Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

pale k
hahahaha...kampala acha kabisa mji wenyewe unakushawish kutumia hela...maana starehe jijini pale duuh acha..
Mimi kuna siku nilienda nikiwa kwa akaunt nina kama laki 9,huwezi amini laki 600k ilikatikia mji ule...alafu sio mtu wa totozi kivile
pale coopers house mchana maduka usiku grocery dhu milimalizia pale hela ya mtaji wa viatu kwa bia za balozi ndizi mzuzu na pussy za kila aina..
 
😂😂 magufuli kiboko ya wahuni
 
Weka picha boss
 
Aiseeee
 

Mimi ni programmer kuna project nilipata kampuni x la mtandao wa simu na baada ya kuikamilisha hii ndo amount nimelipwa ( 12,000,000 ) baada ya dalali kukata yake na kodi za serikali kukatwa , sijawahi miliki this amaont.

Nimeicha kama wiki hivi sasa nikifikiria nini cha kufanya ili kui zalisha hii hela naomba nipate ushauri na mimi nisije imaliza kwa kujilaumu

NB: Sijaoa bado nimepanga na chuo nimamaliza 2021 nyumbani hawanitegemei sana maana kila mtu ana jishughulisha kiasi.
 

Wekeza kwenye programmer. Ongeza vifaa kama ulikua unaitaji, jitanue katika kazi zako ziwe na ubora. Jitangaze pia ila hakikisha utumii pesa yote.

Kama utataka kujifunza kitu kipya cha kukuingizia kipato kama biashara, hakikisha unaweka tuu 2 million kujifunza na kuhakikisha inazalisha. Utapata uelewa wa namna gani faida na mzunguko ulipo.

Usijaribu muambia mtu yoyote atakaye taka kukushirikisha biashara una shilingu million 10. Tutakuibia na kukudhurumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…