Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Hahahaha dah!! Kweli kabisa aiseeee pombe za round sio kabisaaaa
 
Huu uzi unanisuta mm. Enzi hizo kila club unayoijua hapa mjini nilikuwa napewa hashima na mameneja. Nimemtajirisha sana mbowe pale bills. Meza yangu ilikuwa haipungui watu 5. Nikaja nikaishiwa hata mia sina, ninachohukuru nilijenga nyumba ya maana. Jamaa zangu wote wakanikimbia. Inafika hatua uko nyumni kwenye jumba zuri hata mia huna. Unaanzaje kwenda kukopa kwa mangi wkt jamii inakuona mdosi!!!! Hajahahaha maisha haya. Msoto mkali miaka 3 mfululizo. Baada ya hapo nikaanza kupata vidili vya kuinhiza 2mil kwa week. Nafanya kazi lkn hela inaishia wapi sijui

Baada ya kutafakali sana nikaona niache kunywa c/lite. Hahahaha sasa nimeona nianze kunywa chibuku. Hata niwe na milion mfukoni nanunua kopo zangu tatu kwa shs 3000 tu natinga home nameza zangu chibuka. Namshukuru wife alinivumilia kipindi kile.

Bila kufulia huwezi jua dunia ikoje
 
Aisee mkuu wew ninoma!
Mi pombe nakunywa for funny tu, sinywi ili nilewe sana na raha ya pombe unywee bar huku unacheki Mpira na totoz zinavyopishana kuhudumia Wateja!

Kwa situations iliyofikia ni bora hata hiyo pombe uachane nayo tu maana hapo itakua haupo comfortably hata unapoenda inunua na mbaya zaidi ni pale unaporudisha chupa.
 
Starehe zote nimefanya, hayo ndio maamuzi yangu
 
kwa nini avatar yako usiandike ngedere...ni wazo tu!
 
mkuu kuna watu wanaanza na hiyo mil2 inawatoa kabisa.
 
Huu uzi haukufai
Nenda kwa ule unaosema
Raha ya kuponda pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…