mtoto wa kibopa
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 5,274
- 6,257
nakuja mzee soon ... ..Uje umalize Mzee?
Mkuu aliusoma mchezo wa walimu nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakuja mzee soon ... ..Uje umalize Mzee?
Mkuu aliusoma mchezo wa walimu nini?
Waiting on the line mwanaUsijali ngoja nilime lime nitarudi..
pale moshi karibu na uwanja wa mashujaa pembeni na kotaz za polisi siyoHighlands Secondary School😃
upo sahihi mzee,Uje umalize Mzee?
Mkuu aliusoma mchezo wa walimu nini?
Mimi nilitokewa kupendwa na mkuu wa chuo nilikuwa najidai sana 😂😂😂upo sahihi mzee,
Endeleaa,baada ya kuingia class na ticha big kupigwa mkwara na headmaster alijikuta kaishiwa mood ...akashindwa kufundisha akaenda staff. .....kumbe kuna ma spy walishausoma ule mchezo wa wale walimu kuhusu yule lucy na wakampa info mapema kabla ya tukio langu.so headmaster alikuwa anawatafutia pa kuanzia... so akaunganisha dot zake akaona hapa jumba bovu nimeangushiwa mimi ili kumkomoa lucy ndio maana hakuangaika na mimi.iliitwa meeting call ya staff wotee .sijui walizungumza nn.ila baada ya meeting walimu wakawa wa pole sana kwangu.ticha big baada ya week kadhaa naye alitemeshwa kazi. namshukuru sana yule headmaster alikuwa anajua kuishi na wanafunzi.alikuwa mzazi bora kabisa mwenye upendo japo ni mkali lakini alitusaidia kuwa watu wenye maadili mazuri.ila kiukweli damu yangu na yule mkuu wa shule ziliendana.hata anikute na kosa hakuwahi nichapa zaidi ya kunionya.hadi wengine wakawa wananitania eti babaangu.alikuja kuhama nakumbuka ile siku wanafunzi tulilia sana.tulimpenda kama baba yetu.popote ulipo mwl kilindo st.marks(2006) mwanao natamani nikuone nikupe shukrani zangu.nasikia alipanda cheo akawa afisa elimu mkoa wa morogoro hope now utukuwa juu zaidi ya hapo.Mungu akubariki
Maelezo yako yanaashiria wewe ni mkorofi [emoji23][emoji23][emoji23]Nilikua shule Fran ya hovyo,nikampa ticha makonde,akavunjika mkono,Nika fukuzwa ila nilipewa kesi pia
Primary nimesoma shule 3! Secondary nimesoma shule 7! Mtihani sana suspension kama zote alafu nikaja faulu PCM[emoji1787][emoji1787] story ndefu sana! Kuna maticha niliokutana nao shule nyingine naenda kukutano shule nyingine! Hua nacheka sana nikikumbuka!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumbe ndio maana siongei kitu tena [emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka ngumi za uso wee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] View attachment 2572046
Mapema hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unataka ngumi za uso wee
Yaani ngumi zinakuhusu za uso wewe ngoja nipige pushapuMapema hivyo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwalimu mkuu / Headmaster akihamishwa na wanafunzi wakamlilia abaki ujue kweli huyo alikuwa na upendo aisee. Wanafunzi huwa wanashangilia mwalimu mkuu anapohamishwa shule au kustaafu.upo sahihi mzee,
Endeleaa,baada ya kuingia class na ticha big kupigwa mkwara na headmaster alijikuta kaishiwa mood ...akashindwa kufundisha akaenda staff. .....kumbe kuna ma spy walishausoma ule mchezo wa wale walimu kuhusu yule lucy na wakampa info mapema kabla ya tukio langu.so headmaster alikuwa anawatafutia pa kuanzia... so akaunganisha dot zake akaona hapa jumba bovu nimeangushiwa mimi ili kumkomoa lucy ndio maana hakuangaika na mimi.iliitwa meeting call ya staff wotee .sijui walizungumza nn.ila baada ya meeting walimu wakawa wa pole sana kwangu.ticha big baada ya week kadhaa naye alitemeshwa kazi. namshukuru sana yule headmaster alikuwa anajua kuishi na wanafunzi.alikuwa mzazi bora kabisa mwenye upendo japo ni mkali lakini alitusaidia kuwa watu wenye maadili mazuri.ila kiukweli damu yangu na yule mkuu wa shule ziliendana.hata anikute na kosa hakuwahi nichapa zaidi ya kunionya.hadi wengine wakawa wananitania eti babaangu.alikuja kuhama nakumbuka ile siku wanafunzi tulilia sana.tulimpenda kama baba yetu.popote ulipo mwl kilindo st.marks(2006) mwanao natamani nikuone nikupe shukrani zangu.nasikia alipanda cheo akawa afisa elimu mkoa wa morogoro hope now utukuwa juu zaidi ya hapo.Mungu akubariki
Kabisa kaka.alikuwa na upendo wa dhati kabisa.hadi akufukuze shulee basi ujue umeshindikana kila sehemu.na alikuwa anatujua wanafunzi wotee na wazazi wetu.alikuwa kichwa sanaa na mtu mwenye msimamo.namkumbuka sana huyu mwalimuMwalimu mkuu / Headmaster akihamishwa na wanafunzi wakamlilia abaki ujue kweli huyo alikuwa na upendo aisee. Wanafunzi huwa wanashangilia mwalimu mkuu anapohamishwa shule au kustaafu.
Uso wenyewe huu, mandonga mchumba kabisa na ndoige zake hata ukijumlisha na sogwinyo kwa pamojaYaani ngumi zinakuhusu za uso wewe ngoja nipige pushapu
Nilifukuzwa baada ya kumla mke wa head master shule moja maarufu na baada ya hapo walimu walinishambulia kuwa nitafeli maisha now I'mAfrican
Mimi nilisimamishwa shule nikiwa form two kwa muda wa wiki mbili kule Iringa, shule ipo karibu na Lugalo ile ya Serikali jirani yake kuna shule ya private.
Nilisimamishwa kwa kosa la kumtukana mtu mbele ya darasa, mwalimu mmoja maarufu kwajina la Uhuchu alisikia kelele Class baada ya kuja akawa anatafutwa alieanza class wote wakasema mimi wakamtetea yule mpumbavu Zamwamwa, nilichukia sana.
Alianza nitukania mama yangu na mimi nikamjibu so nilichezea sana stiki nikaandikishwa barua kila ofisi nilikopelekwa walimu walikuwa hawaamini kama ndio mimi nimeanza tukana akaitwa mzazi wangu, akaja pale alipofika kapewa short story akaanza kulia, alikuwa ni mama kalia pale huku nachapwa.
Uhuchu huku akikazania kuwa huyu lazima afukuzwe shule, dah nilichukia sana.
Wewe mwezangu ulifanya kosa gani?
Nitakuchana nikifuturuAfrican

Safi Mungu anamipango yake, binadamu hawezi kuipangua, uliandikiwa kusoma na kumaliza hapo.upo sahihi mzee,