Tuliowahi kukutwa na ushamba mara baada ya kununua gari kwa mara kwanza tukutane hapa

Nilipokuwa mdg (16yrs) nilizoea kuwaburuza sana washkaji kwenye PlayStation za mbio za magari. Nayajua sana magari na kuwafundisha watu kuyandesha kwenye game.

Wengi wakiamini Mimi Ni dreva mzoefu Ndo maana nawashinda sana, huo ujiko nilikua naupokea kwa mikono miwili.

Kimbebe kikaja mmoja wa washkaji akaniita kwao, kufika ananambia nimsaidie anko wake kumkagulia gari, ananunua kwa mtu,Ni gar yake ya kwanza asijeuziwa gar bovu maana mm Ni mzoefu sana wa magari. Nikasema POA. Maswali mengi sn namhoji yanayohusu Gari nnayokutana nayo kwny magemu n.k

Uku na kule mwenye gar akanipa funguo niiwashe nitest chuma.
Aisee nilikua na hofu mno,
Ila kibabe nilijikaza wasijue nilitumia skills zile zile za kuendeshea PlayStation na zikakubali.

Gari ikatoka kweli nikaanza kuitembeza kiuoga, tatizo nikawa nabana Sana kando mwa barabara. Uoga wa kupishana na gar nyingine hasa gar kubwa ndo napaki pemben kwanza yapite nikijifanya navuta mafuta kuskilizia mlio wa engine.

KUmbe kiuhalisia ile ndio ilikua Mara yang ya kwanza kuendesha gari in real life[emoji16]
 
Ushamba mwngn,
Mara yang ya kwanza kuendeshea gar ya auto.

Kila j.pili,
Baada ya lunch mzee Wangu Alikua ni mtu wa kulala mchana.

Sasa mi na mdg Wangu tukakwapua gar ya mzee tukaenda nayo viwanja kutamba, nmepak nmewasha redio nakula mzik wa nguvu,kufka MDA wa kuondoka aisee gar imegoma kabisa kuwaka.

Nikaita washkaj tukaisukuma kwenye mteremko uku tukijaribu Kupiga stata tuone itawaka ila gar ikawa bado haiwaki.

Aisee tulisukuma gar umbali mrefu mno ila bado gar iligoma kuwaka, ikabd turudishe Tena gar nyumban hivyo hivyo tunaisukuma maana ilitushinda kabisa kuiwasha na kumwambia mzee Ni ngumu maana tuliiba .HIYO SIKU TULICHOKA MNO[emoji16]
 
Juzi nilikuwa na*drive* maeneo ya kutoka mjini (mwanza) kupitia mirongo ,isamilo kwenye ule mlima wa isamilo kwenda mji mwema na kutokea kiloleli (wakazi wa mwanza wanaielewa hii njia)...Kuna bonge ya mlima...Sasa Mimi niliweka 7 litres ile kupanda mlima gari ikawa haipandi ..kanyaga eccelator mpaka mwisho gari ikaishiwa nguvu kabisa!!..ikabidi nirudi mjini na kupita njia nyingine..

Nikampigia fundi akaniambia Ina shida nimpelekee akaicheki..
Ila kabla ya kwenda kwa fundi nikapita sheli nikaweka 53 litres...nikapita tena ile njia duh mashine inakimbia balaa!!

Kumbe mafuta machache ni sumu ya gari...
 
At least balance ya 6M baada ya kununua gari ..
Soma vizuri swali lake umuelewe. Nadhani haujamuelewa vizuri.

Kwa mimi nilivyomuelewa amekuuliza kuwa unatakiwa kuwa na uwezo wa kuingiza kipato cha shillingi ngapi kwa mwezi na uweke kiasi gani kwa muda gani ndipo umudu kununua gari?!
 
Two-footed driving is extremely "dangerous" because during emergency maneuvers, the driver may inadvertently step on the wrong pedal, or step on both simultaneously[emoji41]
Kuna utafiti umefanyika US wamagundua kuwa kuna baadhi ya madereva wapo wired kuendeshea miguu yote miwili kama vile ambavyo kuna watu wanauwezo wa kuandikia zaidi mkono wa mashoto na hata wakafanyia mazoezi mikono yote miwili ikaweza kuandika ila mkono wenye nguvu ni wa kushoto.

