Machuchu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2017
- 1,260
- 965
Hayo ndio yanayo nikost Mimi na mume WANGU... FUNGA, fungua kila siku ela z uku zinaend kununua vinywaj kwa wiki yeye peke yake anakunyw kret 3 had 4 maana anajua n MARAFIKI na si mchoyo....nimeongea NIMECHOKA NIMEAMUA nikae kimya na mm sinywi pombe lakin mwenzangu Muhaya huyu anakoga sio kunywaNiliwahi kuzichanga huko nyuma, nikafungua grocery! Kwa kuwa nami nilikuwa mwanachama, mwanzoni nilikuwa na wateja wazuri na waaminifu. Baada ya muda mikopo ikaanza. Mteja akikopa na deni likiwa kubwa, anahama kijiwe.
Nakumbuka mara ya mwisho nilifungia crate tupu kwani hata chupa walishakopa zikiwa na pombe ndani. My Take: Biashara ya pombe kama na wewe mmiliki ni mnywaji, usinywee pale, ni hatari kwa usalama wa grocery yako.