Tuliowahi kuteswa na marejesho ya mkopo tukutane hapa

Tuliowahi kuteswa na marejesho ya mkopo tukutane hapa

Uza mashamba hayo acha kulialia njaa na umeukalia utajiri[emoji23] tafuta mjini makampuni kibao yanakopesha kwa dhamana ya mali zisizohamishika/vyombo vya moto[emoji23]
Wee kuuza unadhani hizo nyanya kwamba inatoka kirahisi watu wakisikia unauza wanataka kukulalia tuu.
Mkopo ukienda wanasema oh una biashara gani mambo mengi. Sasa unajiuliza nina shamba la million 100 nataka nikope milion 50 kweli nitacha shamba la million mia kwa million hamsin.

Anyways wacha niendelee kutamani tako la mama wa kambo tuu hapa.
 
Kuna kikampuni hapo dodoma kinakopesha kwa dhamana ya kiwanja, chombo cha moto, ama nyumba, muhimu uwe mmiriki halali, watafute hao, uwapige hela, ukishindwa kurudisha wanachukua chako kinakuwa chao, unakuwa kama umeuza mali na kupata pesa...THE DEAL DONE, hivyo ndivyo maharamia tulifanya biashara bila kuhangaika na wateja[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kampuni gani??ninaifahamu Imarika lakini wao Dhamana wanataka Chombo cha Moto na si nyumba
 
Aisee hii mikopo iko nzuri na mibaya, nilishawai kuchukuwa M10 za mkopo hapo sikujua namna ya kurejesha maana ilikuwa haraka haraka siku yule jamaa ananipa utaratibu wa kurejesha niliishiwa nguvu, maana nilitakiwa nilipe jumla ya M16 kwa miezi sita, cha kustaajabu hela yote niliijengea, nyumba nikaiuza nikageuka mpangaji kwenye hiyo nyumba, alienunua hiyo nyumba nae akanipa notisi niachie nyumba yake.
Pole sana mzee ulijipiga bomu mwenyewe.....Just imagine umenunua kiwanja umeanza ujenzi,nyumba yako inakamilika halafu ghafla unageuka mpangaji kwenye nyumba uliyoisotea kuijenga halafu mwisho wa siku unatimuliwa kwenye nyumba yako.
Daah inachoma kama pasi hii mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi nilikuwa afisa wa mikopo kwenye microfinance moja hivi nikaacha nikaingia mtaani kwenye biashara nilichofanyiwa na mikopo sina hamu, alikuja afisa mikopo juzi kunishauri nikakope kwao nimeishia kumtolea panga.
 
Hawa watu hasa wa microfinance wanakwaza sana
Na siku ya mwishobwatakua wanachomwa kama hotdog wanaviringishwa ndani ya gogo af wanaunguzwa taratibu waahed kabisa.

Kuna mmoja alikuja kazini amechomekea mpka kwenye diaphram na hesima deebe ananidedesa nichukue mkopo kwao marejesho yao ni kidogo hayaumizi. Nkamwambia aende aniachie kipeperushi nitafakari. Alivoondoka nkakaa nkapiga hesabu vzuri kbsa taratibu, nkaja kushtukia kua naenda kupigwa riba ya almost 30% kisirisiri, nkachana kipeperushi nkatupa kwenye dustbin.

Jamaa hakuogopa akaenda kwa mlinzi wa ofisi akamseti, msukuma wa watu akajaa kingi akachukua mkopo kwa kuamini kua rejesho la elf 5 kwa wiki hawezi kosa. Baadae akaja nkampigia hesabu nkamfungulia dunia kama clouds fm, alichoka. Yuke mlinzi kila jembe analopiga ardhini anawatukana wale jamaa. Alifanikiwa kulipa lkn kwa uchungu sana.

Bora nikope kwenye vikundi vya hisa huko, yakinishinda wanachukua hisa zangu aibu inapungua.
 