Tofauti na watu wengi pamoja na wataalamu wa usalama barabarani wamezoea kuwa gari za automatic zimeundwa kutumia mguu m'moja tu imegundulika kupitia tafiti ndogo kuwa kuna makundi ya watu ambao kuendeshea miguu miwili kunawapa control nzuri na uwezo wa kumudu gari na hata kupunguza uwezekano wa kupata ajari ndogo ndogo pamoja na kubwa zinazoweza sababisha madhara makubwa.

Kuna kundi na madereva walioendesha gari za manual transmission kwa muda mrefu. Hawa huwa na wakati mgumu sana kuozea mguu m'moja kwa pedals zote huku mguu mwingine ukiwa umelala.

Kuna kundi ambalo miguu yao ya mashoto ndio mguu active. Huyu anaweza kuendesha manuals comfortable zaidi ila automatic itampa shida kuendesha sababu ya kulazimika kuutuliza huu mguu.

Lakini tukiachana na haya makundi, zipo gari za automatic ambazo ni lazima utumie miguu yote katika pedals kutokana na nguvu ya gari katika speed na kasi ya kubadili gear na kuchanganya. Haya ni yale magari yenye speed kali kama Bugatti Veyron, Bugatti Chiron, Ferrari California, Lamborghini Aventador, etc yapo mengi sana magari naomba nisiyalist. Haya magari ni automatic na yana pedals mbili kama IST ila inakulazimu kutumia miguu miwili yote yaani kila mguu na pedal yake kwa wakati(sio pedals zote kwa wakati m'moja)

Kuna hoja hutoelewa na wataalamu pamoja na wadau wa usalama barabarani ila ukizitizama unagundua wanazungumza jambo ambalo hawalijui ila wanahofu nalo (fear of the unknown) kwasababu humu barabarani kuna madereva wengi sana ambao wanatumia miguu miwili na wanadrive more comfortable na hawakuwahi kupata hatari ambazo hawa wataalamu huzizungumzia tena kwa vitisho sana.

Pengine ni mapema sana kuielewa sayansi ya ubongo kama vile ambavyo watu walistaajabu kuona mtu anaandikia mkono wa kushoto wakiamini hatokuja kujua kuandika vizuri kwasababu mkono mandatory ni wa kulia. Ila tafiti zikaja kufuta huu ufahamu kuwa mkono wa kushoto pia kwa baadhi ya watu akiwemo Barack Obama ni mkono ambao kwa baadhi ya watu ni mkono active na umekuwa wired na ubongo.

Vivo hivyo kwa magari ya automatic ni magari ambayo hayana muda mrefu sana tokea yaje kwenye mazingira yetu na madereva wengi walianza na haya hawakuwahi kupitia manual transmission waligusa tu. Tayari hii inatupa gepu na kuelewa sayansi ya ubongo ina amrisha vipi response ya ubongo katika kuyatumia haya magari effectively.

Sasa kwasababu bado tafiti zinaendelea hebu tuwaachie wataalamu watatupa majibu kwasasa kama mtu ana maneuver gari vema kwa miguu miwili kwa zaidi ya miaka 5 10 hebu tuache kuwatisha kwa kuwapa mawazo ya ramli kuwa ipo siku watachanganya mambo kwa kujanyaga miguu yote katika pedals zote kwa wakati m'moja na kusababisha gari kufumuka na kuleta madhara makubwa tukisahau kuwa gari ya automatic ya sasa ina mfumo wa kukata moto na kuzuia engine kuwasiliana na gear box endapo pedal ya moto na break zitakanyagwa kwa wakati m'moja bila umakini.

Lakini pia tusisahau matokeo ya utafiti uliofanyika hapo US kuwa ajari nyingi za gari automatic si matokeo ya kutumia pedals mbili kwa wakati m'moja bali ni matokeo ya madereva kwa mshituko wa ghafla kupeleka mguu kwenye acceleration pedal na kukanyaga kwa nguvu wakijua ni brake ile hali mguu wa m'moja ukiwa umetulia pembeni. Wanasayansi bado wanatafiti uwezekano kuwa kuna watu miguu yao ipo wired kuoperate pamoja na sio m'moja kuwa umetulia tu na hii huwapa discomfort katika uendeshaji kiasi kwamba akiwa barabarani kukatokea dharula ubongo unakuwa na katazo la kutumia mguu mwingine ile hali unahitajika kusaidia na hapo ndipo mawenge hutokea.

