Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
- Thread starter
-
- #41
Haahaa ukaamua kuchomoa betriπ€£Majuzi tu hapo kuna mmoja kaleta ujanja huo anakaa kilometer chache tu nilipo,ameelekeza nimtumie nauli kwa kiasi alichotaka baada ya kumtumia ananipigia akiwa na wenzie ananiambia hii haitoshi huku wakicheka kwa sauti,kosa alilofanya hakua ametoa ile pesa,nilifahamu hilo baada ya kuingia kwenye menu pendwa ya YAS,kilichofata mpaka sasa ananilaumu na kunipa majina yote mabaya....
videm vijizi ivyo dem toka lini dem anakuwa na nye.gedemu akisema ana nyege
Tunakula na tutawatafuta baada ya mweziMsile nauli jamaniπ€£π€£
Aaah dipresheni juu ya dipresheniπ€£Isingewezekana hapo nilitaka kumuitia jirani wangu wa kike sema nae alivusha.
π€£π€£π€£π€£ tena ukiwa mkavuuu kama sio wewe ulokula nauli.Tunakula na tutawatafuta baada ya mwezi
Kiuhalisia ukimuitisha na hayupo mbali sana ni bora aje na usafiri utalipa akifikaπππAu ajilipie na akifika nimrudishie kama hataki aendelee kujikunyata na uchi wake huko alipo,pumbavu!!!Mi demu akisema nitume nauli na sijawahi kumnyandua najua uwezekano wa kupigwa 100%, naruka huo mtego.
Bahati nzuri sio mimi..............ungekuwa ni wewe unafanya nini kwa dem asiyejielewa km huyu?
Halafu wanasema tunacheka kama wehu π π€π€£π€£π€£π€£ tena ukiwa mkavuuu kama sio wewe ulokula nauli.
MAumivu ni yale yale hata ukimblock. Pole sana mkuuKuna miaka bana nilibrowse simu nkaona nichat na bidada mmoja tukakubaliana atanitembelea mkoa nilipo, tulikuwa tunaishi mikoa tofauti. basi bana ikawa imeisha iyo, wakubwa hawatongozani, wanapeana taarifa tu.
huyu bidada tulifahamiana kitambo icho tuliwahi kuishi mkoa mmoja.
Sasa nimemcheki nione kama anaweza kuja mkoa niliopo tupumzike na kuilaumu kidogo serikali, yeye akaniashiria atakuja nimwezeshe tu nauli na pesa ya kuacha apo kwao, ikawa imeisha iyo.
siku ya safari akaniashiria aliondoka asbh na zile gari mpya zinazosafirishwa kwenda nchi jirani (transit) na akawa ananijuza kila kituo alipo.
ilikuwa ni safari ya kutwa nzima ilikuwa aingie mji nilipo kuanzia saa moja moja usiku hivi. wakati anaongea na simu nilikuwa naskia sauti nzitonzito nkahisi bila shaka itakuwa ni abiria wengine au ni wanaweza kuwa wahusika wengine wa iyo gari, lakn nikaona nkaona sio kesi hayanihusu ayo.
wakati huu ile mida ya gari kufika ikawa inakaribia nayeye akaniashiria wamekaribia nisogee kituoni. basi bana ile moja moja mimi nikawa pale kituoni. km ili yo kawaida vituoni makelele kila kona hata kusikizana vzuri ni mziki.
bdae nilivoongea nae akanambia ameshashua ananitafuta hanioni nkampa maelezo ya kufika pale nilipo maana niliona tukianza kutafutana hatutoboi. mm nilikuwa nimechill mahali flani palepale kituoni nikamuelekeza yeye aje pale nlipo akasema sawa. ila hakutokea. nkaamua kumpigia nimuulize yuko wapi. simu yake ikawa haipatikani hewani. piga sana simu haipo hewani kabisaa.
basi wazo moja likaniambia huyu inawezekana simu yake imeisha chaji imezimika maana kutwa nzima alikuwa hewan. lakn pia kwa nisivo waamini madem (hasa hawa wajanja wa mijini) nkahisi inawezekana bidada ameshapata bwana mpya mulemule kwenye ile gari wameshuka wote. ndomaana bidada ameamua kujizimisha simu kuua kesi. nkajisemea haya yote yanawezekana ila ngoja nimpe muda kama vp atanifuta.