Mimi nilikua afisa wa mikopo kwenye microfinance moja ivi nikaacha nikaingia mtaani kwenye biashara nilichofanyiwa na mikopo sina hamu, alikuja afisa mikopo juzi kunishauri nikakope kwao nimeishia kumtolea panga
Pole sana bro
 
Na mimi nataka kukopa lakini sina biashara bali nina nyumba yenye HATI safi Dodoma,sasa kama kuna Mfanyabiashara anayekopesheka anahitaji kukopa Bank lakini hana dhamana mimi ninayo aje inbox tuyajenge,Nyumba ipo Dodoma Mjini,thamani ya Nyumba ni zaidi ya Milioni 50 na ni Nyumba mpya,karibuni
Itakula kwako hiyo Nyumba itapigwa mnada usijaribu.
 
Kuna kikampuni hapo dodoma kinakopesha kwa dhamana ya kiwanja, chombo cha moto, ama nyumba, muhimu uwe mmiriki halali, watafute hao, uwapige hela, ukishindwa kurudisha wanachukua chako kinakuwa chao, unakuwa kama umeuza mali na kupata pesa...THE DEAL DONE, hivyo ndivyo maharamia tulifanya biashara bila kuhangaika na wateja[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao jamaa ni IMARIKA ndiyo tabia yake
Wapo nyerere square

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Aisee hii mikopo iko nzuri na mibaya, nilishawai kuchukuwa M10 za mkopo hapo sikujua namna ya kurejesha maana ilikuwa haraka haraka siku yule jamaa ananipa utaratibu wa kurejesha niliishiwa nguvu, maana nilitakiwa nilipe jumla ya M16 kwa miezi sita, cha kustaajabu hela yote niliijengea, nyumba nikaiuza nikageuka mpangaji kwenye hiyo nyumba, alienunua hiyo nyumba nae akanipa notisi niachie nyumba yake.
Hii chai ya asubuhi bila sukari🤔
 
Hawa qatu hasa wa microfinance wanakwaza sana
Na siku ya mwishobwatakua wanachomwa kama hotdog wanaviringishwa ndani ya gogo af wanaunguzwa taratibu waahed kabisa.
Kuna mmoja alikuja kazini amechomekea mpka kwenye diaphram na hesima deebe ananidedesa nichukue mkopo kwao marejesho yao ni kidogo hayaumizi. Nkamwambia aende aniachie kipeperushi nitafakari. Alivoondoka nkakaa nkapiga hesabu vzuri kbsa taratibu, nkaja kushtukia kua naenda kupigwa riba ya almost 30% kisirisiri, nkachana kipeperushi nkatupa kwenye dustbin.
Jamaa hakuogopa akaenda kwa mlinzi wa ofisi akamseti, msukuma wa watu akajaa kingi akachukua mkopo kwa kuamini kua rejesho la elf 5 kwa wiki hawezi kosa. Baadae akaja nkampigia hesabu nkamfungulia dunia kama clouds fm, alichoka. Yuke mlinzi kila jembe analopiga ardhini anawatukana wale jamaa. Alifanikiwa kulipa lkn kwa uchungu sna.
Bora nikope kwenye vikundi vya hisa huko, yakinishinda wanachukua hisa zangu aibu inapungua.
😀 😀 😀 😀 😀aisee mbona balaa sana
 
Kuna ka benki kamoja mkopo wake hauishi kabisa.
Ukimaliza deni wanakuja tulisahau kukata faida.
Ukimaliza wanakuja tena, tulisahau kukata bima
Ukimaliza wanakuja tena, tulisahau kukata kapacity charge
Ukimaliza wanakuja tena, mahesabu ya kwanza yalikosewa.

Ukimaliza deni huambiwi umemaliza, baada ya miezi mitatu wanakuja tena yaani madeni yake hayaishi.

Jamani mimi sijataja jina la benki yoyote, walio yakuta wanaijua.

Nimeacha kabisa kukopa tena benki.
 
Back
Top Bottom