Tuliowahi kukutwa na ushamba mara baada ya kununua gari kwa mara kwanza tukutane hapa

Hahahaha safi mkuu
 
Mkuu, kuna madhara kutumia miguu miwili?
 
Mara ya kwanza kuingia road, nilikutana na boda boda nikasimama apite kwanza,
 
Mara ya kwanza kuingia road, nilikutana na boda boda nikasimama apite kwanza,

Hahaha malizia mwamba...halafu ikawaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…