basi nikaona nisubiri kidogo kama itatokea hatokuja au kupiga simu mm nichimbe zangu hom. kweli bana nmekaa pale kama lisaa ivi na zaidi sikaona mtu wala kupigiwa simu. nkajua yale mawazo yangu yalikuwa na ukweli.
nkasepa zangu maskan na nyege mshindo. yule dem hakupiga tena simu usiku ule wala kesho yake. namm sikuona haja ya kumtafuta tena mtu kama huyo ila nkajua yale nliyoyafikiria yalikuwa na ukweli.
Alikuja kunitafuta baada ya muda sana kama mwezi hivi umepita ndo ananipigia huku anajichekeshachekesha kama mwehu hivi. namm nkapokea simu yake kwa sauti kavu km ile ya roboti kama simjui vile. ananipa visingizio vya kutoonekana siku ile nikajua anatunga uongo tu sikuwa na interest na mazungumzo yake tena alimaliza kuongea nkambloki mazima apoapo. pambafff...
ungekuwa ni wewe unafanya nini kwa dem asiyejielewa km huyu?
π€£π€£π€£π€£π€£Halafu wanasema tunacheka kama wehu π π€
Mi nataka nimtetee huyu bwege, maana hata wewe mkuu ungepigwa tu.Hujasema ulituma shi ngapi kama nauli, ili tupime kiwango chako cha ufala.
Halafu kuku wa kula umwene bila mwanamke huku umeghadhabika hawagi mtamu, unakuwa kama unatafuna kamba.Niliona kuliko nile hasara jumla bora nipate nusu hasara, bora nile nishibe nilale na upwiru wangu. Ila dipresheni usiku ule π
Huyo ney unayemsemea ndo huyu π KilawoKuna Demu nilikutana nae Facebook anaitwa ney de quite, Katika harakati za kupangana ili tupeane utamu, yule Dem Tulikuwa tunaishia mkoa mmoja akaniambia nitume nauli na pesa ya kumwachia mama ake hapo nyumbani ,Mimi nikatuma nauli kutoka alipo adi anapokuja wakati huo Ilikuwa shiling 12000 nikatuma na kusukia na kuacha nyumbani kwaKe , Baada ya saa Moja kumtumia akaniambia anaenda stend aise nilimsubiri yule manzi kila bus hayupo simu anapokea ananimbia nakaribia lakini hatokei ,adi saa nne ya siku nikaenda kulala kwa gazabu NYingi sana moyoni...
Kuna wadada wenye kazi nzuri, ila mizinga wanayopiga bora unge-date. na ambao hawana kazi ujue Moja π«’ komasavaaVijana kwanini hamna standards.Hiyo mizoga mnaokotaga wapi.Anyway mimi huwa nauliza mwanzo kabisa ikiwa mdada ni anajishughulisha au jobless ili nijiweke mbali na vimbwanga kama hivyoππ.
Vijana jifunzeni kulinda brand hata kama upwiru ni mkubwa kiasi gani dont be desperate.Utashindwa kufanya maamuzi sahihi.
Mbinu nyingine ya kuondoa vitete au desperation hakikisha una mademu hata watatu.Yaani plan A,B,C alafu uone kama utakuwa unawashobokea hovyo hawa malaya.Hakikisha katika hao mademu zako kuna mpenda ngono huyo simu moja keshafikaπ€.
πππVIJANA LAZIMA MJIFUNZE KUWA NA OPTIONS,UPWIRU NI MBAYA SANA!!!
Basi huyo atakuwa ni malaya mbwa.kwa zile hekaheka nlizokuwa nazisikia kwenye simu naamini ni kweli alisafiri ila akapata bwana kwenye uo usafiri maana angetulia tu kwake kungekuwa na hali ya utulivu zaidi kwenye maongez ya simu.
Kufanya maujinga yote hayo mtu huwa kachora hadi picha namna atakavyochinja! ππ€£π€£.Ila inauma na unakuta mzigo uliupania kinoma