Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza kbs poleni sn wenzangu mlonusurika na ajali km Mimi,mwaka 2013 maeneo ya kimara Suca nilipata ajali ya Gari mguu wa kulia ukavunjika km muwa kwenye kifundo kujaribu kunyanyuka mguu umening'ia naona damu tele na mfupa ilikua mwezi wa 10 saa5 ucku mpk nafikishwa muhimbil ni saa 7 ucku pale moi nikapigwa ganzi,kesho yk saa 6 mchana nikaingizwa theatre mpk natoka ni saa 11 jioni nikiwa nimeekewa vyuma kwa ndan wanaviita disc,docter akanambia baada ya miezi 6 ndo ntaanza kutembea Dede lkn Mungu ni mwema kwani christmass yaan miezi miwili mbele kakaangu Dereva wa serikali ananichukua na kunipeleka bar pale makabe na kulikua na live band hua napenda Sana bas wakagonga copy wimbo Tx Moshi Ajali nikipandwa na mzuka wa ajabu nikiwa na magongo yangu machozi usoni nikanyanyuka nikacheza sn na waungwana wakanitunza cent c haba mzuka wa mziki na nyagi mixer zanzi nikatupa gongo moja broo akaliokota ooh duh,in short January mwishon nikaweka magongo pembeni na kuanza kutembea mwenyewe kila mtu alishangaa mpk madocter pale muhimbili maana nilikua nakwenda clinic ila mi nilijua ni wema wa mola tu kwangu kiumbe dhaifu! Namshukuru Mungu kwani mwaka Jana mwanzoni nilirudia operation nikatoa vyuma na nikitembea huwezi jua km nilipata ajali ile,cfa na utukufu ni kwa bwana alieumba mbingu,ardhi na viumbe wake!nalengwa machozi najihis nna deni bd ooh[emoji32]
Nashukuru mkuu nawe pia pole ndg!hahahahah nimejikuta nacheka pole sana mkuu yeah wengine wana miili mizuri kwakweli! pole sana aic
Kabisaaaa ni kumbu kumbu mbaya sana mbaya zaidi ajali zote nilizopata nlikuwa naziona hivi uwiii hapana aiseeduh ! hata hvyo shukuru Mungu kwakweli umesalimika
Kabisaaaa ni kumbu kumbu mbaya sana mbaya zaidi ajali zote nilizopata nlikuwa naziona hivi uwiii hapana aisee
Mungu yupo jamani na wacha aitwe Mungu
Dah pole sana aiseeDah una mbwembwe sana kijana. Mimi nilipata ajali mpaka leo nina kumbukumbu ya chuma mkono wa kushoto.
View attachment 525278 View attachment 525279
Nyie muRIP tuNa tuliopata ajari na kufa?
Haaaa haaaa haaaaHivi ni sifa kupata ajali??mpaka utunge uzi wakujadili ajali??
Duh pole sana mkuu ajali isikie kwa mwenzioDah una mbwembwe sana kijana. Mimi nilipata ajali mpaka leo nina kumbukumbu ya chuma mkono wa kushoto.
View attachment 525278 View attachment 525279