Tuliowahi kupata ajali na kunusurika tukutane hapa

Tuliowahi kupata ajali na kunusurika tukutane hapa

asante sana mkuu! nashukuru usioni kovu sio baya kwakweli tena linapotea! maana kha!ningeapply vip powder!😀 ila magotin acha nivae dela kwa mwaka huu aic! hakuna umin utakaokuibali sio makov hayo😳
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwanza kbs poleni sn wenzangu mlonusurika na ajali km Mimi,mwaka 2013 maeneo ya kimara Suca nilipata ajali ya Gari mguu wa kulia ukavunjika km muwa kwenye kifundo kujaribu kunyanyuka mguu umening'ia naona damu tele na mfupa ilikua mwezi wa 10 saa5 ucku mpk nafikishwa muhimbil ni saa 7 ucku pale moi nikapigwa ganzi,kesho yk saa 6 mchana nikaingizwa theatre mpk natoka ni saa 11 jioni nikiwa nimeekewa vyuma kwa ndan wanaviita disc,docter akanambia baada ya miezi 6 ndo ntaanza kutembea Dede lkn Mungu ni mwema kwani christmass yaan miezi miwili mbele kakaangu Dereva wa serikali ananichukua na kunipeleka bar pale makabe na kulikua na live band hua napenda Sana bas wakagonga copy wimbo Tx Moshi Ajali nikipandwa na mzuka wa ajabu nikiwa na magongo yangu machozi usoni nikanyanyuka nikacheza sn na waungwana wakanitunza cent c haba mzuka wa mziki na nyagi mixer zanzi nikatupa gongo moja broo akaliokota ooh duh,in short January mwishon nikaweka magongo pembeni na kuanza kutembea mwenyewe kila mtu alishangaa mpk madocter pale muhimbili maana nilikua nakwenda clinic ila mi nilijua ni wema wa mola tu kwangu kiumbe dhaifu! Namshukuru Mungu kwani mwaka Jana mwanzoni nilirudia operation nikatoa vyuma na nikitembea huwezi jua km nilipata ajali ile,cfa na utukufu ni kwa bwana alieumba mbingu,ardhi na viumbe wake!nalengwa machozi najihis nna deni bd ooh[emoji32]
 
hahahahah nimejikuta nacheka pole sana mkuu yeah wengine wana miili mizuri kwakweli! pole sana aic
 
Mie sitaki kukumbuka aisee nlishapata ajali Mara tatu,nashukuru Mungu mbili nilitoka salama,ya mwisho ndo mguu umekuwa unanisumbua kila siku
 
Mie sitaki kukumbuka aisee nlishapata ajali Mara tatu,nashukuru Mungu mbili nilitoka salama,ya mwisho ndo mguu umekuwa unanisumbua kila siku

duh ! hata hvyo shukuru Mungu kwakweli umesalimika
 
Kabisaaaa ni kumbu kumbu mbaya sana mbaya zaidi ajali zote nilizopata nlikuwa naziona hivi uwiii hapana aisee
Mungu yupo jamani na wacha aitwe Mungu

yaan hazitoki kwa urahis aic mie sk hiz ndo nalala may yoote
hii nilikuza km na juinamizi mbaya mno hizo kumbukumbu! pole sana
 
Ijumaa kuu mwaka huu imebaki nusu saa naenda kuimba mateso halafu natakiwa nikawalipe vijana site kama km 8 hivi kutoka nyumbani, nikaliwasha dude li boxer bm 150 jeusi niende halafu nirudi home kujiandaa niwahi church, ajali tamu bhana asikwambie mtu hasa ukiwa kwenye speed! Hamad kwenye mlima uso kwa uso na range ya jirani yangu nikaona isiwe tabu nkamwachia njia.. nikala mweleka wa maana nikazuga pale kama sijaumia vile nikainyanyua ndude washa tembeaa speed kali zaidi, nimebaki na chapa tuu kwenye kiganja ila sielewi niliendeshaje na kile kidonda na ibada nikawahi, Mungu yuko fea sana
 
Sisahau niligonga treka usiku mnene nilikuwa kwenye pikipiki nikajua pikipiki mwenzangu anakuja mbele kumbe trekta lina taa moja. Kuzinduka nipo peke yangu saa tisa usiku huku majeraha kibao mguu umeteguka maumivu makali na baridi balaa. Nikaisogelea pikipiki yangu kwa kujivuta nikaiwasha ikawaka nikapanda mwenyewe mdogomdogo hadi hospitali. Kufika mapokezi ndo nawekwa kwenye machela. Sitasahau
 
Ajali nyngne boyfriend wng alipata 2012 alitoka club ananifata mimi nipo sinza katokea posta na kalewa basi mie nampelekesha bwana mie narudi nyumbani kama hutaki kuja yani nikikaa dk 2 sim dk 2 sim jamaa katoka posta mkuku na gari ananiwahi mie bwana we kufika kijitonyama akala mzinga uso kwa uso sasa nimekaa kama 1 hour mtu hafiki napiga sim ipo busy kutwa kumbe yupo hospital mwananyamala wanahangaika kupiga sim yake no yangu hao wasamalia wema ndo kupiga tena nikampata kuongea nao wananiambia jamaa yko kapata mzinga knyama njoo mwananyamala hospital yani sikuamini nikamkuta kapasuka kichwani alishonwa nyuzi kama 10 uso umeumuka madamu kibao nusu nizimie nililia jamani nilikua nimekunywa bia5 zote ziliruka aisee ajali iskie tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom