YE67NBE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2015
- 15,155
- 36,337
Aisee nipeni na mie connection niwe natoa mkopo wa chupi mkonono kuna mil 5 zimekaa kihasara hasara hapa
Mimi hapa nikopeshe hizo 5million zote [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee nipeni na mie connection niwe natoa mkopo wa chupi mkonono kuna mil 5 zimekaa kihasara hasara hapa
Hata mashuka nawaachia kama dhamana au!???Karibuni MABENA FINANCIAL SERVICES TUPO NCHI NZIMA KILA WILAYA MKOPO CHAP RIBA 20% dhamana Ni vitu vya ndani
Nyie ndo mnatakiwa mtiwe moto ndani ya ofisi zenuKaribuni MABENA FINANCIAL SERVICES TUPO NCHI NZIMA KILA WILAYA MKOPO CHAP RIBA 20% dhamana Ni vitu vya ndani
Njoo pm tuyajengeMimi hapa nikopeshe hizo 5million zote [emoji23][emoji23]
Ongea tu mkuu japo kwa ufupi.Naomba nisiongee chochote kwenye hili
Uzeni gawaneniDadangu anafosi nimwandikie barua ya mkopo,
Anakopea kiwanja cha urithi, hii ni mali yetu mimi na yeye....hii pesa nina wasiwasi hatarudisha.
Naandika kesho kuepuka lawama ila najua ili deni nitalipa mimi dadeki.
Kama una marejesho ya kila siku tegemea kuwa katika chama cha UWABATA🤣🤣Ilikuwa mwaka 2011 mwezi wa 7 mara yangu ya kwanza kuchukua mkopo benki, Tsh 3m. Ule mkopo niliufanyia biashara vizuri na nikarejesha bila changamoto kubwa ndani ya miezi 6. Wale maafisa mikopo wakafurahia na kunishauri nichukue mwingine wa Tsh 5m. Nikafikiria na baada ya mwezi nikachukua mkopo mwingine. Ikawa kama bahati wakati nachukua mkopo nikawa nimepata tenda ya kushona uniform za shule flani.
Nikaona hili ni dili zuri na kwa bahati wateja wangu wakanilipa pesa za advance zaidi ya 90%. Kilichofuata nikaamua nitafute mafundi wazuri Nairobi wanishonee uniform zote. HAPA NDO BALAA LILIPOANZA. Niliingia choo cha kike. Mkenya niliyempa kazi kumbe ni mshenzi mno... kadhulumu watu wengi sana. Ni kweli ofisi anayo na mafundi anao ila kwa bahati mbaya huwa hatimizi makubaliano. Ujinga mwingine niliofanya ni kumlipa karibu hela zake zote.
Hadi shule zinafunguliwa Januari sikuwa nimepeleka nguo yoyote kwa mteja. Basi presha ikaanza kutoka kwa mteja wangu ambaye pia alikuwa anawashiwa moto na wanafunzi + wazazi. Baada ya kusumbuana na mzabuni wangu nikaona isiwe ishu nichukue hela za kwenye biashara yangu niliyoombea mkopo wa 5m ili kupambana na tatizo ambalo lilikuwa limefikia pabaya.
Kwa maana nitafute fundi mwingine nitengenezee kwake huku nikiendelea kupambana na huyu wa mwanzo. Changamoto iliyojitokeza tena ikawa kwa muda ule wauza uniform wengine wana kazi zingine nyingi na bei zao zimeshaenda juu. Gharama za nauli nenda rudi Ars - Nrb nazo zikawa zinanipiga kama ngoma.
Hadi kuja kufanikiwa kupeleka nguo angalau kwa 70% tayari kiuchumi nilishayumba hivyo marejesho yakawa yanasuasua. Ninachokumbuka ule mkopo niliotakiwa niwe nimemaliza kulipa kabla hata ya August nilimaliza December kwa mafaini kibao huku nikiwa nimefilisika. Wale maafisa mikopo walijua kuniwashia moto.
Pamoja na yote hayo nilijipanga upya na baada ya miaka kama mitatu nilirudi tena benki na kuchukua mkopo. Ninamshukuru Mungu kwamba ninakopesheka na ninaendelea kuchukua mkopo. Somo kubwa ni kwamba usichukue mkopo kuanzisha biashara.