Nakuacha na kiambatabishi cha mojawapo ya tafiti ujisomee tujifunze.

Asante.
 
Nilipokua mdg (16yrs) nilizoea kuwaburuza sana washkaji kwenye PlayStation za mbio za magari. Nayajua sn magari na kuwafundisha watu kuyandesha kwenye game.

Wengi wakiamini Mimi Ni dreva mzoefu Ndo maana nawashinda sana, huo ujiko nilikua naupokea kwa mikono miwili.

Kimbebe kikaja mmoja wa washkaji akaniita kwao, kufika ananambia nimsaidie anko wake kumkagulia gari, ananunua kwa mtu,Ni gar yake ya kwanza asijeuziwa gar bovu maana mm Ni mzoefu sana wa magari. Nikasema POA. Maswali mengi sn namhoji yanayohusu Gari nnayokutana nayo kwny magemu n.k

Uku na kule mwenye gar akanipa funguo niiwashe nitest chuma.
Aisee nilikua na hofu mno,
Ila kibabe nilijikaza wasijue nilitumia skills zile zile za kuendeshea PlayStation na zikakubali.

Gari ikatoka kweli nikaanza kuitembeza kiuoga, tatizo nikawa nabana Sana kando mwa barabara. Uoga wa kupishana na gar nyingine hasa gar kubwa ndo napaki pemben kwanza yapite nikijifanya navuta mafuta kuskilizia mlio wa engine.

KUmbe kiuhalisia ile ndio ilikua Mara yang ya kwanza kuendesha gari in real life[emoji16]
Unabalaa wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna utafiti umefanyika US wamagundua kuwa kuna baadhi ya madereva wapo wired kuendeshea miguu yote miwili kama vile ambavyo kuna watu wanauwezo wa kuandikia zaidi mkono wa mashoto na hata wakafanyia mazoezi mikono yote miwili ikaweza kuandika ila mkono wenye nguvu ni wa kushoto.

Tofauti na watu wengi pamoja na wataalamu wa usalama barabarani wamezoea kuwa gari za automatic zimeundwa kutumia mguu m'moja tu imegundulika kupitia tafiti ndogo kuwa kuna makundi ya watu ambao kuendeshea miguu miwili kunawapa control nzuri na uwezo wa kumudu gari na hata kupunguza uwezekano wa kupata ajari ndogo ndogo pamoja na kubwa zinazoweza sababisha madhara makubwa.

Kuna kundi na madereva walioendesha gari za manual transmission kwa muda mrefu. Hawa huwa na wakati mgumu sana kuozea mguu m'moja kwa pedals zote huku mguu mwingine ukiwa umelala.

Kuna kundi ambalo miguu yao ya mashoto ndio mguu active. Huyu anaweza kuendesha manuals comfortable zaidi ila automatic itampa shida kuendesha sababu ya kulazimika kuutuliza huu mguu.

Lakini tukiachana na haya makundi, zipo gari za automatic ambazo ni lazima utumie miguu yote katika pedals kutokana na nguvu ya gari katika speed na kasi ya kubadili gear na kuchanganya. Haya ni yale magari yenye speed kali kama Bugatti Veyron, Bugatti Chiron, Ferrari California, Lamborghini Aventador, etc yapo mengi sana magari naomba nisiyalist. Haya magari ni automatic na yana pedals mbili kama IST ila inakulazimu kutumia miguu miwili yote yaani kila mguu na pedal yake kwa wakati(sio pedals zote kwa wakati m'moja)

Kuna hoja hutoelewa na wataalamu pamoja na wadau wa usalama barabarani ila ukizitizama unagundua wanazungumza jambo ambalo hawalijui ila wanahofu nalo (fear of the unknown) kwasababu humu barabarani kuna madereva wengi sana ambao wanatumia miguu miwili na wanadrive more comfortable na hawakuwahi kupata hatari ambazo hawa wataalamu huzizungumzia tena kwa vitisho sana.

