoma na kumaliza hapo.
Watu wema wenye hekima bado wapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakika mkuu.Mungu akipanga jambo hakuna wa kupanguaSafi Mungu anamipango yake, binadamu hawezi kuipangua, uliandikiwa kusoma na kumaliza hapo.
Watu wema wenye hekima bado wapo.
Umenikumbusha form 3 kuna second master alikua mnoko sana, tulikua tunatoroka saa 4 ijumaa sasa tukawa tunapita njia ya vichakani yeye akiwa barabarani kwenye boda boda akatuona akamkariri mmoja.Ilikuwa huzuni lakini sikujali aisee lakini nahisi nilikia nina gundu tangu nikiwa vidudu maana niliwai kufukuzwa vidudu kisa nilikua na kiu na kumuita mwanafunz mwemzangu mshkaji nipe maji nikafukuzwa shule daah
Nilipofika darasa la tano nikaiitiwa mzazi na kutishiwa kufukuzwa shule kisa nilimpiga kichwa mwanafunzi mwenzangu akavimba nundu kubwa sana, walimu waliogopa sana.
Nilipofika form four nikasimamishwa shule kwa kosa la kupita panya road mwalimu akaniwekea sigara condom na bang na kusema siingi darasani nashinda vichakani navuta bang
Nilipofika form six kuna dada alikuwa ananipenda kumbe headmaster anamtaka daaah head master akanipa kazi ya kubeba magunia ya mkaa dakika tano kabla ya mtihani nikasita sita bwanaaa wee kumbe ndio najaaa akanitumbua.