Siwezi kuuza labda nitakapokufa watauza wao,Uzeni gawaneni
Basi kitauzwa na watu wa benkSiwezi kuuza labda nitakapokufa watauza wao,
Unauzaje na hata wazaz bado wako hai, wamewapa town angali wao wako pembeni ya mji.
Kaka niko wapi mpaka kiuzwe?Basi kitauzwa na watu wa benk
Sasa kwanini usimpe hizo hela wewe ili kuepusha hasara ya riba na usumbufu wa benkiKaka niko wapi mpaka kiuzwe?
Deni linalipwa ila next time hana uwezo wa kunishawishi akikopee... sharti langu la kwanza arudishe pesa yangu niliyomlipia kwenye marejesho...
Nilizompa zinatosha mkuu,wacha nilipe kwa sasa,wakati mwingine niwe na sababu ya kumkatalia...Sasa kwanini usimpe hizo hela wewe ili kuepusha hasara ya riba na usumbufu wa benki
Kwa nini jama i ata vidume mnakaribishwa kukopaUngeweka wazi kwamba mkopo wako ni wa chupi mkononi na umewalenga mademu tu..😄
NMB mkopo riba ni asilimia ngapi Kwa mwakaKuanzia mwaka huu nimeamua kuchukua mkopo wa biashara badala ya kazini. Hapa nina kipengele cha 10m Nmb nimeshafanya marejesho mawili.
Kilichonivutia ni riba yaani nimeona kwenye mkopo wa biashara 10m nalipa 11,300,000/= kwa mwaka. Kwa mwezi 946,000/=. Wakati mkopo wa kazi muda mrefu na riba inakuwa kubwa.
Ninachofanya kazini nimeweka backup kama nitafeli huku basi nitazama kwa mkopo wa kazi kurefund. Lakini piashara ninayofanya ni ya fedha kwa hiyo fedha zote ninazo cash ninachowarudishia ni faida tu. Kinachonipa matumaini ni kuwa kwa vile cash zao zote zipo kama nitaona nafeli nazirudisha, sokomoko itakuwa kama zitaibwa au changamoto zingine unexpected.
Nashukuru Mungu 10m zao zinanipa at least 2.3m monthly profit nawapa rejesho na kuongeza mtaji. Kwa hiyo bado sina neno baya juu ya mkopo cha msingi nipo highly disciplined and very cautious, hata wife ananikubali katika heshima juu ya that why hajasita kuweka saini za mkopo na kuacha hati ya banda letu. Niombeeni nitoboe mwakani nivute 20m[emoji1787][emoji1787]
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Nyie+mafisadi+vyeti feki=Lazima mtakua ndo watukanaji wa JPM,kwa alivyowatendaYeah hata Mimi sikulipwa..... Nilianza na JK, JPM hakulipa
Kweli we ni Banjuka[emoji23][emoji23]Aisee hii mikopo iko mizuri na mibaya, nilishawahi kuchukua M10 za mkopo hapo sikujua namna ya kurejesha maana ilikuwa haraka haraka siku yule jamaa ananipa utaratibu wa kurejesha niliishiwa nguvu, maana nilitakiwa nilipe jumla ya M16 kwa miezi sita, cha kustaajabu hela yote niliijengea, nyumba nikaiuza nikageuka mpangaji kwenye hiyo nyumba, alienunua hiyo nyumba nae akanipa notisi niachie nyumba yake.
Hapo ulikosea kwa mkenya tu, hasa ulivyomlipa pesa yote, kwenye deal yoyote ya ivyo wewe nguvu yako iko kwenye pesa yako. Sasa kama umeshamlipa yote unabaki huna nguvu tenaIlikuwa mwaka 2011 mwezi wa 7 mara yangu ya kwanza kuchukua mkopo benki, Tsh 3m. Ule mkopo niliufanyia biashara vizuri na nikarejesha bila changamoto kubwa ndani ya miezi 6. Wale maafisa mikopo wakafurahia na kunishauri nichukue mwingine wa Tsh 5m. Nikafikiria na baada ya mwezi nikachukua mkopo mwingine. Ikawa kama bahati wakati nachukua mkopo nikawa nimepata tenda ya kushona uniform za shule flani.