Pengine ni mapema sana kuielewa sayansi ya ubongo kama vile ambavyo watu walistaajabu kuona mtu anaandikia mkono wa kushoto wakiamini hatokuja kujua kuandika vizuri kwasababu mkono mandatory ni wa kulia. Ila tafiti zikaja kufuta huu ufahamu kuwa mkono wa kushoto pia kwa baadhi ya watu akiwemo Barack Obama ni mkono ambao kwa baadhi ya watu ni mkono active na umekuwa wired na ubongo.

Vivo hivyo kwa magari ya automatic ni magari ambayo hayana muda mrefu sana tokea yaje kwenye mazingira yetu na madereva wengi walianza na haya hawakuwahi kupitia manual transmission waligusa tu. Tayari hii inatupa gepu na kuelewa sayansi ya ubongo ina amrisha vipi response ya ubongo katika kuyatumia haya magari effectively.

Sasa kwasababu bado tafiti zinaendelea hebu tuwaachie wataalamu watatupa majibu kwasasa kama mtu ana maneuver gari vema kwa miguu miwili kwa zaidi ya miaka 5 10 hebu tuache kuwatisha kwa kuwapa mawazo ya ramli kuwa ipo siku watachanganya mambo kwa kujanyaga miguu yote katika pedals zote kwa wakati m'moja na kusababisha gari kufumuka na kuleta madhara makubwa tukisahau kuwa gari ya automatic ya sasa ina mfumo wa kukata moto na kuzuia engine kuwasiliana na gear box endapo pedal ya moto na break zitakanyagwa kwa wakati m'moja bila umakini.

Lakini pia tusisahau matokeo ya utafiti uliofanyika hapo US kuwa ajari nyingi za gari automatic si matokeo ya kutumia pedals mbili kwa wakati m'moja bali ni matokeo ya madereva kwa mshituko wa ghafla kupeleka mguu kwenye acceleration pedal na kukanyaga kwa nguvu wakijua ni brake ile hali mguu wa m'moja ukiwa umetulia pembeni. Wanasayansi bado wanatafiti uwezekano kuwa kuna watu miguu yao ipo wired kuoperate pamoja na sio m'moja kuwa umetulia tu na hii huwapa discomfort katika uendeshaji kiasi kwamba akiwa barabarani kukatokea dharula ubongo unakuwa na katazo la kutumia mguu mwingine ile hali unahitajika kusaidia na hapo ndipo mawenge hutokea.

Nakuacha na kiambatabishi cha mojawapo ya tafiti ujisomee tujifunze.

Asante.
Hata mimi mwanzoni nilikua natumia miguu miwili kuendesha automatic transmission na nilikua very comfortable

Siku moja mida ya saa tatu usiku nilikua nipo mshale nawahi nyumbani ghafla namuona mzee moja anavuka na baskeli huku anaikokota nilifunga brake chap kwa haraka ilibaki kidogo tu nimzoe

Kwenye situation kama ile ni rahisi sana mtu anayeendesha kwa kutumia miguu miwili kupata wenge ila nashukuru nilikua makini

Sasa hivi nishaacha kutumia miguu miwili kitambo sana natumia tu mguu mmoja na hata nikijaribu kutumia tena miwili nashindwa kabisa naendelea na mmoja
 
Kuna utafiti umefanyika US wamagundua kuwa kuna baadhi ya madereva wapo wired kuendeshea miguu yote miwili kama vile ambavyo kuna watu wanauwezo wa kuandikia zaidi mkono wa mashoto na hata wakafanyia mazoezi mikono yote miwili ikaweza kuandika ila mkono wenye nguvu ni wa kushoto.

Tofauti na watu wengi pamoja na wataalamu wa usalama barabarani wamezoea kuwa gari za automatic zimeundwa kutumia mguu m'moja tu imegundulika kupitia tafiti ndogo kuwa kuna makundi ya watu ambao kuendeshea miguu miwili kunawapa control nzuri na uwezo wa kumudu gari na hata kupunguza uwezekano wa kupata ajari ndogo ndogo pamoja na kubwa zinazoweza sababisha madhara makubwa.

Kuna kundi na madereva walioendesha gari za manual transmission kwa muda mrefu. Hawa huwa na wakati mgumu sana kuozea mguu m'moja kwa pedals zote huku mguu mwingine ukiwa umelala.

Kuna kundi ambalo miguu yao ya mashoto ndio mguu active. Huyu anaweza kuendesha manuals comfortable zaidi ila automatic itampa shida kuendesha sababu ya kulazimika kuutuliza huu mguu.

