Tuliowahi kufukuzwa shule au kusimamishwa shule tukuje hapa

Umenikumbusha form 3 kuna second master alikua mnoko sana, tulikua tunatoroka saa 4 ijumaa sasa tukawa tunapita njia ya vichakani yeye akiwa barabarani kwenye boda boda akatuona akamkariri mmoja.

J3 tupo class akaingia akasema kama ulitoroka ijumaa pita mbele, tukabunda wote! Akamfata yule aliyemkariri ktk kundi letu akamuinua na kofi moja zito sana[emoji28] jamaa alibanwa akatutaja wote,tukaambiwa sisi ni vibaka tunampango haramu wa kuchoma shule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…