Tuliowahi kuteswa na marejesho ya mkopo tukutane hapa

Dadangu anafosi nimwandikie barua ya mkopo,
Anakopea kiwanja cha urithi, hii ni mali yetu mimi na yeye....hii pesa nina wasiwasi hatarudisha.
Naandika kesho kuepuka lawama ila najua ili deni nitalipa mimi dadeki.
Uzeni gawaneni
 
Kama una marejesho ya kila siku tegemea kuwa katika chama cha UWABATA🤣🤣
 
Basi kitauzwa na watu wa benk
Kaka niko wapi mpaka kiuzwe?

Deni linalipwa ila next time hana uwezo wa kunishawishi akikopee... sharti langu la kwanza arudishe pesa yangu niliyomlipia kwenye marejesho...
 
NMB mkopo riba ni asilimia ngapi Kwa mwaka
 
Kweli we ni Banjuka[emoji23][emoji23]
 
Hapo ulikosea kwa mkenya tu, hasa ulivyomlipa pesa yote, kwenye deal yoyote ya ivyo wewe nguvu yako iko kwenye pesa yako. Sasa kama umeshamlipa yote unabaki huna nguvu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…