Lakini tukiachana na haya makundi, zipo gari za automatic ambazo ni lazima utumie miguu yote katika pedals kutokana na nguvu ya gari katika speed na kasi ya kubadili gear na kuchanganya. Haya ni yale magari yenye speed kali kama Bugatti Veyron, Bugatti Chiron, Ferrari California, Lamborghini Aventador, etc yapo mengi sana magari naomba nisiyalist. Haya magari ni automatic na yana pedals mbili kama IST ila inakulazimu kutumia miguu miwili yote yaani kila mguu na pedal yake kwa wakati(sio pedals zote kwa wakati m'moja)

Kuna hoja hutoelewa na wataalamu pamoja na wadau wa usalama barabarani ila ukizitizama unagundua wanazungumza jambo ambalo hawalijui ila wanahofu nalo (fear of the unknown) kwasababu humu barabarani kuna madereva wengi sana ambao wanatumia miguu miwili na wanadrive more comfortable na hawakuwahi kupata hatari ambazo hawa wataalamu huzizungumzia tena kwa vitisho sana.

Pengine ni mapema sana kuielewa sayansi ya ubongo kama vile ambavyo watu walistaajabu kuona mtu anaandikia mkono wa kushoto wakiamini hatokuja kujua kuandika vizuri kwasababu mkono mandatory ni wa kulia. Ila tafiti zikaja kufuta huu ufahamu kuwa mkono wa kushoto pia kwa baadhi ya watu akiwemo Barack Obama ni mkono ambao kwa baadhi ya watu ni mkono active na umekuwa wired na ubongo.

Vivo hivyo kwa magari ya automatic ni magari ambayo hayana muda mrefu sana tokea yaje kwenye mazingira yetu na madereva wengi walianza na haya hawakuwahi kupitia manual transmission waligusa tu. Tayari hii inatupa gepu na kuelewa sayansi ya ubongo ina amrisha vipi response ya ubongo katika kuyatumia haya magari effectively.

Sasa kwasababu bado tafiti zinaendelea hebu tuwaachie wataalamu watatupa majibu kwasasa kama mtu ana maneuver gari vema kwa miguu miwili kwa zaidi ya miaka 5 10 hebu tuache kuwatisha kwa kuwapa mawazo ya ramli kuwa ipo siku watachanganya mambo kwa kujanyaga miguu yote katika pedals zote kwa wakati m'moja na kusababisha gari kufumuka na kuleta madhara makubwa tukisahau kuwa gari ya automatic ya sasa ina mfumo wa kukata moto na kuzuia engine kuwasiliana na gear box endapo pedal ya moto na break zitakanyagwa kwa wakati m'moja bila umakini.

Lakini pia tusisahau matokeo ya utafiti uliofanyika hapo US kuwa ajari nyingi za gari automatic si matokeo ya kutumia pedals mbili kwa wakati m'moja bali ni matokeo ya madereva kwa mshituko wa ghafla kupeleka mguu kwenye acceleration pedal na kukanyaga kwa nguvu wakijua ni brake ile hali mguu wa m'moja ukiwa umetulia pembeni. Wanasayansi bado wanatafiti uwezekano kuwa kuna watu miguu yao ipo wired kuoperate pamoja na sio m'moja kuwa umetulia tu na hii huwapa discomfort katika uendeshaji kiasi kwamba akiwa barabarani kukatokea dharula ubongo unakuwa na katazo la kutumia mguu mwingine ile hali unahitajika kusaidia na hapo ndipo mawenge hutokea.

Nakuacha na kiambatabishi cha mojawapo ya tafiti ujisomee tujifunze.

