Tuliowahi kupata ajali na kunusurika tukutane hapa

[emoji115] [emoji115] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mwaka 2005 nikiwa nimelala ndani, tractor lilimshinda driver na kuja kugonga nyumba niliyo lala. Cha kushukuru mungu ukuta ulidondoka kwa nje na kuniacha mzima wa afya. Mungu mkubwa
 
Malizia mkuu ikawaje sasa
 
Poleee mzeee. Lakini darajaa linahama ulikuwa ushafanya uchenjuaji wangano au ulipigwa mambo ya ozanga na nefunefuu!!!! Yani daraja linahama kabisaa???
 
Poleee mzeee. Lakini darajaa linahama ulikuwa ushafanya uchenjuaji wangano au ulipigwa mambo ya ozanga na nefunefuu!!!! Yani daraja linahama kabisaa???
[emoji15] [emoji12] nilikuwa mzima kabisa
 
Poleni sana mliopatwa na masaibu ya ajali mungu atuepushe maana nasoma Uzi mpaka nasisimka ukizingatia sijawahi hata kuona ajali labda kwenye mitandao ,sio kwamba Mimi ni bora au sina dhambi nikwa Neema tuu
Afu ajali huwa ni kufumba nakufumbua hiii hapaa ukichomoka nikwaneema tuu ya MUNGU
 
Sasaa darajaa likhamajee au kioo cha gari kilikuwa lenzi mbinukoo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni ngumu kuelezea it was a flash of moment... The next moment I was flying
 
Uzi wa kijinga huu Sijapatapo kuona.

Ajali badala kumshukuru Mungu upo salama nyie mnatangaza hapa.

Mnapeleka ujumbe upi kwa wale waliiondokewa na ndugu, jamaa, marafiki, watoto, wazee wao kwenye ajali?

Mnapeleka ujumbe upi kwa wale waliolemaa maisha kwa ajali?

Huu uzi ufutwe, ni upumbavu wa hali ya juu kuuwacha hapa.
 
Pole sana ndugu!

Hadi umri huu sina historia ya ajali iwe ya gari binafsi ama magari ya abiria......

Sijajua ni kwasababu sisafiri sana, ama ni uoga wangu nikiwa barabarani ama ni kwakuwa nimejifunzia gari ukubwani...


Naogopa sana ajali.
 
Mshana bwana !natamani nikuone live yaani hapo inamaana kunapepo la ajali ila sababu wewe mtu mzito ulilikwepa ndio unamaanisha.
 
Rafiki yangu gari ilipindukia kajimfereji kama ka kakorongo gari ikawa haitizamiki yeye alitoka hakupata hata mchubuko anasema walioshuhudia wakamwambia siyo hali ya kawaida atakuwa amepata majeraha ya ndani kwa ndani Hosp. Akachekiwa alikuwa fit traffic wakamwambia asipookoka au kukaa karibu na Mungu basi atakuwa mwehu gar ilivyokuwa wakamwambia hakuna ajali ya aina ile MTU angepona !!!
 
Nisehemu ya ushuhuda na kumrudishia MUNGU utukufu kwa kuwaponya watu wake na ajali. Tunaambiwa tushukuru kwa yote walionusurika,waliopata ulemavu na kufiwa pia na ndugu sio kwa ubaya wala kujisifu maana kinachotokeaga katika ajali hakuna anakijuaga unashtukiaga tuu mtu upo hospital. Au ndo msiba na ulemavu na kadhalika. Hujaachaa ushirikina tuu we bibi mtu Mzee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…