Asante.
Mimi ni mmoja kati ya wanaotumia miguu miwili, sababu ya kutumia miguu miwili ni mosi mimi kwenye mpira natumia mguu wa kushoto so mguu wangu wa kushoto una nguvu ya kufanya maamuzi haraka kuliko kulia, inapotokea nataka kushika breki automatically mguu wa kulia huwa unatoka kwenye pedal. Faida kubwa nayoipata na imepelekea mi kusifiwa zaidi na watu naowaendesha ni kutokuwa na breki za kushitukiza hata nnapokuwa katika hatari simply kwa sababu mguu wangu unakuwa upo karibu. Nilichogundua kuendesha miguu miwili au mmoja ni akili ya mtu na wala siyo dhambi. Wale ambao miguu yao ya kushoto au wana matumizi ya miguu yote hao ndo wana tumia miguu miwili kuendeshea. Nilishajaribu kuendeshea mguu mmoja nikashindwa katika maamuzi
 
Mimi nilichonisumbuaga ni kutaka kuingilia mlango wa abiria ndo niende kwenye siti yadereva [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Two-footed driving is extremely "dangerous" because during emergency maneuvers, the driver may inadvertently step on the wrong pedal, or step on both simultaneously[emoji41]
Inategemea ntu na ntu...kwa aliyezoea miguu miwili inakuwa ni natural sawa na anayetumia mguu mmoja
 
Mimi ni mmoja kati ya wanaotumia miguu miwili, sababu ya kutumia miguu miwili ni mosi mimi kwenye mpira natumia mguu wa kushoto so mguu wangu wa kushoto una nguvu ya kufanya maamuzi haraka kuliko kulia, inapotokea nataka kushika breki automatically mguu wa kulia huwa unatoka kwenye pedal. Faida kubwa nayoipata na imepelekea mi kusifiwa zaidi na watu naowaendesha ni kutokuwa na breki za kushitukiza hata nnapokuwa katika hatari simply kwa sababu mguu wangu unakuwa upo karibu. Nilichogundua kuendesha miguu miwili au mmoja ni akili ya mtu na wala siyo dhambi. Wale ambao miguu yao ya kushoto au wana matumizi ya miguu yote hao ndo wana tumia miguu miwili kuendeshea. Nilishajaribu kuendeshea mguu mmoja nikashindwa katika maamuzi
Same kwangu. Nimefeli kabisa. Na huwa sipo comfortable kuwaambiwa watu maana nikiwaambia wanaanza kunielekeza na kunifanya nihisi nakosea jambo ambalo huwa linanikwaza sana.

Kuna jamaa nilikosana nae sababu ya kunielekeza namna ya kutumia mguu m'moja tukiwa barabara kubwa ilibakia nusu nimshushe ila malaika wa MUNGU walikuwa karibu wakanituliza hasira zangu.

Jamaa alikuwa tu si mtulivu, amekaa anaacha kuwa busy na mambo yake nashangaa ananiuliza, "unatumia miguu miwili kukanyaga pedals, hatari sana hiyo" akaongea kwa namna ya kuhamaki sana aisee hadi nikapanic kimya kimya ingawa sikumuonyesha hiyo hali ya kupanic nikajikaza.

Halafu anakazana kukulekeza dah nikajikuta namuuliza swali moja tu, kuwa mimi naendesha gari tokea 2003. Miaka yote hiyo gari zote nimekuwa nikiendesha kwa mtindo huu, hayo unayosema si yangeshatokea mbona sijawahi kujihisi nafanya jambo la hatari na jambo la zaidi ni kuwa ninakuaa na confidence zaidi nikitumia miguu miwili kuliko mguu m'moja?

Akanikazania, "sawa endelea kuwa mbishi, unaambiwa unakosea unabishana na wataalamu wa sheria za barabarani" dah nikajifeel vibaya sana yale maneno yalinikata stimu ila nikamindi zaidi kwa huyu mtu nimempa lift na mimi ndie mwenye mali why mtu anipangie. Nikavumilia nikajua huyu tunakorofishana tu nikiendelea na mjadala wacha nikae kimya upepo mchafu upite.

Kwahiyo hii kitu naona watu wengi hawajaifanyia tafiti kama vile miaka ya nyuma ilivyoaminika kuwa watu wote hutumia mkono wa kulia tu na sio wa kushoto. Kumbe tafiti zilipofanywa ikaja kuonekana kuna watu mikono ya kushoto ndio main na ya kulia sio.

Ila yote kwa yote huwa nachukia sana mtu anaeingia kwenye gari nakuanza kunilecture as if huwa ananiendesha yeye kila siku. Huwa nachukizwa sana na hii tabia. Maana hata mimi nikipanda gari ya mtu huwa natulia tuli na naongea mambo mengine ya kumfanya dereva awe comfortable kuendesha na kufurahia kuwa na aibiria ambaye wanashare story.
 
Back
Top Bottom